marekani

  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yawawekea vikwazo Wataliban kwa "kukandamiza wasichana na Wanawake"

    Marekani ilitangaza vikwazo vipya Jumanne dhidi ya Taliban, kama adhabu kwa ukandamizaji wao wa wanawake na wasichana nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marakeni Anthony Blinken alitangaza vikwazo vipya vya visa kwa wanachama wa sasa au wa zamani wa Taliban, na wengine "wanaohusika...
  2. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine

    Trump: Marekani ilimlazimisha Putin kuishambulia Ukraine Rais wa zamani wa Marekani amesema kuwa, serikali ya sasa ya nchi yake ni mkosa na ndiyo iliyochochea mashambulizi ya Russia dhidi ya Ukraine. Donald Trump amekuwa mmoja wa wakosoaji wakubwa wa Rais Joe Biden wa Marekani. Aidha Trump na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Marekani inajali maslahi yake sana lakini nchi nyingine zikijali maslahi yake inanuna!

    Marekani ilikuwa inakasirika sana kuona nchi za ulaya magharibi zinapata gesi ya rahisi toka urusi, maana ilishindwa kupata soko la gesi yake ya LNG huko ulaya. Ilipiga vita bomba la gesi la pili kujengwa toka Urusi hadi ujerumani lakini likajengwa kwa mbinde!! Lilipojengwa iliishinikiza...
  4. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Haitakwepeka raia wa Marekani kushuhudia madhara ya vita zinazojihusisha na taifa lao

    Ibaki kusema tu viongozi wanaona kama mzaha kuhusu tatizo la ukraine akiwemo Biden na Zelesky,madhara ya tatizo kila Raia anayeshiriki tatizo hilo lazima aguswe, raia hasa wa wamarekani walizoea na kuzoeshwa hivyo kwamba taifa lao linapoingia vitani wao ni kuangalia kwenye tv kama movie kwa...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Roy Benavides, mtu mwenye roho ngumu!

    Huyu anaitwa Roy Benavides alikuwa Askari wa Jeshi la Marekani akiwa na cheo cha Staff Sajent, alizaliwa tarehe 05/06/1935 huko Texas, Marekani. Baba yake Mzee Salvatory Benavides alifariki wakati akiwa na miaka miwili na mama yake aliolewa na mwanaume mwingine, lakini mama huyo aliyeitwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Jicho la tabu: Marekani wakijiridhisha Putin anapanga kutumia nyuklia, watamuwahi kabla hajafanya hivyo na watamgeuzia kibao katumia

    Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita. Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Biden atoa msamaha kwa waliokamatwa na Bangi

    Rais Joe Biden amewasamehe Wamarekani wote ambao wamepatikana na hatia katika ngazi ya kitaifa ya kumiliki kiasi kidogo cha bangi. Maafisa wanakadiria takriban watu 6,500 walio na hatia ya kupatikana na bangi watafaidika na msamaha huo. Kwa sasa hakuna mtu aliyefungwa kupitia shirikisho kwa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwa waliwahi kuomba kazi Ubalozi wa Marekani

    Habari, kwa yoyeto alieomba kazi ubalozi wa marekani administaritive clerk au utillity clerk post za mwezi wa nane kuna aliyepata majibu yoyote. Kuna yoyote status imebadilika kule kwenye account maana wengine still ipo no comment na kwawalio wahi fanya usaili au kukmba kazi ubalozi wa marekani...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Marekani na Korea Kusini warusha kombora kuijibu Korea Kaskazini, Korea Kaskazini yawatumia nyongeza ya makombora 2 ya balistiki

    Baada ya Kiduku kupitisha kombora hatari la balistiki Japan, lililokaa angani zaidi ya dakika 20 huku Japan ikishindwa hata kulidungua, South Korea + Marekani walijaribu nao kurusha kombora wakijitoa kimasomaso eti kujibu mashambulizi ya Kiduku. Ha ha haa...kombora likawafelia na...
  10. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Ni vyema Mataifa ya Magharibi (Ulaya na Marekani) wakaacha Unafiki mara moja

    Thread was deleted
  11. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Urusi imeingia kwenye 18 ya Marekani, dunia ijiandae kuona majimbo mapya ya Marekani katika ardhi ya Urusi

