mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  2. F

    TEC ningekubaliana nao kama wangefanya hivi kipindi cha mauaji ya Magomeni mwembechai au mauaji ya Zanzibar,

    Kila Uhai wa Mwanadamu Una thamani, na kila familia iliyo poteza mpendwa inastahili huruma na heshima Matukio ya mwaka 1998 Na 2000 Yakumbukwe pia: Fuatana Nami Mchambuzi wako Profesa Chotara Mweusi Sultan Bingwa wa Uchambuzi kutoka Viunga vya Sharif Shamba Ilala Dar Es Salam. Baraza la...
  3. M

    Watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wafariki wakipambana na Askari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema watuhumiwa wawili wanaodaiwa kujihusisha na matukio ya mauaji na uporaji wa pikipiki wamefariki dunia baada ya kujeruhiwa katika mapambano na askari wa polisi eneo la Kijenge, jijini Arusha. Watuhumiwa hao ni Yusuph Hamis, maarufu kama Yuzo, na Dickson...
  4. CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  5. Hongereni sana Kanisa KATOLIKI kwa kuanzisha Rasimi safari ya Kumbukumbu ya Mauaji ya Oktoba 29 2025, Japo Serikali na CCM wanatamani Hilo lisiwepo !!

    Kanisa linapobeba jukumu kama hili zito ,linaonyesha kwa namna gani Kanisa linajali Watu !!. Moja ya kumbukumbu ambazo CCM watataman maisha yake yote isahaulike ni haya Mauaji ya Oktoba 29 2025. CCM wako tayari kUfanya namna yoyote ile wanayoweza ili mradi tu KUDOGOSHA Mauaji haya ,ionekane...
  6. Mauaji ya Sergeant Major Kabera yana mizizi ya uhasama kati ya Kagame na mtangulizi wake, Fred Rwigyema?

    Uchunguzi wa mazingira ya kifo cha Robert Kabera nchini Uganda umefungua upya mjadala kuhusu migogoro ya ndani ya RPF, urithi wa Fred Rwigyema na madai ya kutengwa kwa baadhi ya watu waliokuwa karibu na waanzilishi wa chama hicho. Kifo cha aliyekuwa mwanajeshi wa Rwanda, Sergeant Major Robert...
  7. A

    DOKEZO Kuna mauaji yamefanyika Muleba - Kagera

    Vijana wanne wanaojihusisha na biashara ya mkaa wameuawa kwa kupigwa risasi mkoani Kagera. Hii ni baada ya kupigwa na kuteswa wakiwa na wenzao 11 ambao ni majeruhi kwa sasa. Vijana hao wanne wameshakabidhiwa kwa familia zao huku wakionywa kutoa taarifa kwa waandishi wa habari. Polisi...
  8. M

    Askari wa TANAPA 3, Askari wa TFS 6 pamoja na migambo 4 mbaroni kwa tuhuma za mauaji ya watu 4 Kagera

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kagera linawashikilia askari wa Wanyama pori (TANAPA) watatu, askari wa Maliasili ( TFS) sita na askari Mgambo wanne kwa tuhuma za mauaji ya watu wanne (04) yaliyotokea huko katika kijiji cha Kanyamika kata ya Karambi Tarafa ya Kimwani Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera...
  9. Wabunge wa Ujerumani waikomalia serikali haramu kuhusu haki, mauaji, utekaji, n.k.

    Sina haja ya kuandika mengi. Tazama video mwenyewe. Pia, angalia dakika ya 2:33 mbunge wa Ujerumani akimshushua askari wa muuaji Samia. Wanataka kudhibiti hadi mahojiano ya wabunge wa nchi zingine na vyombo vya habari. Huyo mama Mjerumani kanifurahisha sana...
  10. Z

    Ongezeko la matukio ya mauaji linasababishwa na kutokutekelezwa kwa adhabu ya kifo kwa miaka mingi

    Kila kukicha matukio ya mauaji haswa mauaji yatokanayo na migogoro/ wivu wa kimapenzi yameongezeka sana. Wahanga wakuu katika mauaji hayo ni wanawake. Inaonekana pamoja na sababu zingine lakini sababu kuu ya kushamiri kwa matukio ya mauaji inasababishwa na kutokutelelezwa kwa adhabu ya...
  11. Mtazamo Wangu: Mauaji ya eShowe ni kwasababu ya Uhaba wa Wafanyakazi Afrika Kusini

