marekani

  1. JamiiForums Tanzania Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani: Aliyekuwa mshauri wa Trump ahukumiwa miezi 40 jela

    Roger Stone, aliyekuwa mshauri wa Rais wa Marekani, Donald Trump wakati wa kampeni za uchaguzi ambaye jina lake lilitajwa wakati wa kesi ya Urusi amehukumiwa kifungo cha miaka 3 na miezi 4. Uamuzi kuhisiana na kesi zilizokuwa zikimbali Stone umetolewa katika mahakama jijini Washington...
  2. JamiiForums Tanzania Equifax: Marekani yawashtaki wanajeshi wanne ''wadukuzi'' wa Kichina

    Marekani awashtaki wanajeshi ''wadukuzi'' wa Kichina.. Zaidi ya Wamarekani milioni 147 waliathiriwa mwaka 2017 wakati wanaodaiwa kuwa ni wadukuzi, ambao ni wajumbe wa Jeshi la Ukombozi la Wachina (PLA), lilipoiba data mkiwemo majina na anwani Baadhi ya wateja wa Uingereza na Canada pia...
  3. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Marekani walioathirika ubongo kutokana na shambulio la Iran wafikia 109

    Idadi ya wanajeshi wa Marekani wanaougua majeraha ya ubongo kufuatia shambulio la Iran dhidi ya wanajeshi wa Marekani katika kambi moja nchini Iraq mwezi Januari imefikia 109, kulingana na maafisa wa Marekani. Idadi hiyo iliongezeka kutoka wanajeshi 64 walioripotiwa hapo awali na Pentagon. Rais...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Marekani akiiwekea vikwazo Tanzania ndio upinzani unaingia Ikulu? Zimbabwe imewekewa vikwazo lakini chama ni kile kile ZANU PF

    Ukimwangalia ZITO tabia ya usaliti alianza nayo toka zamani tangu enzi akiwa CHADEMA mabeberu wake walikuwa ni Serikali ya Kikwete iliyokuwa inamtumia kula hela zaidi Alipoingia Magufuli alijua kuwa utaratibu ule wa awali utaendelea kwamba Magufuli ataendelea kumtumia Zito kudhoofisha Upinzani...
  5. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni mgonjwa alazwa Marekani, madaktari wamtaka asisafiri

    Hii ni kwa mujibu wa mdhamini wake alipokuwa anaiambia Mahakama kisa cha Zitto kutokuwepo mahakamani leo ambapo kesi yake ya uchochezi imesomwa tena. ======== Heri Kimbita ambaye Mdhamini wa Zitto Kabwe, ameiambia Mahakama leo kwamba, Zitto Kabwe anaumwa na amelazwa huko Marekani. Madaktari...
  6. J

    JamiiForums Tanzania 2020 Afrika Mashariki kutembelewa na marais wawili wa dunia, Trump wa Marekani na Netanyahu wa Israel

    Ni jambo la kujivunia kwetu sisi wana Afrika Mashariki kupata ugeni huu mkubwa wa viongozi wa dunia. Ujio wa Benjamin Netanyahu wa Israel na Donald Trump ni fursa muhimu kwa wadau wa ukanda wetu wa Afrika Mashariki kutangaza vivutio vyetu vya utalii na fursa nyingine. Mungu awabariki...
  7. JamiiForums Tanzania Security alert kwa Serikali yetu: Tuwe makini sana na Marekani, kuna kitu kinapangwa halafu wajifanye walionya kabla. Je, wanapanga kutu-Libya?

    Wanabodi, Hili ni bandiko la security alert lenye hoja 43 kati ya hoja hizo, hoja 33 ni maswali ya kiusalama kuhusu taifa letu Tanzania. Angalizo Kuhusu Security Conscious Ulinzi wa taifa sio jukumu la vyombo vya ulinzi na usalama pekee bali ni jukumu la kila Mtanzania Mzalendo wa taifa lake...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi mwanajeshi wa Marekani ana hadhi sawa na mwanajeshi wa Tanzania? Kuanzia kipato/ mshahara, mafunzo?

    Wakuu, mliotembea na kuyajua mambo mbalimbali hasa ya kijeshi nijulisheni, maana kuna mjeshi mmoja toka Marekani anamwaga misaada hapa wilayani mpaka najiuliza katakatisha fedha huko kwao au nini. Hivi mishahara ya wajeda marekani ni mikubwa kiasi cha kupata hadi hela ya kutoa misaada? Vipi...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa kukutana na Maalim Seif: Kaimu Balozi wa Marekani amekiuka Mkataba wa Diplomasia?

