mbinu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sergio 5

    JamiiForums Tanzania Mbinu gani ya kudai Boss alipe Mishahara

    Nimejishikiza katika kaajira flani private sasa boss watu wanadai ndiyo michezo yake wafanyakazi wakifanya kazi miezi kadhaa huwa anataka kuzurulumu. Mwezi mmoja ili muondoke then alete wengine nao wakifanya anawadhurumu . Trend huwa ipo ivyo Leo tumekaa kupanga jinsi gani Tu deal na BOSS ila...
  2. L

    JamiiForums Tanzania “Jibu la China” kwa Kenya: sio mfumo, bali ni mbinu

    Mwaka huu ni kumbukumbu ya miaka 70 ya kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya China na Afrika. Katibu Mkuu wa Chama tawala cha UDA nchini Kenya Hassan Omar Hassan hivi majuzi alitembelea China kwa mwaka wa pili mfululizo. Ziara zake mara kwa mara zinaibua swali: je, nchi hiyo inatafuta...
  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Nataka nikusanye kiasi cha million 25, nitumie mbinu gani?

    Kazi ninayofanya inanipa take home ya takriban 500k - 800k per month sasa nahitaji kusave hadi nifikishe kiasi cha sh 25mil kwa ajili ya kutimiza lengo langu (lengo kapuni). Mwaka jana nilijaribu kuhifadhi kwa kucheza kikoba kupitia jina la mama mtoto wangu lakini tuliishia kukopa kwa ajili ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uzorotaji kupita kiasi wa miundo mbinu Huku LAELA, Halmashauri ya Sumbawanga

    Ndugu admin, naomba lifikishwe hili kwenye Wizara kama siyo Idara zinazohusika tutatuliwe hii kero. Serikali imejitutumua kusambaza Nishati ya Umeme huku kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga lakini hatufahamu huu ni umeme wa aina gani ambao ndani ya dakika 15 hukatika kwa takriban mara 8...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Sharp boys and girls tupeni hizo mbinu za kusurvive mjini jamani

    Sharp boys and girls Tunaomba codeee wakuu Tunaomba michongo ya kusurvive hapa mjini
  6. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa watu ambao pombe zinawatesa na wameshindwa kabisa kuacha kwa kila mbinu.

    Kuna mbinu mbalimbali wanapewa watu ambao wanataka kuacha pombe. Mfano wa hizo mbinu wanazopewa lakini mwisho wa siku wanarudi kulekule ni hizi. 1)Kupunguza kiasi cha unywaji. Hapa ushauri wanaopewa ni kupunguza idadi ya pombe au siku za kunywa pombe. Mfano kama alikuwa anakunywa bia 10 kwa...
  7. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Njia au mbinu Gani salama kuepuka ushawishi wa mahusiano kazini?

    Let's be short and clear... Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini? Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi? Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
  8. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya Israel kuua viongozi wakuu wa kisiasa na kijeshi ina faida kimedani au ipo tu kujitwalia ujiko ?

    Israel imekua ikitumia mbinu wa kuua viongozi wa juu kisiasa au kijeshi katika serikali[ Iran ] na makundi hasimu kama Hamas,Hezbollah,Houthi je, mbinu hii ina faida kimedani kwao au ipo tu katika kujizolea ujiko kwa jeshi lake ? Toka Israel imeanza kuua viongozi hao ni kipi kilicho badilika...
  9. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Bila Quran hakuna amani: Kauli mbinu hii sijaielewa

    Mashindano ya usomaji Quran mwaka huu yamepewa kauli mbiu "bila ya Quran hakuna amani" Mimi sijaelewa inamaanisha nini.
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Mbinu bora za kusimamia fedha

    🎯Tengeneza bajeti ya kila mwezi - Fuatilia mapato na matumizi ili uweze kujua kila mara fedha zako zinapoenda. Na kipaumbele mahitaji kuliko matamanio - Shughulikia mambo ya lazima kwanza kama kodi, chakula, au bili kabla ya kutumia fedha kwenye anasa. 🎯Ishi chini ya uwezo wako - Tumia kiasi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mbinu ya pulse and glide, kukanyaga moto kisha uliache gari free kunasaidia kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Pulse (Ongeza kasi): Kanyaga accelerator kidogo hadi gari lifikie mfano 50 km/h. (mizunguko ya mjini) Glide (Teleza): Toa mguu kwenye accelerator, acha gari liende taratibu lenyewe Wakati gari limepungua kasi mfano 20 km/h rudia hatua ya kwanza
  12. je parle

