marekani

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  2. Gamba la Nyoka

    JamiiForums Tanzania Sauti: Uchambuzi wa kisomi juu ya hotuba ya Mbowe huko Marekani

    Uchambuzi huu ulifanywa na ndugu Twahir Kiobya huko clubhouse. Ameisifu hotuba ile kwa ubora wake, akachambua mbinu mkakati ambazo ndugu Mbowe anatumia katika kufanikisha mazungumzo ya chama chake na CCM na akaonyesha kuwa njia anayotumia Mbowe ni njia sahihi zaidi kwenda nayo badala ya kususa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rasmi Urusi, Marekani zabadilishana wafungwa

    Nyota wa mchezo wa kikapu wa Marekani, Brittney Griner amerejea nyumbani akitokea Urusi baada ya mabadiliko hayo huku Viktor Bout akirejea upande wa pili baada ya kuwa kifungoni kwa Miaka 12. Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Griner yupo salama na alikuwa njiani kurejea nyumbani akipitia...
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tiktok yashtakiwa kwa kudanganya kuhusu Usalama wa Taarifa Binafsi za Watumiaji

    Mwanasheria Mkuu wa Jimbo la Indiana amesema mtandao huo unawapotosha watumiaji wake hasa watoto kuhusu kiwango cha Maudhui Yasiyofaa na Usalama kwa Mtumiaji. Katika malalamiko yaliyowasilishwa na Todd Rokita ambaye ni Wakili Mkuu wa Republican amesema kuwa Tiktok inakusanya maelezo nyeti na ya...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Marekani yamuonya Kagame kuacha kuisaidia M23 huko DRC

    Hatimaye sasa its official kuwa Kagame analisaidia kundi la waasi wa M23 wanaopigana na serikali Mashariki mwa Congo DRC. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Blinken, amekutana na P. Kagame na kumpasulia wazi kuwa aache kuisaidia M23 , kikundi kinachoua na kutesa wananchi wa kawaida huko...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Mtambo wa kuzalisha Megawati 20 za umeme umewasili Nchini ukitokea Marekani

    Ijumaa Desemba 2, 2022, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilitoa taarifa ya jitihada za muda mfupi zilizokamilika pamoja na zinazoendelea kufanyika katika kukabiliana na upungutu wa umeme. Leo Jumanne Desemba 6,2022, TANESCO imetoa ripoti kuwa tayari mtambo wenye uwezo wa kuzalisha Megawati...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Meta yatishia kuondoa maudhui ya habari za Marekani kwenye Facebook

    Hatua hiyo inaweza kufikiwa ikiwa Sheria mpya inayovipa vyombo vya habari nguvu ya kuamua kuhusu ada ya maudhui yanayowekwa Facebook. Sheria kama hiyo ilipitishwa na mamlaka ya Australia ikasababisha Facebook kusitisha habari za nchi hiyo kwa muda mwaka 2021 Meta inaeleza kuwa vyombo vya...
  8. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  9. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kunani EU? Ursula alipuka "EU lazima 'ichukue hatua' dhidi ya kuumizwa na Marekani"

    TARATIBU EU DAWA INAANZA KUINGIA. IKUMBUKWE JANA RAIS WA BARAZA LA ULAYA ALITAPIKA NYONGO PIA: Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA" Soma: Mpango wa uwekezaji wa Joe Biden unaweza kutishia viwanda vya umoja huo, Rais wa Jumuiya ya...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Marekani kuzindua B-21, ndege yenye uwezo wa kushambulia kwa nyuklia tena bila rubani

    Sifa za hii ndege ni za kiajabu ajabu, kitengo cha wana hewa (airforce) kitaagiza 100 kama hizi, zina uwezo wa kusafiri kwa mwendo kasi tena bila rubani na zitashambulia kwa silaha kali ikiwemo manyuklia. ================= The US Air Force will unveil its new B-21 Raider on Friday, a high-tech...
  11. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Tala watakuwa wamefilisika, mkopo wa elfu kumi vigezo lukuki kama unaomba viza ya Marekani

    Hawa majamaa kumbe sio wa kweli, ukiwa mtandaoni wanajinasibu sana kuwa unapewa mkopo ndani ya masaa machache, nimeanza kuparangana toka juzi tena wanakomandi kuanza na elfu kumi ajabu ni kuwa kila nikiattach vinakuja vigezo vingine Kwa chini mpaka barua ya mtendaji na wadhamini watatu...
  12. Axel Lloyd

