marekani

  1. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Marekani wamekuwa maharamia baharini!

    Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
  3. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuilemaza, Marekani yazuia Meli ya Iran

  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

    kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara. kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026: 1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili...
  8. MALCOM LUMUMBA

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Marekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani umezumgumzia kifo Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani Zanzibar, Kauli ya Ubalozi huo, inatokana na maswali yaliyoulizwa na AyoTV, iliyotaka kufahamu kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inamshikilia Joe McCann, Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee kwa mahojiano

    Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli. Akizungumzia tukio hilo leo April 14...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

    Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi 1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

    Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio...
  14. J

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wanajeshi wa Iran waachia video namna walimvyomkamata rubani wa Marekani

    Wakuu Je, hii video ni ya hivi karibuni?
  15. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marekani yakataza Afrika Kusini kuhudhuria mkutano wa G20

    Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini Enoch Godongwana hivi karibuni amethibitisha kuwa, yeye na Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo Lesetja Kganyago hawajapata idhini ya Marekani ya kuingia kwenye nchi hiyo, ikimaanisha kwamba watashindwa kuhudhuria Mkutano wa Mawaziri wa Fedha na Wakuu wa Benki Kuu wa...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mtoto wa miaka miwili afariki kwa kula nepi

    Tukio la kusikitisha limeripotiwa kutoka katika Jimbo la Indiana Nchini Marekani ambapo Mtoto wa miaka miwili amefariki dunia kutokana na hali mbaya ya malezi na ukosefu mkubwa wa chakula Nyumbani kwao, taarifa za awali zinaeleza kuwa Wazazi walikuwa wakiwanyima chakula Watoto wao hali...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Trump asema Marekani itaudhibiti kijeshi Mlango-Bahari wa Hormuz

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema Marekani itaweka “kizuizi cha kijeshi” na kuudhibiti Mlango Bahari wa Hormuz, njia muhimu ya usafirishaji wa mafuta duniani, kufuatia kushindwa kwa mazungumzo kati ya Marekani na Iran. Trump amesema kupitia ujumbe wake katika mtandao wa Truth Social kuwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi Marekani lazima uwe na kazi nzuri, vinginevyo kulipa kodi ya pango ni kazi sana

    Bei ya kupangisha nyumba iko juu kama dola 1200 .Ukiwa huko bila kazi ya maana mtaishi watu wawili au watatu ili mlipe kodi.Waafrika wengi wanalala nje.ukitaka kwenda huko hakikisha uko na kazi nzuri
  19. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kibri Kitaangamiza Marekani na Israel

    KIBRI KITAANGAMIZA MAREKANI NA ISRAEL Tatizo kubwa la Marekani ni kibri. Hiki kibri kimewaelemea kiasi hawawezi kuwaza kama binadamu mwenye uwezo uliokuwa na kikomo. Hata hapa walipofikishwa kutafuta amani kwa mazungumzo na diplomasia bado hawajatambua kuwa wao si washindi. Halikadhalika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kwishnei

    Zilikuwa zama sawa na man u, bercalona, Hitler na sasa Marekani. Itabaki historia
Back
Top Bottom