    Hivi mmeiona hii video ya tukio la mauaji yaliyotokea Jumamosi iliyopita kwenye duka la Boxer huko eShowe, KwaZulu-Natal? Inatisha sana! Jamaa mmoja (33) aliyekuwa mfanyakazi wa duka hilo aliwaua kwa kuwamiminia risasi mameneja watatu wa kike ofisini kwao baada ya kufukuzwa kazi kwenye kikao cha...
  12. Kweka apandishwa kizimbani, asomewa shitaka la mauaji

    Mfanyabiashara na mkazi wa Bunju A, jijini Dar es Salaam, Laurence Kweka (48), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kumuua mkewe, Jane Maloo Urassa, kwa kumpiga risasi. Soma pia: Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam Kweka...
  13. F

    Kufuatia mauaji ya Oktoba 29, 2025, unamkumbukaje Nyerere?

    Kichwa cha habari kitoshe kuwasilisha ujumbe. Leo, ni kumbukizi la 27 la Mwalimu Julius Nyerere. Tukiwakumbuka mashujaa wetu waliouawa na tawala zandiki mwaka jana mwezi kama huu, tukiwa tunamkumbuka Nyerere nao tusiwasahau. Je, wewe umewakumbukaje katika kumbukizi hili la Mwalimu? Hanikiza...
  14. Baba Askofi Azungumza kwa Hasira , Mauaji yanayondelea. Mungu amlinde...

    Mungu anasema haki huinua taifa yaani taifa lolote ili liende linahitaji kutenda haki. Na mtenda haki wa kwanza anaitwa rais wa nchi huyo ndio right marker wa haki. Lazima asimame kwa haki aamue kwa haki awe mwanamke awe mwanaume. Akisema haki kwanza taifa linakuwa na amani."Sasa ili watu...
  15. Elnino ni Mbinu ya Serikali Kuhamisha Fikra za Watanzania Mauaji 2025 , Baada ya Nuhu, Mungu aliweka Agano la Kutoiangamiza Dunia kwa Maji Mengi

    Hamna Mvua kubwa yoyote itakayokuja kua Tishio Wala kuua Binadamu kwa Maelfu !!. Elnino ni Mbinu ya Wahuni kutuhamisha, na kumsogezea Samia Muda !!. Puuzieni Taarifa yoyote ya Elnino KATIBA MPYA FREE TUNDU LISSU TUNAMTAKA NCHIMBI, POLEPOLE NA WOTE WALOTEKWA! UWAJIBIKAJI MAUAJI OKT 29 FIDIA...
  16. Inadaiwa kuwa mlinzi wa mgahawa wa Shishi Food ameuawa usiku wa jana

    Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche Mauaji wekeni hadharani. ========== Hii ni chats ambazo alikuwa anawasiliana na mtoa taarifa wake...
  17. Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oct 07,2023.

    Jeshi la IDF lilichapisha data kuhusu kumbukumbu ya miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7. ● Wanajeshi 970 wameanguka katika hali ya uendeshaji vitani tangu Oktoba 7, 2023. ● 70% ya wanajeshi waliojeruhiwa vitani wamerejea kazini. ● Jeshi la IDF limeshambulia takriban malengo 100,000 katika...
  18. Q

    PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

    Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara. Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi. Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na...
  19. PAMOJA NA MATUKIO MATATU YA MAUAJI SABABU YA MAPENZI WIKI HII ILA BADO WANATUHITAJI SANA

    Mchezaji wa soka wa kike wa Real Madrid na timu ya taifa ya Hispania, Athenea Del Castillo, amefunguka kuhusu maisha yake binafsi, akieleza kuwa umaarufu wake wakati mwingine huwafanya wanaume kusita kumkaribia. Athenea amesema watu wengi humwona kama mtu ambaye ni vigumu kumfikia, licha ya yeye...
  20. Miaka mitatu baada ya mauaji ya kutisha ya Oct 07,2023 nchini Israel.

    Mkuu wa Majeshi ya Israel, LTG Eyal Zamir, kuhusu kuadhimisha miaka 3 tangu mauaji ya Oktoba 7: Vikosi na makamanda wa IDF, katika huduma ya lazima na katika akiba, wafanyakazi wa kiraia wa IDF. Mnamo Oktoba 7, siku ya Simchat Torah 5784, mipaka yetu ilivunjwa katika shambulio la umwagaji damu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…