    Wakuu, Kuna taarifa zinasambaa kwenye social media zikidai Kaimu Balozi wa Marekani amekutana na viongozi wa Upinzani (ACT-Wazalendo) na kuwa kwa kufanya hivyo amevunja Mkataba wa Diplomasia. Dkt. Inmi alikutana na Maalim Seif weekend hii. Je, ni kweli pale anapokutana na wapinzani ndo...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  11. JamiiForums Tanzania Jeshi jipya la Marekani la Anga za Juu (U.S. Space Force) lafanya jaribio lake la kwanza la kombora la nyuklia

    Kikosi cha Jeshi cha Anga za Juu cha Marekani ambacho ni tawi jipya la Jeshi la Marekani kimefanya jaribio la kombora la balistiki la Minuteman III. Kikosi hiki cha masuala ya kijeshi katika anga za juu kiko chini ya Jeshi la Anga la Marekani na kilianzishwa mnamo Desemba 20 mwaka jana, 2019...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe azuiliwa na Mahakama kwenda Marekani licha ya kuruhusiwa na Spika Ndugai

    Mwenyekiti wa CHADEMA ambaye pia ni mfanyabiashara maarufu mh Freeman Mbowe amezuiliwa na mahakama ya Kisutu kwenda nchini Marekani, Uingereza na Uswisi kwenye shughuli zake za kibiashara. Mkurugenzi wa uchaguzi CHADEMA John Mrema amesema Mbowe ambaye ni mbunge wa Hai amepewa ruhusa ya kusafiri...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa juu wa Al-Qaeda huko Yemen, Qassim al-Raymi auawa na Marekani

    Kiongozi wa Al-Qaeda katika Rasi ya Uarabuni AQAP ameuawa na vikosi vya Jeshi la Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha. Qasim al-Raymi, ambaye ameongoza kundi hilo tangu mwaka 2015, ameuawa katika operesheni ya kijeshi ya Marekani huko Yemen, Ikulu ya White House imeeleza...
  14. JamiiForums Tanzania Ni kweli Marekani amepandikiza virusi vya Corona ili kuishusha China kiuchumi?

    Inasemekana Marekani ameifanyia China umafia kwa kupandikiza virusi vya CORONA ili kushusha uchumi wake. Ukumbuke migogoro ya kibiashara kati ya USA na CHINA inazidi kushusha uchumi wa China kwa kasi ya ajabu.
  15. JamiiForums Tanzania Mwangwi wa "Travel Ban" na Ubeberu wa Marekani

    Nimefuatilia kwa ukaribu mwelekeo wa sera za Marekani hususan kuanza kuweka vikwazo kwa wanasiasa/viongozi wa Tanzania kutemebela nchi yao na kupiga marufuku WATZ kuomba green card kwa njia ya bahati nasibu. kuna uwezekano mkubwa wa watu wengine kuendelea kuongezwa kwenye Orodha ya kuzuiwa...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

    February 4, 2020 Dodoma, Tanzania Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
  17. JamiiForums Tanzania Sekta ya Afya nchini kunufaika na msaada wa Dola za Marekani Milioni 600 (takriban Tsh. Trilioni 1.4) kutoka Global Fund

    Serikali ya Tanzania itanufaika na msaada wa dola za Marekani milioni 600 zitakazotolewa na Taasisi ya Global Fund mwezi Januari mwakani kwa ajili ya kusaidia kukabiliana na maradhi ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria katika kipindi cha miaka mitatu. Ahadi hiyo imetolewa Jijini Dodoma na Mkuu wa...
  18. JamiiForums Tanzania Vituko ndani ya Marekani, 'Title IX' inaamrisha shule zote ziwe na madawati makubwa kwa ajili ya wanafunzi wajawazito

    'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani. Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania iimarishe ushirikiano na Iran, Korea Kaskazini na jeshi liwe tayari kushambulia vituo vya kijeshi vya Marekani endapo wataendelea kutuandama

    Iran, Korea Kaskazini wamemudu kuwadhibiti wamarekani Nashauri tuunde umoja wa kushirikiana katika mambo mbalimbali Pia jeshi letu like mkao wa kula kumnyuka mmarekanj endapo ataendelea kushambulia viongozi wa serikali
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata Marekani na Uingereza bado zinapambana na changamoto mbalimbali za maendeleo

    Rais mstaafu mzee Kikwete amesema binadamu ili awexe kuishi ni lazima apambane na changamoto za kimaendeleo, ndio maana ana ubongo ili aweze kufikiri. Mstaafu mzee Kikwete ameyasema hayo jijini Arusha alipokuwa anafungua mradi wa maji. Kikwete amesema hata Marekani na Uingereza bado hadi leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…