marekani

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dr. Philip Mpango awasili Marekani, Kushiriki Mkutano wa UNGA 77

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili Jijini New York nchini Marekani ambapo anatarajia kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Baraza Kuu la 77 la Umoja wa Mataifa (UNGA). Makamu wa Rais...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Marekani: Muuguzi Mkenya akiri makosa ya ulaghai wa mabilioni katika huduma za afya

    Muuguzi Mkenya mwenye umri wa miaka 42 amekiri makosa ya ulaghai katika huduma za afya, kusaidia ulaghai wa huduma za afya, kula njama ya kulipa na kupokea marupurupu, na makosa mengi ya kudanganya wachunguzi wa shirikisho la Marekani. ======= A 42-year-old Kenyan nurse has pleaded guilty to...
  3. JamiiForums Tanzania Biden asema Marekani itailinda Taiwan iwapo China itashambulia

    Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China. Akizungumza katika mahojiano ya chombo cha Habari cha CBS, Bw Biden alijibu "Ndiyo" alipoulizwa ikiwa hiyo inamaanisha majeshi ya Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Trump; karata aliyoicheza putini kwa weledi mwishowe akalamba joka

    Akuna asiyejua Trump na Putin ni maswaiba walioshibana na iliaminika Russia walihusika katika kuhakikisha Trump anaingia white House, na hata uvamizi wa Russia kwa Ukraine Trump alihojiwa akadai mbona Putin yupo sahihi. US na vyombo vyake vya usalama walichelewa japokua siyo sana kuugundua...
  5. JamiiForums Tanzania Ukraine kupokea mifumo ya NASAMS Air Defense Systems kutoka Marekani

    Ukraine wamedhihirisha uwezo wao wa kutumia kidogo walichopewa, vitu kama HIMARS wamevitumia vizuri na kupokeza adhabu, sasa wanapandishwa ngazi na kupewa madubwasha ya maana, kama haya hapa kazi yake kudungua ndege, mizinga, drones na chochote cha kupaa angani. NASAMS are surface-to-air...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapotosha ukweli wa Xinjiang kwa kutunga habari za uwongo

    Chuo Kikuu cha Stanford cha Marekani hivi karibuni kilitoa ripoti iliyofichua kuwa Marekani inatumia mitandao ya kijamii kupotosha maoni ya umma duniani kuhusu Xinjiang. Ripoti hiyo iliyotolewa kwa pamoja na Chuo Kikuu cha Stanford na Kampuni ya Uchambuzi wa Majukwaa ya Kijamii Graphika...
  7. JamiiForums Tanzania Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

    Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao. Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani ina nia ya dhati kujenga Miundombinu barani Afrika ama ipo kwenye ushindani tu na China?

    Na Pili Mwinyi Ni miaka tisa sasa tangu rais wa China Xi Jinping atangaze pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” duniani, ambalo mbali na mambo mengine pia linajikita zaidi katika uwekezaji wa miradi ya ujenzi wa miundombinu. Pendekezo hili lilitolewa kwa ajili mahsusi ya kuanzisha zama mpya ya...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ubaguzi wa rangi waunda sera ya kigeni ya Marekani kuhusu Afrika

    Kamati ya Umoja wa Mataifa ya Kutokomeza Ubaguzi wa Rangi ilitoa ripoti ya tathmini ya jinsi Marekani inavyotekeleza Mkataba wa Kimataifa wa Kutokomeza Aina Zote za Ubaguzi wa Rangi, ikisema uhalifu na kauli za chuki nchini Marekani vimeongezeka kidhahiri katika miaka kadhaa iliyopita, na watu...
  10. JamiiForums Tanzania Ukombozi wa Palestine utafanywa na Urusi sio Marekani wala Waarabu

    Iko siku Palestine itakombolewa na Urusi kutoka kwenye tabu ya nchi za Magharibi na Israel. Waendelee kunywa mtori nyama watazikuta chini. Mungu sio mjinga kiasi cha kuwaacha wapalestine wateseke milele. Mungu atafanya hivyo kama alivyofanya kwa wa Israel pia. Mungu atafanya hivyo hata kwa bara...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Marekani yampongeza William Ruto kwa ushindi wa kuwa Rais