    JamiiForums Tanzania Mbinu mpya za kuibiwa walevi kupitia wanawake wa mjini

    Walevi wa mwanza kuweni macho acheni kubeba kila mwanamke bar kwa kuwa ana makalio makubwa. Kisa kifupi nlichosimuliwa na kijana tuliekutana mlango wa kutokea lodge mwanza. Nimetoka zangu safari nikapoa lodge ilia asubuhi nifanye mishe zangu hapo mwanza then nigeuke Asubuhi nafunga mlango wa...
  13. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Zifahamu mbinu hizi muhimu wakati unapanga bajeti yako

    MBINU ZA KUPANGA BAJETI Namna matajiri wanavyopanga Bajeti zao kwanza Kufuatilia matumizi yao. Kuishi chini ya kipato chao. Kuepuka deni la matumizi. Kujilipa wao kwanza. Kuwekeza kwa muda mrefu. Kuweka malengo maalum. Kuotomati maamuzi ya kifedha . Kupunguza kodi. Kupitia upya bajeti yao mara...
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Nakupa vidokezo vya jinsi unavyoweza kutumia maumbile ya kimapenzi ya mwanamke kumfikisha kileleni

    🔥💪TUMIA SIRI HIZI 6 TU, KUMKOJOZA MKE WAKO USIKU WA LEO ⤵️⤵️⤵️⤵️⤵️ Kumfikisha mwanamke kileleni ni mchakato unaohusisha utambuzi wa mwili wake, hisia zake, na mahitaji yake ya kimapenzi. Nakupa vidokezo vya jinsi unavyoweza kutumia maumbile ya kimapenzi ya mwanamke kumfikisha kileleni. 1...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Tumia mbinu hii kupandisha mauzo ya Biashara Yako Mara Kumi zaidi ndani ya siku 30

    Je Ungependa kupandisha mauzo Ya Biashara Yako Ndani Ya Siku 30 Kama jibu lako Ni Ndio Naomba Uniazime Dakika zako Tano Nikuoneshe Jinsi Ya Kufanya Hivyo Twende pamoja Kwenye Ulimwengu Wa Mauzo Kuna Siri Inatumiwa Na kampuni Chache Sana Kupandisha Mauzo Ya Kampuni zao Kama Vile...
  16. Q

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Uganda: Mbona hatuoni Waganda wakichoma, kuharibu miundo mbinu na kuiba mali za watu baada ya matokeo?

    Uchaguzi tayari umeisha Uganda na kuna malalamiko kuwa Yoweri Museni kaiba kura na kuwatesa wapinzani ikiwemo kumkamata Boby Wine jana usiku. Sasa kwanini Waganda hawatoki na kuanza kuharibu nchi yao, na pia kuiba mali za Waganda wenzao? Kulikoni Tanzania kwa wale waliojifanya wanaandamana kwa...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kijana uliye juu ya mawe jaribu mbinu hii. Ukikosa ajira najitoa JF milele

    Leo nitatoa mbinu moja ya kupata kazi nyepesi kwenye miradi ya Wachina. Kesho au baadaye nitatoa mbinu ya kupata kazi au kuokota kazi ya serikali kirahisi. Hata kama kuna tatizo la unemployment kiasi gani lakini tambua kila siku watu wanaajiriwa na kulipwa pesa nyingi sana. 1. Nenda play store...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Hujuma za SGR ni mbinu mpya ya kuuza kwa Mwarabu

    Mambo yanayoendelea SGR ya wananchi kulalamikia huduma ni mchezo unatengenezwa ili Serikali ije na maelezo kuwa TRC haiwezi kusimamia SGR hivyo Serikali imepata mwekezaji atakayeendesha kwa ufanisi na hapo ndipo mali ya umma itakapouzwa kwa bei poa kwa mwarabu. Huyu mwarabu anakuwa kama kivuli...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
Back
Top Bottom