mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Mauaji ya Sergeant Major Kabera yana mizizi ya uhasama kati ya Kagame na mtangulizi wake, Fred Rwigyema?

    Uchunguzi wa mazingira ya kifo cha Robert Kabera nchini Uganda umefungua upya mjadala kuhusu migogoro ya ndani ya RPF, urithi wa Fred Rwigyema na madai ya kutengwa kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na waanzilishi wa chama hicho. Kifo cha aliyekuwa mwanajeshi wa Rwanda, Sergeant Major Robert...
  2. A

    DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

    Vijana wanne wanaojihusisha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera. Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa. Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari. Polisi...
  3. M

    Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
  4. Nyani Ngabu

    Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  5. Z

    Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  6. Fascinating

    Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  7. Parabolic

    Kweka apandishwa kizimbani, asomewa shitaka la mauaji

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, jijini Dar es Salaam, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi. Soma pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam Kweka...
  8. F

    Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
  9. blogger

    Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

    Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume. Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu...
  10. Carlos The Jackal

    Elnino ni Mbinu ya Serikali Kuhamisha Fikra za Watanzania Mauaji 2025 , Baada ya Nuhu, Mungu aliweka Agano la Kutoiangamiza Dunia kwa Maji Mengi

    Hamna Mvua kubwa yoyote itakayokuja kua Tishio Wala kuua Binadamu kwa Maelfu !!. Elnino ni Mbinu ya Wahuni kutuhamisha, na kumsogezea Samia Muda !!. Puuzieni Taarifa yoyote ya Elnino KATIBA MPYA FREE TUNDU LISSU TUNAMTAKA NCHIMBI, POLEPOLE NA WOTE WALOTEKWA! UWAJIBIKAJI MAUAJI OKT 29 FIDIA...
  11. Mkalukungone Mwamba

    Inadaiwa kuwa mlinzi wa mgahawa wa Shishi Food ameuawa usiku wa jana

    Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche Mauaji wekeni hadharani. ========== Hii ni chats ambazo alikuwa anawasiliana na mtoa taarifa wake...
  12. Echolima1

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oct 07,2023.

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7. ● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023. ● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini. ● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
  13. Q

    PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  14. 7scom

    PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  15. Echolima1

    Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
  16. Yoda

    Sababu gani zinapelekea wanaume wa mikoa ya bara kuongoza mauaji ya visa vya mapenzi.

    Kesi nyingi za mauaji ya wapenzi au wake ni wanaume wa bara wakifanya mauaji. Tatizo ni nini ? Kuna namna fulani vijana wa Pwani wanalelewa kikike ( ki feminine) zaidi kuliko vijana wa bara, hii utaiona katika namna wanavyohusiana kilaini laini na wepesi na mama, dada, shangazi zao na hata...
  17. K

    Mauaji ya Soweto 16th June 1976, Mauaji miji Mingi Tanzania 29th Oktoba 2025.

    Nitazungumzia tukio hili la Oktoba 29 mara kwa mara [Amnesty International] kwa sababu historia isiposomwa kwa weledi, ina tabia ya kujirudia katika sura mbaya zaidi. Kulinyamazia tukio hili ni kuzika sauti za wahanga na kuruhusu dhuluma kuwa utamaduni wa kawaida. Tunapolinganisha na Mauaji ya...
  18. Sifi Leo

    Uwezi amini, Bakile siku ya 29/10/2025,alitoka ukonga mpaka ubungo aliona tu ofisi ya mtendaji ikiingia,aliona watu wamelala barabarani akajua wamepum

    Uandishi wa habari, wa nchiii aise aise aise aise Bakile siku ya uchaguzi alitoka barabarani kutoka ukonga banana, mpaka ubungo, alishuhudia ofisi ya mtendaji ikiweka moto tu hakuona kitu kingine. Alipoulizwa hakuona vijana waliouawa, akajibu pengine aliwaona lakini yeye aliona watu wamelala...
  19. Carlos The Jackal

    Tusikubali Kamwe Mauaji ya Oktoba 29 2025 ,yapite bila kutuletea Matokeo !! Itakua ni Usaliti kwa Damu za Wazalendo zilizomwagwa wakitafuta Demokrasia

    Ndugu zangu Watanganyika , Nina wasihi sana kwa Unyenyekevu Mkubwa . Yale Mauaji yà Oktoba 29, HATUPASWI kuyachukulia kama Ajali. Kwa kufanya hivo ni sawa na kusema hatukua na MALENGO YOYOTE , kwamba tuliandamana kwa kufata Mkumbo. Vijana tuliandamana kwa sababu tunataka KATIBA Mpya...
  20. Jannatul Firdaus

    Mahakama ya Rufaani yabatilisha hukumu ya kifo mauaji ya 'Super Sami', Kibatala asema haki imetendeka

    Mahakama ya Rufani nchini Tanzania imewaachia huru waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa kwa tuhuma za kumuua mfanyabiashara mashuhuri wa Mwanza, Samwel Mwang’onda, maarufu kama 'Super Sami'. Desemba 2024, jopo la majaji wa Mahakama ya Rufani lilitengua hukumu hiyo ya awali ya...
Back
Top Bottom