    Za asubuhi ndugu zangu, kwema? Kwa wale wanajamii forums wenzangu wafuatiliaji wa siasa za kibabe na za kimikakati za nchi za magharibi hasa Marekani. Bila shaka mtakubaliana na mimi kwamba sasa Russia (itake isitake) inakwenda kugawana baadhi ya majimbo yake ya mpakani na Marekani kupitia...
  12. The Tai

    JamiiForums Tanzania Uza bidhaa nchini Marekani ukiwa Tanzania

    IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA. Fulfilment By Amazon (FBA). 1.AMAZON ni nini? AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji kisha atalipia baada ya malipo AMAZON watamletea mteja bidhaa hiyo mpaka mahali alipo nchi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Takwimu zaonyesha Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuanzisha vita duniani

    Mwandishi huru wa habari za uchunguzi raia wa Marekani Benjamin Norton, hivi karibuni amenukuu nyaraka zilizotolewa na Bunge la Marekani akisema, kuanzia mwaka 1789 hadi mwaka 2022, Marekani imeanzisha vita 469 nje ya nchi. Katika miaka 240 tangu kuasisiwa kwa taifa la Marekani, ni miaka 16 tu...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani na Korea Kusini wamjibu Korea Kaskazini kwa kuonesha ubabe wa makombora

    Kim wa Korea Kaskazini alihisi kama ambaye anapuuzwa na kupoteza umaarufu baada ya vyombo vya habari kujikita sana kwenye kutoa taarifa za Ukraine, akaamua isiwe tabu akafyatua kombora likapita anga la Japan, sasa Marekani na Korea Kusini wamemjibu kwa kufyatua makombora ya hatari. Hii dunia...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 11.5 bado zinamsubiri mwenye taarifa za Joseph Kony

    Kupitia taarifa ya Mpango wa Tuzo za Uhalifu wa Kivita, Marekani imewahimiza wananchi kutoa taarifa muhimu zitakazowezesha kukamatwa kwa Kony anayesakwa kwa zaidi ya miaka 15. Joseph Kony na wanamgambo wake wanatuhumiwa kuwateka nyara watoto na kuwatumia kama wapiganaji na watumwa wa kingono...
  16. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Maandamano Irani: Ayatollah Ali Khamenei azinyooshea kidole cha lawama Marekani na Israel kwa kuchochea machafuko nchini kwake

    Kiongozi wa juu kabisa wa irani amezinyooshea kidole cha lawama marekani na israel kwa kusema ndio waratibu wa machafuko hayo nchini irani ikiwa ni hotuba yake ya kwanza tangu kuanza kwa machafuko nchini irani. ============================ Iran's supreme leader has blamed the US and Israel for...
  17. Webabu

    JamiiForums Tanzania Zelensky anaposifia silaha za Marekani hana nia nzuri na dunia

    Kila siku raisi wa Ukraine anapotaka kujisifu kuwa amekomboa eneo au tuseme anapopiga propaganda za vita hawachi kusifu silaha fulani aliyopokea karibuni kutoka Marekani au kwa washirika wake. Na anaponyimwa chochote na nchi hizo hawachi kutoa lawama za wazi wazi na vitisho kwa taifa hilo kwa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Joe Biden: Marekani haiwezi kutishwa na Putin

    Rais wa Marekani, Joe Biden ameionya Urusi kuwa Nchi yake haitatishwa na itisho vya Rais wa Urusi, Vladimir Putin ambaye amtenganza kuendelea kuyashikilia maeneo kadhaa ya Ukraine na kutishia kutumia nyuklia. Akizungumza akiwa amenyoosha kidole kwenye kamera, Rais Biden alisema "Marekani...
  19. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Marekani waanza kuisusa Ukraine au ni uwoga wa vita?

    White House responds to Ukraine’s NATO request Now is not the time, says national security adviser Jake Sullivan.
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kimbunga IAN chaua watu 45 na kuharibu nyumba zaidi ya 80,000

    Pia, Kimbunga hicho kinachoanza kutoweka kimeharibu takriban nyumba 80,000 katika mji wa Fort Mayers, na kuwaacha gizani zaidi watu Milioni 1.8 kutoka miji kadhaa ya jiji la Florida. Kituo cha Taifa cha Udhibiti wa Vimbunga cha Marekani, (NHC) kilisema Kimbunga Ian kilichopungua nguvu kufikia...
Back
Top Bottom