MBINU 7 MAKINI ZA KULEA MTOTO MAZINGIRA YA MJINI
Malezi ya mtoto katika mazingira ya mjini yamekuwa changamoto kubwa kwa wazazi wengi. Mtoto wa Mjini anakua katika dunia yenye mchanganyiko wa tamaduni, mitazamo, teknolojia, mitandao ya kijamii na makundi mbalimbali ya watu.Hii Tofauti na zamani...
Brian Mundubile alilalamika kwamba Zambia wanatumia mbinu za Tanzania za kudidimiza upinzani, na Serikali ya Tanzania imepelekea watu kuhakisha hashindi na kuhakikisha wafanya mbinu chafu za kumuangamiza.
Yaleyaye yaliyotokea kwa Tundu Lissu ndo yametokea kwake.
Tanzania walitoa tamko la...
KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo.
Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
Watu wengi wanaamini kuwa ili uwe na sebule au chumba kinachovutia kama picha za kwenye mtandao, lazima utumie mabilioni ya fedha kununua samani za gharama. Ukweli ni kwamba, siri ya muonekano wa kisasa na wa kifahari (cozy vibe) ipo kwenye mpangilio, rangi, na vitu vidogo vidogo.
Kama unataka...
Leo ningependa kushiriki nanyi dondoo muhimu sana kuhusu usalama wa akaunti zetu za WhatsApp. Siku hizi, wadukuzi (hackers) hawatumii nguvu nyingi kuvunja mfumo wa ulinzi (encryption) wa WhatsApp, bali wanatumia mbinu za kilaghai (Social Engineering) kuwahadaa watumiaji.
Haya ni mambo muhimu...
Mbinu za Matume ya Rojo zimeshindikana. Tume kibao halafu zikija zinawekwa kwanye makabati!.
Pesa za watanzania zinatumika kutengeneza tume fake za rojo kusafisha wauaji, watekaji na wala rushwa wakubwa.
Mbinu hizi hazitafanikiwa. Tupinge hizi tume ambazo hata ripoti zake hatuzioni.
Nilitegemea kwa hali ya sasa watawala wangelionesha signs za remorse kwa yliyotokea 29/10. Na kutaka kuliondoa taifa kwenye giza hili. Hilo halipo...
Kwa sasa unaona kabisa kuwa wanatamani Gen Z woooooooooooooooote /watanganyika woooooooooooooooooote wauawe wabaki na wazanzibar may be na...
Kuna utapeli wa aina nyingi sana kwenye miamala ya kifedha na mtandaoni, kila siku wezi wanabuni mbinu mpya.
Umakini unahitajika sana, hesabu pesa na kucheki balance kila unapofanya muamala wa kupokea kwani hata mawakala nao wanatapeli wateja, kutuliza akili ni jambo la muhimu sana.
Usikubali...
Hebu jaribu kidogo kufikiri hili;
KWAMBA; Ana Rais yuko madarakani na yeye ni Makamu wake, yaani kiongozi mkuu wa serikali Na. 2...
Na, chama chao ndicho kiko madarakani, kinaongoza serikali....
Na siku si nyingi amekuwa Katibu Mkuu na kada mbobezi wa chama chao karibu maisha yake yote hata...
Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa.
Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena.
Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi.
Wamemtumia msajili wa vyama...
Wachezaji wa Argentina wamefichua siri iliyokuwa kwenye chupa ya maji ya kipa wa England, Jordan Pickford, baada ya timu hizo kukutana jana usiku katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026 .
Baada ya Argentina kuibuka na ushindi wa mabao 2-1, baadhi ya wachezaji wake, akiwemo nahodha Lionel...
Nikinukuu mada ya mdau Synthesizer (Quote):
"Kuna account humu JF zimefunguliwa na watawala kwa ajili ya kutumiwa na group la watu wanaolipwa kwa ajili ya kujibu kukosoa kukejeli nk... Mwanshambwa sijui Tlaatlaah nk sio mtu mmoja. Ni watu kadhaa wanaolipwa na wameambiwa watumie hizo account kama...
Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana.
Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa...
binadamu
haki
haki za binadamu
kiafrika
mataifa
mbinu
nchi
nchi zinazoendelea
nyuma
rais
rais samia
rais samia:
samia
serikali
serikali.
sheria
sumu
uchumi
uchumi wa nchi
vijana
vijana wa kiafrika
wahujumu
wahujumu uchumi
wimbi
zao
Waziri Mkuu wa Bulgaria, Rumen Radev, akizungumza na waandishi wa habari wakati wa Mkutano wa Kilele wa NATO huko Ankara, Uturuki, mnamo Julai 8, 2026.
Alieleza kuwa Bulgaria haiwezi tena kuipatia Ukraine silaha na zana za kijeshi. Haya ni kwa mujibu wa Waziri Mkuu Rumen Radev, ambaye...
Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
Heshima ya mwanaume ni kuweza kumudu kuhudumia familia. Watoto na mke wale, watibiwe na kupata stahiki zingine kwa wakati.
Pia heshima ya mwanaume ni kumt.... MBA mke au MICHEPUKO mpaka aseme tayari inatosha.
Hakuna raha kama kuweza kupiga show kwa ufasaha. Mwanamke ukiweza kumpa mahitaji yake...
Rais Samia Suluhu Hassan amejipambanua kuwa mmoja wa viongozi mahiri zaidi katika kusimamia taswira ya nje kwenye siasa za kisasa. Ziara yake ya hivi karibuni katika Hospitali ya Aga Khan kumfariji mchezaji wa Young Africans SC, Pacôme Zouzoua, ni mfano halisi Aga Khan Hospital.
Kwa mtazamaji...
Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.