    JamiiForums Tanzania Wairan washangilia Marekani kuifunga timu yao

    Aiseee hili litakua ni ajabu la Tisa la Dunia. Wairan washangilia timu Yao kufungwa na Marekani kwenye michuano ya kombe la Dunia, wengine waonyesha bendera ya Marekani na kuimba "Marekani, tuko nyuma yako". Nini kimefanya mpaka wamefika hapa, bado nipo kwenye mshangao!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Marekani yapitisha sheria itakayotambua ndoa za jinsia moja

    Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support By Brianna Herlihy Published November 29, 2022 The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61 to 36, which will require the federal government to recognize all marriages, including same-sex...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hatimae Marekani yasalimu amri katika vita ya kiuchumi na Venezuala

    Kwa miaka mingi Marekani imekuwa ikiiwekea ajenda za kuikwamisha Venezuela hasa katika sekta ya mafuta. Vikwazo hivyo viliitikisa sana Venezuela na kuirudisha nyuma kiasi kwamba watu walipanga foleni kwa siku kadhaa kupata lita moja ya petroli, taifa shujaa la Iran lilisimama na wavenezuela na...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Mataifa yatahadharisha watu wao kwenda Marekani

    Imezoeleka kusikia tahadhari za usafiri kwa raia wa Marekani kwamba wasiende nchi fulani na fulani kwa vitisho tofauti na mara nyingi ni kile wanachokiita ugaidi.Tahadhari hizo zilitiliwa maanani sana na mataifa madogo yalillalamika kwa kunyimwa fursa ya kutemmbelewa na wamarekani. Hiyo ilikuwa...
  16. Mfalme26

    JamiiForums Tanzania Marekani: Binti amezuiliwa kushiriki tukio la kunyongwa kwa baba yake kama adhabu ya kifo huko Missouri

    Pichani chini ni bwana Kelvin Johson(37) akiwa na mama, binti yake na mjukuu wake Ikaus. Ni mtuhumiwa wa kesi ya mauaji kwa kutumia silaha anayetarajia kunyongwa wiki ijayo, siku ya jumanne Nov 29, 2022. Alikamatwa tangu mwaka 2005 akiwa na miaka 19 na binti yake alipokuwa na miaka 2. Binti...
  17. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ghana kuipiga kando dola ya Marekani katika ununuzi wa mafuta

    Nov 26, 2022 02:33 UTC Serikali ya Ghana inaanda sera mpya ya kununua bidhaa za mafuta kwa kutumia dhahabu badala ya sarafu ya dola ya Marekani. Makamu wa Rais wa Ghana, Mahamudu Bawumia amesema katika ujumbe alioutuma kwenye mtandao wa Facebook kuwa: Iwapo mpango huu utatekelezwa barabara...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kanye West atangaza nia ya kugombea tena Urais 2024

    Rapa huyo aliyebadili jina na kujiita 'Ye', ametangaza nia hiyo licha ya kufanya vibaya katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka wa 2020 aliopata Kura 60,000 kati ya Milioni 158.4 zilizopigwa. Katika video yake ya kwanza ya Kampeni, West anasema alimwomba Rais Mstaafu Donald Trump kuwa mgombea mwenza wake...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Alichokijenga Bashiru sasa kinambomoa

    Alichokijenga Dk Bashiru sasa kinambomoa Alhamisi, Novemba 24, 2022 Wana JF nimepakua hii habari ili kwa wale wasioingia kwenye magazeti muisome By Luqman Maloto Novemba 22, 1963 Rais wa 35 wa Marekani, John Kennedy “JFK”, alipigwa risasi na kuuawa. Mshituko ulikuwa mkubwa kuanzia eneo la...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

    Kauli hii ameitoa Tundu Lissu wakati akichangia mada katika space huko Twitter. Kumbe wenzetu wanataka kuleta vurugu hapa nchini, wao wameshatanguliza familia zao nje ya nchi! Wanahamasisha watoto wetu waandamane, wapigwe rungu, wa kwao wako Trump Hotels wanakula baga na pizza. Kwa nini Lissu...
Back
Top Bottom