marekani

  1. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Maulid Kitenge anafanya kazi gani ya maana, mpaka magazeti anasoma akiwa Italy au Marekani?

    Huyu jamaa anatoa Wapi pesa. Kwenye kipindi cha good morning cha Wasafi FM anasoma magazeti Ila hamalizi mwezi akiwa Tanzania. Utasikia yupoo USA, German, mara Italy, leo yupo Dubai. Wakuu huyu jamaa anafanya kazi gani mpaka awe na pesa hivi?
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Njia nyepesi ama ngumu ya Urusi kumdhibiti Marekani

    Unaweza kuiita njia nyepesi ama ngumu kutokana na mtazamo wako ambayo Urusi yampasa au anaweza kuichukua ili kumdhibiti marekani dhidi ya hatua zake anazo chukua kupitia vita vya Ukraine katika kumdhibiti Urusi. Kwangu mimi Nathan mtazamo kwa tazama hatua ambazo Urusi alichukua kumdhibiti...
  3. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani

    Bilionea wa kihindi Gautam Adani ameshitakiwa kwa utapeli na rushwa katika mahakama ya New York. Yeye na wenzake wanatuhumia kuahidi rushwa za mamiliono ya dola kwa maafisa wa serikali ili kupewa mikataba na tenda kimagumashi ikiwemo ya umeme wa solar. Itakumbukwa kuwa moja ya makampuni ya...
  4. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Marekani yatilia shaka mahusiano ya Urusi na Houthi

    Urusi inaweza kutoa msaada kwa Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran huku wakihatarisha njia kuu za meli. Afisa mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani alisema Moscow inashirikiana na waasi katika "kiwango kikubwa." Afisa huyo aliiambia BI kwamba usaidizi wa Urusi ungekuwa "wasiwasi mkubwa...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Marekani yafunga Ubalozi wake Ukraine

    Kuna mtu katolewa chambo --- Marekani imetangaza kuwa ubalozi wake katika mji mkuu wa Ukraine, Kyiv, umefungwa baada ya kupokea taarifa maalum kuhusu uwezekano wa shambulio kubwa la anga. Onyo hilo la shambulio, linakuja baada ya Rais wa Marekani, Joe Biden kuipa Ukraine idhini ya kutumia...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania KWELI Mji wa Centralia, Marekani umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo

    Waungwana kuna ukweli gani hapa kuwa Kule Marekani kuna mji unaitwa Centralia, uko Pennsylvania. Mji huo umekuwa ukiteketea kwa moto tangu mwaka 1962, na inasemekana moto huo utaendelea kuwaka hadi miaka mingine 250 ijayo.
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mossad, IDF pamoja kusaidiwa na Marekani na Uingereza wameshindwa kuwarudisha mateka kutoka Gaza, atayekaleta mateka kupewa $5M

    Wanaukumbi. Ni aibu kubwa IDF jeshi ambalo tuliaminishwa kuwa lina kila kitu makomandoo bora kabisa duniani na majingambo ya Netanyahu kuwa tunaingia Rafah kuwarudisha mateka wetu haamna wa kutuzui leo hii Waziri Mkuu wa Israel Netanyahu anasema Israel inatoa zawadi ya $5m kwa yeyote...
  8. X

    JamiiForums Tanzania Baada ya China kujenga bandari kubwa na ya kisasa nchini Peru nayo Marekani yajibu. Kwa sasa China ndiyo taifa lenye ushawishi mkubwa Amerika Kusini

    Chancay port ni bandari ya kisasa iliyojengwa na kampuni ya China COSCO kama project ya BRI. Imezinduliwa 17th Nov 2024 na Xi na raisi wa Peru Ni smart port au full automated port kila kitu kinafanywa na mitambo au mashine na ndio smart port pekee barani humo. Robotic megaport that operates...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani na Ulaya kumsikiliza Rais Samia akizungumza kwenye Mkutano wa G20 usiku huu

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa zinazoendelea kusambaa Duniani kwote ni Kuwa Rais Samia Ambaye Ndiye Rais mwanamke Pekee Barani Afrika na ambaye ndiye Nembo ya Afrika. na Kiongozi Mwenye ushawishi Zaidi barani Afrika na miongoni mwa Wanawake mia moja wenye Ushawishi zaidi Duniani .anatarajiwa...
  11. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Brazil na Marekani zilivyoficha Siri ujio wa Aliens

