mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    HOJA Ni hatua gani zinapaswa kutumika kurejesha usalama Wilayani Tunduru ambapo Wafugaji na Wakulima wanapingana?

    Ndugu zangu, Tumepokea taarifa nzito kutoka Kijiji cha Chikomo, ambapo mtu mmoja ameripotiwa kupoteza maisha, watu wanane wako katika hali mbaya kiafya, huku nyumba saba zikiripotiwa kuteketea kwa moto. Kwa mujibu wa taarifa zilizopo, hali katika Kijiji cha Chikomo ni ya wasiwasi baada ya...
  2. Idugunde

    Hivi Mwanasiasa akiwekwa kifungo cha nyumbani wananchi huwa hawapewi taarifa? Nani huwa anatoa hii adhabu na kwa kosa gani?

    Ninashangaa juu ya hizi habari kuwa Nchimbi wa CCM yupo kifungo cha nyumbani kama ilivyokuwa kwa Abdul Jumbe. Hii adhabu hutolewa na nani? Na kwa nini wananchi hawana taatifa kam
  3. Carlos The Jackal

    Mauaji ya Oktoba 29 yaliua Waislamu pia, Vijana wa Kiislam wameendelea kutekwa na Kuuliwa, Vijana wa Kiislam, bado mnawaamini BAKWATA??.

    Yaan sijawahi sikia BAKWATA wanatoa Waraka wowote ,angalau hata Pole kwa walofiwa Oktoba 29. Bado tu mnawaamini Hawa Bakwata ???. Waloshindwa kulinda Haki za Uhai za Waumini wao??. BAKWATA ambao wanalípwa mishahara na Serikali, Wanapewa Ulinzi na Serikali, Bima, ELIMU , Majumba ,Magari na...
  4. THE FIRST BORN

    Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮‍💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: 🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  6. peno hasegawa

    “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  7. R

    Stupid UN, badala ya kujadili ukosefu wa demokrasia, mauaji, udikiteita wa African presidents mnajadili ramani ya dunia! Shame upon you

    Jadi ntakimeshaji udikiteita wa African presidents na mauaji ya watu wao. Mnajadili eti Greenland ni ndogo kuliko Afrika na ramani ya dunia haiko sawa. Haya ni ya kujadili, hadala ya kujadili ni kwa vipi UN itakomesja udikiteita wa , mauaji ya watu Africa.
  8. Carlos The Jackal

    Ukamataji wa POLISI usozingatia PGO, Uvaaji Sare Polisi , unaacha Loophole ambayo Wahalifu wanaitumia kufanya Utekaji ,Mauaji !

    Siku hizi Anakamatwa Mtu ,lkn unashindwa kujua, Amekamatwa au Ametekwa!. Ametekwa na Jeshi la Polisi ? Ametekwa na Usàlama? Ametekwa na Wahalifu ?. Nmekua Mstari mbele nikikemea Tabia hii ya Polisi, Tabia ya Kihuni , Tabia hii inaacha mashimo ya Kiulinzi na Usalama !. Wahalifu , Walipa Visasi...
  9. T

    Inachekesha kuona wanaotuhumiwa kwa mauaji ya Oct 29 ndio hao pia mashabiki wakuu wa hizo tume mara ya Chande mara ya Lila

    Tanzania Ina vituko vingi sana jambo ambalo kwa kawaida Linalohitaji logic ya kawaida kabisa mkuhoji watu wanalazimisha subirieni tume afu wanashabikia tume walioiunda wenyewe. Hivi kweli akili ya kawaida haikutumi kwamba ni kama mbwa kujifucha kwenye shamba la karanga!?
  10. Jannatul Firdaus

    Kijana wa Umri wa Miaka 18 Auwa Watu 8 Kisha Kujipiga Risasi

    Kijana wa miaka 18 aliyetajwa kuwa mshukiwa wa shambulio la risasi 13 Feb 2026 lililoua watu wanane na kujeruhi makumi ya wengine huko British Columbia, Canada, Jesse Van Rootselaar alipatikana amefariki katika eneo la tukio kutokana na kujipiga risasi. Aidha Uchunguzi wa polisi Umesema Kabla...
  11. Crocodiletooth

    Keefs d Davis akutwa na hatia mauaji ya Tupac Shakur!