    Serikali ya Marekani imetuma ujumbe wa pongezi kwa Rais Mteule wa Kenya, William Ruto baada ya Mahakama ya Upeo kuidhinisha ushindi wake. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Anthony Blinken amesema anatarajia ushirikiano wa Kenya na Marekani utaimarika chini ya uongozi wa Ruto. Aidha, Marekani...
  12. JamiiForums Tanzania Marekani kuiuzia Taiwan silaha za Dola Bilioni 1.1

    Marekani imeidhinisha uwezekano wa kuiuzia silaha Taiwan zenye thamani ya Dola Bilioni 1.1, hatua ambayo inaweza kuzidisha mvutano ambao tayari upo kati ya Marekani na China. Mauzo hayo yatajumuisha makombora 60 ya kukinga meli, makombora 100 ya angani na msaada wa vifaa vya ufuatiliaji wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Marekani yaitamani demokrasia ya Kenya

    Soma mwenyewe hapa. Lumumba kwa kuwa hamjui kiingereza mtafuatilia komenti ili kujua kilichoandikwa.
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kenya: Ubalozi wa Marekani watoa tahadhari ya Usalama kwa raia wake

    Wakati Mahakama Kuu ikisubiriwa kutoa uamuzi wa kuidhinisha au kubatilisha Pingamizi la Matokeo ya Urais Jumatatu Septemba 5, 2022, Ubalozi Marekani umeweka vizuizi vya watu kusafiri kwenye mji wa Kisumu, eneo analotokea Raila Odinga Taarifa ya Ubalozi imenukuliwa ikisema mara kwa mara Kenya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Bloomberg: Putin azikusanya China na India nchini Urusi kwa mazoezi ya kivita akiibeza Marekani

    Bloomberg yasema kuwa Putin kayakusanya mataifa makubwa duniani, China na India, kwenye mazoezi ya kivita ya kimataifa ya Vostok-2022 yanayofanyika Urusi kwa wiki 1. Bloomberg yasema hatua hiyo ya Putin kuyakusanya mataifa makubwa nchini Urusi inazizodoa na kuzivunjavunja jitihada za Marekani...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Mississippi la Marekani lakumbwa na msukosuko wa maji ya bomba

    Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba. Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
  17. JamiiForums Tanzania Taiwan kupata Makombora mapya ya kuzamisha Meli kutoka Marekani

    Utawala wa Biden umeomba idhini Bunge la Congress kuruhusu kuiuzia Taiwan Makombora ya kuzamisha Meli, Makombora ya kulipua ndege pamoja na Rada za kisasa za uchunguzi kwenye dili la thamani ya Dola bilioni moja. United States President Joe Biden plans to ask Congress to approve an estimated...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani kuanza kusitisha uzalishaji wa magari yanayotumia petrol kuanzia2035

    Wenzetu wako mbele sana ,wakati sisi tunapambana na tozo. Jimbo la California ndilo ltaanza na hiyo program ,sidhani kama mbeleni vitukuu vyetu vitaendesha magar ya mafuta. California has laid out an audacious goal: In 13 years, it should no longer be possible anywhere in the state to buy a...
  19. JamiiForums Tanzania Cuba, taifa lilikua na uswahiba wa karibu sana na Urusi, laomba msaada Marekani

    Sio rahisi kuepuka Marekani.... Cuba has asked the United States for help in restoring a major fuel storage plant devastated by a massive fire that left 16 people dead, the island nation's foreign ministry said on Friday. The request was made during an online meeting Wednesday between experts...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani: Wizara ya Sheria yathibitisha Donald Trump aliondoka na Nyaraka za Siri za White House

    Kupitia nyaraka 184 zilizowekwa wazi mbele ya Mahakama inayosikiliza kesi dhidi ya Rais huyo wa zamani, Wziara hiyo imethibitisha kuwa Trump aliondoka Ikulu akiwa na nyaraka za siri ikiwemo za Idara za Usalama wa Taifa. Katika Hati hiyo ya Kiapo, Afisa wa siri wa FBI amesema walipitia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…