marekani

  1. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa Trump hii ndio namna nyepesi ya kufika Marekani

    Nawapa hii mbinu wala msinishukuru. Kuja kwa Turampu ni vere ize. Angalia video below.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump amteua Matt Gaetz ambaye alikuwa ana kesi ya udhalilishaji wa kingono kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani

    Donald Trump ameendelea kuwashangaza wengi baada ya kumteua Matt Gaetz, mmoja wa wafuasi wake chawa aliye chini ya uchunguzi wa kufanya ngono na msichana wa miaka 17 pamoja na kutumia dawa za kulevya kuwa mwanasheria mkuu wa Marekani. Wamarekani mbalimbali kutoka pande zote za Democrats na...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ugunduzi wa zaidi ya tani 2,000,000,000 za madini adimu ya Dunia yaliyopatikana Marekani unaweza kuifanya nchi hiyo kuwa 'kiongozi mpya wa dunia'

    Inaweza kubadilisha mustakabali wa utengenezaji wa bidhaa nchini Marekani. Kufuatia uchaguzi uliomalizika, bilionea Elon Musk amekuwa akionya kuwa uchumi wa Marekani unaelekea kufilisika na kumtaka Rais Donald Trump kuzingatia Bitcoin kama suluhu la deni linalozidi kuongezeka nchini humo...
  4. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

    Rais mteule wa US Donald Trump amemteua Elon Musk kuongoza Idara mpya ya Ufanisi wa Serikali (Doge) kwaajili ya utawala wake ujao. Alitangaza kwamba Vivek Ramaswamy, mwekezaji wa kibayoteki, atafanya kazi na mwanzilishi wa Tesla kwenye mradi wa "kuondoa" urasimu Serikalini US President-elect...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Kenya ajiuzulu

    Balozi wa Marekani nchini Kenya, Meg Whitman, ametangaza kujiuzulu tarehe 13 Novemba 2024. Kulingana na taarifa aliyoitoa leo amedai kuwa ameshawasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa aliyekuwa rais wa Marekani Joe Biden na kutotaja sababu ya kujiuzulu kwake. Meg Whitman, amedumu kama balozi...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani (Marekani ni Taifa la Mungu)

    Rais wa Marekani anaye tarajiwa kuapishwa, Donald Trump ametangaza rasmi kuirudisha biblia Marekani. https://youtu.be/R9Nh6v8ivh0?si=i4su5eN3M7E2k_kA
  7. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kazi nzito Trump aliyonayo

    Kati ya kazi nzito bwana Donald Trump alizo nazo ukiondoa changamoto za ndani ni kupambana na haya mataifa yanayo tishia usalama wa marekani kwa miaka mingi ijayo. Moja kati ya kazi tukufu uliofanya utawala wa Democrats wa bwana Biden ni kuwaweka karibu zaidi maadui wa marekani. DT kazi ya...
  8. ward41

    JamiiForums Tanzania "In God We Trust" msingi wa Taifa la Marekani

    Waasisi wa taifa la Marekani walikuwa wakristo wa Kilokole Maraisi wa mwanzo wa hilo taifa kama George Washington, Thomas Jefferson, John Adams, Quincy Adams, nk walikuwa walokole pure. Hilo taifa lilikuwa na misingi ya Kilokole. Viongozi hawa walikuwa Wacha Mungu Sana. Kutokana na hilo...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Marekani kuna wizi wa kura, vitambulisho haviruhusiwi kupiga kura kwenye majimbo ya Democrats, Ni Majimbo pekee aliyoshindwa Trump.