    Baada ya miaka 30,hatimaye keefs d David akutwa na hatia katika mauaji ya Tupac Shakur!... Hakupiga risasi au kuumiza lakini alipanga,na ikatekelezwa!... Kila jambo huanza na mpango kazi kwanza kabla ya utekelezaji.
  12. Jannatul Firdaus

    Baada ya Miaka 30 Huyu Hapa Ahukumiwa Kwenda Jela Mauaji ya Mwanamuziki 2Pac

    Baada ya takriban miaka 30 ya sintofahamu kuhusu kifo cha rapa maarufu Tupac Shakur, kiongozi wa zamani wa kundi la “South Side Compton Crips”, Duane “Keffe D.” Davis, amepatikana na hatia ya mauaji yake. Kifo cha Tupac mwaka 1996 katika shambulio la risasi lililofanywa na watu waliokuwa ndani...
  13. MALCOM LUMUMBA

    Tume kutoka kuzimu yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika

    Huu ni mwendelezo wa ule uzi niliouandika mwaka 2025 kuhusu tume ya Jaji Chande ambayo ilitumika kudogosha mauaji ya maelfu ya watanganyika. Kwa malengo ya kumbukumbu unaweza kufanya rejea hapa: Tume ya Uchunguzi yenye lengo la kudogosha mauaji ya watanganyika...
  14. The Palm Beach

    Rais Ruto wa Kenya akiri serikali yake kuua waandamanaji GenZ 2024. Rais Samia na serikali yake wanaweza kuwa na ujasiri huu kwa mauaji ya 29/10/2025?

    Rais wa Kenya, William Ruto, amekiri kuwa kulikuwa na makosa katika namna Serikali ilivyoshughulikia maandamano ya vijana wa Gen Z mwaka 2024, akitambua maumivu yaliyosababishwa na vifo, madai ya kukamatwa kiholela, kutoweka kwa watu na matumizi ya nguvu kupita kiasi... Ruto ametoa kauli hiyo...
  15. E

    Profesa Shivji: Hatuwezi kuliponya Taifa bila kuwawajibisha waliotekeleza mauaji Oktoba 29, 2025

    Gwiji la sheria, Profesa Issa Shivji amesema Taifa haliwezi kuponywa wala kujenga demokrasia ya kweli ikiwa hakuna uwajibikaji wa kisheria dhidi ya mauaji ya raia yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Ameyasemanhayo leo Agosti 28, 2026 katika kongamano la Tanzania Democracy...
  16. THE FIRST BORN

    Siku Kukifanyika mabadiliko ya sheria na makosa yote kua na dhamana isipokua kosa la mauaji, hio ndio itakua mwisho wa ofisi ya DPP.

    Hii ofisi katika period ya Samia imetumika kihuni sana..saiv hata wakiona unaisema sana serikali wanakusingizia kosa wanalojua halidhaminiki ili ukae ndani uumie then utoke uwanyenyekee. Siku kukifanyika madiliko nahisi kuanzia hapo DPP atakua anaenda ofisini na kwenda Shamba..
  17. Megalodon

    Wanasheria na Wazalendo, Mauaji ya Halaiki ya Oct 29 yawekwe kwenye Taarifa Rasmi kwa matumizi ya baadae

    Hizi Records za mauaji ya Oct 29 ni muhimu kuwekwa sawia. Nyakati hubadilika. Kama mnakumbuka kuhusu Nuremberg Trials huko Germany kwa wale Nazi officiers na timu ya Hilter waliohusika na human crimes, ukatili and mauaji ya halaiki walihukumiwa kifo na vifungo vya Maisha . Kwa kuwa mpaka...
  18. Sifi Leo

    Tabiri, kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari ya Tanzania, 29/10? Siku 365 za Samia ikulu, au siku 365 za mauaji Tanzania?CHAGUA.

    Ningeomba MWA jf utabiri kipi kichwa cha habari kitaandikwa na VYOMBO VYA habari vya Tanzania? Siku 365 za Samia ndani ya ikulu au Siku 365 za mauaji makubwa ya vijana, Wamama, wababa na wazee ndani ya Tanganyika? Wewe ungekuwa mwariri wa VYOMBO VYA habari ungeandika kipi? Ukichagua cha...
  19. Frank Wanjiru

    Mara: Walimu sita wa kidato cha Sita mbaroni kwa mauaji ya mwanafunzi wao

    Waalimu sita wa shule ya sekondari Makongoro iliyopo wilaya ya Bunda mkoani Mara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kuhusika na kifo cha Petro Chisumo (23) aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha sita shuleni hapo. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi...
  20. Kamanda Asiyechoka

    Kama kada wa CCM anatekwa na kuumizwa alafu Rais na mwenyekiti wa CCM yupo kimya, utekaji na mauaji havitaisha

    Watu wengi tulitarajia atoe hotuba kali sana kupinga haya masuala ya utekaji na mauji. Lakini hata alipo uliwa Mzee Ali Kibao, rais alitamka kifo ni kifo tu👇
Back
Top Bottom