    Tukio La Varginha (Roswell ya Brazil). Tarehe 13 Januari 1996 Komandi Ya Anga Ya Anga Ya Amerika Kaskazini (NORAD) ilitoa tahadhari kwa majeshi ya Brazil, kwamba kuna kitu kisichotambuliwa (UFO) kilomita 300 katika anga la mji wa Sao Paulo. Wakati jeshi la Brazil linaanza kuchukua hatua...
  12. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Marekani yaruhusu Silaha zake kutumika ndani ya Urusi popote pale

    Serikali za Marekani, Ufaransa na Uingeleza zimeruhusu silaha zake zitumike ndani ya Urusi, hapo mwanzo zilizuiwa kutumika ila baada ya mashambulizi ya jana kutoka Urusi wameona wairuhusu Ukraine ifanye ionacho ni sawa
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Car experts, hii ni gari aina gani na tolel la mwaka gani?

  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Zuio la kusafiri Marekani lilikuja sababu ya kupinga masuala ya ushoga

    Wakuu, Makonda akiwa katika mkutano wa kuelezea miezi 6 ya makonda ameaulizwa swali kuhusu ban yake ya Marekani kwamba hilo linaasharia kabisa Makonda kuhusika na masuala ya utekaji na uvunjifu mwingine wa haki za binadamu. Makonda akijibu swali hili amesema kelele hizi zilianza alipoanzisha...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania QUINCY JONES; Panyaroad Wa Chicago Aliyeitawala Dunia Kimuziki

    Katikati ya mdororo wa uchumi, anguko la viwanda lililosababisha Great Depression. Biashara za magendo zikitawala, Magenge ya kimafia yakiwa fasheni ya mitaa. Ni wakati huo alizaliwa mtoto. Chicago, Illinois, ngome kuu ya maharamia wa Chicago Outfit, chini ya underworld chief, Al Capone a.k.a...
  16. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Angalia umri wa afisa mpya wa mawasiliano/habari wa ikulu ya Marekani (White House) pamoja na elimu yake! Njoo bongo!

    Trump amemchagua afisa habari wa ikulu ya Marekani kwa muhula mpya unaokuja. Ni afisa kijana na siyo mara ya kwanza kwa nafasi yake! Angalia umri wake pamoja na elimu yake, hatishi sana kielimu (mtazamo finyu wa watanzania). Unahisi nini kimembeba?? Pamoja na uzoefu wake akiwa ikulu plus...
  17. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Urusi yaiwekea Marekani vikwazo vya kuagiza Uranium

    Serikali ya Urusi imeiwekea Marekani Vikwazo vya kununua Uranium toka Urusi. Urusi imeweka vikwazo kwenye uagizaji wa uranium iliyotajwa kwenda Marekani, serikali ilisema Ijumaa, jambo linaloweza kuleta hatari za upungufu kwa mimea ya nishati ya nyuklia ya Marekani, ambayo mwaka jana iliagiza...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Salam kutoka Marekani: Mkisikia nimerudi bila damu ni kwa sababu ya masuala kama haya

    Sijawahi kutoa damu ila kwa hii hela mimi niogope kutoa damu iliweje. Fikiria ukitoa damu unapata dola 10. Nikitoa mara kumi nakuwa na dola 100. Sasa chukua dola mia, nikienda kumuua Yanga akicheza na Tabora hiyo hela itakuwa sh ngapi? Haya bado pia hapo nakuwa nimeingia kwenye bahati ya...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani

    Kifo cha Mafuru kimeibua mambo mengi kwa kweli kwenye eneo la uchumi. Huyu Mzee alifanya yake kwenye kipindi cha changamoto wa upatikanaji wa dola. Pumzika kwa amani Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza namna, Lawrence Mafuru, alivyoinusuru nchi na changamoto ya uhaba wa Dola ya Marekani hatua...
  20. Gwappo Mwakatobe

    JamiiForums Tanzania Elon Musk Anakuja na Usafiri wa Kuzunguka Duniani Kote Ndani ya Saa Moja! Unaweza kufanya Kazi Marekani Ukitokea na Kurudi Da es Salaam Kila Siku!

    Soma hapa: "Elon Musk wants to change the way we fly. The billionaire tech mogul is pushing forward with SpaceX’s plans to launch “Earth to Earth” space travel, offering intercontinental flights that take off like a rocket and land just minutes later across the globe. Musk says his dream of...
Back
Top Bottom