    hadi Marekani wanaojinadi ni wakuu wa Demokrasia haya mambo yapo Majimbo mekundu alikoshinda Trump ID zinahitajika, Majimbo ya Blue alikoshinda Kamala ID hazihitajiki, kama zinahitajika zisiwe na picha NON PHOTO ID - Mpiga kura anahitaji nyaraka yoyote isiyo na picha kuthibitisha utambulisho...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Iran wasema hawakuwa na mpango wa kumuua Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Iran imekanusha madai ya Wizara ya Sheria ya Marekani kuwa ilikuwa na mipango ya kumuua Rais mteule wa Marekani, Donald Trump. Taarifa ya Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, imesema madai hayo hayana msingi wowote na kwamba kauli hiyo ina nia ya kusambaratisha zaidi mahusiano kati ya...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya ampigia simu Rais mteule wa Marekani Donald Trump

    Rais wa Kenya, William Ruto, amefanya mawasiliano ya simu na Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ili kujadili masuala ya uwezekano wa kuimarisha uhusiano kati ya mataifa hayo mawili. Rais Ruto alimtaka Trump kuendelea kuangazia maeneo ya kipaumbele katika uhusiano wao, ikiwemo fursa za...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili yoyote tajiri namba moja akapewa wizara huko Marekani?

    Kutokana na tajiri namba moja duniani kuwa kwenye timu ya kampeni, na hatimaye kushinda; Je kuna dalili yoyote ya yeye kupewa wizara? Na kama atapewa, itakuwa ni wizara gani? Ingawa wapo wanao hisi kwamba, kutokana na yeye kushiriki kwenye siasa inawezekana anapalilia njia ya kuwania nafasi ya...
  13. britanicca

    JamiiForums Tanzania Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

    Imetangazwa dakika chache zilizopita na vyombo vya Habari ===== UPDATES: ===== Rais wa zamani Donald Trump kutoka chama cha Republican, ameshinda Uchaguzi wa Marekani. Chanzo: Spectator Index Donald Trump ameoa mara tatu, Ivana na Marla Maples, mke wa kwanza na wa pili mtawalia ambao wote...
  14. Richard

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Uchaguzi wa Marekani, Kamala Harris alikuwa kama yuko kwenye semina lakini Donald Trump alikuwa kama yuko kiwandani akipiga kazi

    Uchaguzi wa Marekani umetoa majibu kwamba raisi ajaye ni Donald Trump akiwa raisi wa 47 wa nchi hiyo lakini pia akirudi kutawala taifa hilo kubwa duniani kwa ushindi wa kishindo. Donald Trump alikuwa raisi wa Marekani kwa muhula mmoja toka mwaka 2016 hadi mwaka 2020 aliposhindwa na raisi Joe...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ziara za Cuba dhidi ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Cuba, balansi inapatikana wapi?

    Ni swali ambalo nimejiuliza kwa muda kidogo. Tunapataje uwiano katikati ya mambo haya?! Bepari atanuna, but na sisi tuko non aligned, Sijui tinafanyaje
  16. instagram

    JamiiForums Tanzania Raisi wa Marekani anaongea hakuna yale mabango ya kuupiga mwingi wala kampuni ya kuandaa mikutano

  17. B

    JamiiForums Tanzania Baada ya Donald Trump kushinda uchaguzi wa urais Marekani kesi mbili zake zitaendelea Mahakani?

    Donald Trump (78) ndiye rais mteule wa Marekani baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi ulifanyika Jumanne ya Novemba 5 mwaka huu nchini humo Kabla ya ushindi wake mwamba huyo Trump alikuwa akikabiliwa na kesi mbili tofauti awali alifikishwa mahakani kwa kosa la kutumia ofisi ya Serikali...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Marekani lapeleka ndege za kivita aina ya F-15E Mashariki ya Kati ikijiandaa na shambulizi la Iran

    Kumekuchaaa! Ndege vita hatari ziko njiani kwenda Mashariki ya kati na tayari zimekatiza anga ya Jordan Iran kuishambulia Israel kutokea Iraq. ======== The United States is continuing to send forces to the Middle East ahead of an expected Iranian attack on Israel, with flight tracking sites...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Wale wenzangu na Mimi wa kutafuta green card ndo bas tena baada ya Trump kushinda
  20. L

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji marekani ndo basi tena?

    Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
Back
Top Bottom