mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    PostGE2025 Hivi kuna sababu na maelezo gani ya msingi kuhalalisha mauaji ya watoto OCT 29?

    ..watetezi, na wasio watetezi wa Ccm, serikali, na vyombo vyake, naomba mnipitishe ktk sababu, ukipenda busara, ya kuuwa WATOTO OCT 29.
  2. Echolima1

    Israel yaongoza kwa teknolojia mbalimbali zenye manufaa kwa ulimwengu wote na Waarabu waongo za kwa mauaji ya kikatili duniani!!

    Hongera sana kwa Taifa Teule la Israel kwa kuwa wavumbuzi wa vitu mbalimbali ambavyo vina said Ila watu kote duniani. Na inasikitisha sana kwa watu wanaojiita Eti Wapalestina kwa wao kugundua Ugaidi, kuteka nyara watu na kuua watu kikatili na mambo mengine ya ajabu kuwafanya watu wengine!! Kwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kimedani hakukuwa na sababu ya mauaji kiasi kile. Akili yangu inanituma huenda ilikuwa Kafara

    Hamjambo! Bado najaribu kutafakari maamuzi yale makubwa zaidi yenye kuumiza zaidi. Sifikirii kwamba kulikuwa na tishio kubwa kiasi cha kutoa maamuzi ya shoot to kills. Kimedani naona kabisa hayakuwa maamuzi sahihi. Na hayakuwa maamuzi ya lazima. Kuanzia watu wenyewe ambao kimsingi hawakuwa na...
  4. U

    Picha mbalimbali za Mchungaji Mwandamizi wa Kisabato aliyehukumiwa jela miaka 10 kwa kushiriki mauaji ya kimbari ya Rwanda kuachiliwa mwaka 2006

    Elizaphan Ntakirutimana Elizaphan Ntakirutimana (Mchungaji mwandamizi wa zamani wa Kanisa la Waadventista Wasabato, Rwanda): Alihukumiwa kifungo cha miaka 10 jela mwezi Februari 2003 na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai kwa ajili ya Rwanda (ICTR) kwa kosa la kusaidia na kuwezesha mauaji ya kimbari...
  5. M

    Michael Sanft, wakili aliyemtetea aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac 'Keffe D', amekutwa amefariki

    Michael Sanft, wakili wa utetezi wa Marekani aliyemwakilisha Duane "Keffe D" Davis aliyetiwa hatiani kwa mauaji ya Tupac Shakur, amekutwa amekufa nyumbani kwake huko Las Vegas, Nevada, akiwa na umri wa miaka 55. Chanzo cha kifo chake hakijabainishwa, ingawa ripoti za awali zinaonyesha kuwa...
  6. I

    Kilifi, Kenya: Paul Mackenzie afungwa miaka 200 jela kwa mauaji ya watu 191 - Shakahola

    Mhubiri tata Paul Nthenge Mackenzie amehukumiwa kifungo cha jumla cha miaka 200 gerezani kutokana na mauaji ya watu 191, wakiwemo watoto 190, katika mkasa wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Jaji Diana Kavedza wa Mahakama Kuu ya Mombasa. Mahakama...
  7. passioner255

    Mahakama imethibitisha LISU hahusiki na mauaji

    tangu mwanzo tunajua lisu hana hatia tunajua aliyefanya mauaji kwa hiyo bado tunataka uwajibikaji kwa wauaji kwa sababu wanajulikana.wauaji laana yenu ipo palepale mtalipia SAMUYA and co.
  8. ndege JOHN

    vita, mauaji na machafuko si kitu kipya duniani, historia inatufundisha nini?

    Nashangaa kuona watu wanashangaa kana kwamba vurugu za kisiasa, mauaji na matumizi ya nguvu dhidi ya raia ni vitu ambavyo havijawahi kutokea duniani. Hebu tuangalie historia kidogo. Kuanzia falme za kale za China, wafalme wa Ulaya, vita vya kikoloni, mapinduzi, vita vya dunia hadi migogoro ya...
  9. Wakusoma 12

    Kuanzia mwakani 2027 kumbukumbu za mauaji ya watanzania (mauaji ya kimbari) zinapaswa kuwa siku ya maombolezo ya kitaifa. Wananchi tuweke mkakati.

    Hakuna haja ya kusubiri watuhumiwa wajadiliane namna ya kukumbuka marehemu wetu. We are the nation.
  10. Megalodon

    PostGE2025 Kwanini suala la Mauaji ya Oktoba 29 halionekani kuwagusa Viongozi wa juu wa kiislam?

    Suala la Oct 29, 2025 viongozi wa Juu wa kiislam ni kama haliwahusu: uongozi wa TEC ndio umekuwa mstari wa mbele kuhoji uhalali wa mauaji ya Oct 29. Imepelekea ionekane kama hili suala lipo kidini zaidi. Ninaishukuru TEC kwa kutojali huo mtazamo na kuendelea kunenea HAKI BIL BATIL. Naishukuru...
  11. Waterloo

    Je Mauaji ya Oktoba 29 sasa kuadhimishwa Kila mwaka?

    Watanzania poleni kwa kumbukizi ya mauaji ya maelfu ya ndugu jamaa na marafiki kufuatia ghasia za uchaguzi mkuu wa mwaka jana maarufu kama mauaji ya oktoba 29. Kwa kweli watanzania wameshindwa kusahau na kumove on. Ni mwaka sasa Serikali hii ya CCM ikijitahidi kumaliza mkwamo huu lakini naona...
  12. kavulata

    Mashirika ya utangazaji DW na BBC mtuletee pia kumbukumbu ya mauaji aliyofanya Hitler huko Ujerumani kila mwaka

    DW na BBC walituletea kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu vurugu za October 29 zitokee. Binafsi sikuupenda upuuzi ule hasa kwa kipindi hiki ambacho taifa linajitahidi kurejea katika hali ya kawaida. DW na BBC hawakutaka kuhoji hata mtu mmoja aliyekatwa kidole, kupoteza mali zake kwenye zoezi lile...
  13. figganigga

    PostGE2025 Watanzania wajitokeza kwa wingi kuomboleza kumbukumbu ya mauaji ya 29.10.2025

    WATANZANIA WAJITOKEZA KWA WINGI KUOMBOLEZA MAUAJI YA 29.10.2025. Tume ya Uchunguzi iliyoundwa na serikali ilitangaza kuwa watu 518 walikufa katika ghasia zilizohusiana na uchaguzi wa Oktoba 2025. Samia Suluhu Hassan ambaye anasema ni rais baada ya mauaji haya, hajatoa fidia kwa majeruhi na...
  14. Q

    PostGE2025 Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waomboleza mauaji ya 29/10

    Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation...
  15. T

    Eti kukumbuka mauaji ya Oct 29 ni uchochezi kwa hiyo muue watu kwa maelfu alafu ipite hivihivi!? Watu au mbuzi?

    Yaani nchi yetu Ina watu wana matatizo makubwa sana ya kufikiria Oct 29 2025 ni siku ngumu sana ambayo maisha ya watu wote yaliathirika vibaya sana. Maisha ya mamia kwa maelfu ya watanzania wenye hatia na wasio na hatia walipoteza maisha kupotea na kupoteza maisha na wengine kupata ulemavu wa...
  16. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  17. F

    TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  18. M

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  19. Carlos The Jackal

    CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  20. Carlos The Jackal

    Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
Back
Top Bottom