marekani

  1. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Marekani kupigana vita na China 2025, Jenerali wa Marekani bw. Mike

    Jenerali wa jeshi la anga la Marekani Bw. Mike Minihan ameliandikia ujumbe jeshi la Marekani kuwa tayari kwa ajili ya kupambana na China mwaka 2025. Vyanzo vya habari: Swali kutoka kwa lieutenant katika jeshi la marekani hili hapa : Maswali yangu: 1. Ipi ni athari kubwa ya ujumbe wa jenerali...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Makomando wa Marekani waingia Somalia na kumuua mkuu wa magaidi wa IS

    Mkuu wa magaidi ya Islamic state aliyekua amejificha kwenye pango Somalia, ameuawa na makomando wa Marekani, pia washirika wake kumi wamewahishwa huko peponi. Poleni wenzetu humu JF ambao hutetea hawa magaidi kisa dini. ======= US forces have killed an Islamic State leader, Bilal al-Sudani...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Somalia: Mfadhili Mkuu wa Islamic State auawa na Jeshi la Marekani

    Serikali ya #Marekani imesema Wanajeshi wake wamefanikiwa kumuua #BilalalSudani ambaye ni kiongozi wa Kikanda wa ISIS pamoja na viongozi wengine waandamizi 10 katika shambulio la kushtukiza. Waziri wa Ulinzi, #LloydAustin amesema Januari 25, 2023 Rais Joe Biden alitoa agizo kwa Jeshi baada ya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta broker wa ETFs za Marekani

    Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia yeye naomba msaada tafadhali.
  5. M

    JamiiForums Tanzania WASHINGTON DC: Marekani yakubali kutuma vifaru 31 aina ya M1 Abrams nchini Ukraine

    Msemaji wa White house amesema kwamba miezi michache ijayo Marekani itatuma vifaru aina ya M1 Abrams nchini Ukraine. Wanajeshi wa Ukraine wataanza kupatiwa Mafunzo ya vifaru hivyo nchini Poland kwa muda wa miezi 3. Hayo yanajiri siku moja baada ya Ujerumani kukubali kutuma vifaru 29 aina ya...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania watoa tahadhari ya uwepo wa tishio la shambulio la kigaidi

    Sasa CHADEMA mkiambiwa msikusanye watu mpaka tishio liishe, mtasema mnaonewa, aliyesema ndio moja ya watu wenu. Na mtu wenu akiambiwa asifanye mkutano wa hadhara analia, akiachiwa akadhurika, anaililia serikali.
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Babu aua watu 10 kwa risasi na kujeruhi 10 ukumbini kisha naye ajiua

    Tukio limetokea ndani ya ukumbi wa muziki wakati watu wenye asili ya Asia wakisherekea Sikukuu ya Lunar maeneo ya California. Polisi wamesema mwili wa mshukiwa Huu Can Tran (72) umekutwa kwenye gari ikielezwa alijipiga risasi baada ya kuzingirwa na wanausalama. Bado haijawekwa wazi sababu za...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani: Nyaraka nyingine 6 za siri zakutwa nyumbani kwa Rais Joe Biden

    Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware. Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
  9. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wahoji utata wa kifo cha kijana wa Ki-Tanzania nchini Urusi

    Ubalozi wa Marekani kupitia taarifa waliyoweka kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram, Wamehoji juu ya utata wa kifo cha kijana wa raia wa Tqnzania aliyefariki akipigana vita Urusi. Ubalozi huo umehoji pia kama Urusi inawalazimisha wafungwa wenye asili ya Afrika kupigana vita yake na Ukraine.
  10. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani: El Chapo amuomba Rais amrejeshe Mexico

    Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza dau nono kwa gaidi wa Al Shabaab

    Mpango wa Idara ya Nchi ya Marekani wa Tuzo kwa Haki (RFJ), ambao unasimamiwa na Huduma ya Usalama wa Kidiplomasia, unatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa habari zitakazowezesha kukamatwa au kuhukumiwa katika nchi yoyote kwa Mohamoud Abdi Aden na mtu mwingine yeyote ambaye alitenda, kujaribu...
  13. Mateso chakubanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani haingii peke yake uwanja wa vita anavyovianzisha?

    Mara zote nimesikia na kuona kupitia vyombo vya habari Marekani akianzisha chokochoko kwa nchi kadhaa lakini ikifikia hatua ya mapigano ya kivita anashawishi nchi nyingine hasa za Ulaya kumuunga mkono kwenye uwanja wa vita?
  14. comte

    JamiiForums Tanzania Marekani wamegundua kuwa majiko ya gesi ni chanzo cha maradhi ikiwemo asthma hasa kwa watoto

    Tunaponea wapi=mkaa mazingira; kuni mazingira; gesi asthma. au tuache kupika kabisa ==== Federal agency considers ban on gas stoves following report linking them to childhood asthma A blue flame from the burner of a natural gas stove. (David McNew/Getty Images) The U.S. Consumer...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Brazil: Waandamanaji 1500 wakamatwa, aliyekataa matokeo ya Urais amelazwa Marekani

    Waliokamatwa ni wafuasi wa Rais aliyepita, Jair Bolsonaro ambao walivamia Bunge, Mahakama ya Juu na Ikulu Jijini Brasilia ikiwa ni wiki moja baada ya Luiz Inacio Lula da Silva kuapishwa kuwa Rais. Rais da Silva amelaani maandamano hayo na kuita ni ghasia za kigaidi na kuahidi kuwashughulikia...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine sasa inasema kuwa: "Hakuna nchi iliyotusaidia kiasi cha kutosha".

    Kupitia waziri wake wa mambo ya nje, Ukraine imelalamika wazi na kusema hakuna aliyeweza kutusaidia kiasi cha kutosha katika vita dhidi ya urusi. Pamoja na kutambua misaada iliyopokea hadi sasa lakini anasema: "tuambiane ukweli, maadamu urusi bado imeikalia nchi yetu hapo hatujasaidiwa vya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania na waafrika kwa ujumla tuna wajibu wa kimaadili kupeleka ustaarabu ulaya na Marekani!

    Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote atakachokipenda chifu anaamua kukichukua hata kama ni shamba lako, mke wako, ng,ombe wako nk. Chifu...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Romania kujihami na madubwana ya Marekani yenye uwezo wa kupiga meli za Urusi

    Mrusi keshasogelewa vya kutosha, tena anashikwa hadi kidevu, kwa sasa hawezi akajifanya kama ambaye anajikuna, haya mavitu yanawekezwa Romania yenye uwezo wa kusambaratisha meli zake huko huko katikati mwa bahari. Kwa sasa hana jeuri ya kusema chochote maana amedhihirisha alivyo dhaifu baada ya...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya bunge la Marekani kuhusu "return" za kodi za TRUMP zinaonyesha biashara zake zinatengeneza hasara

    Wakati anatangaza nia na hatimaye kuteuliwa na kushida kuwa rais wa Marekani Trump alijipambanua kuwa ni mfanya bishara makini aliyekuwa anatengeneza faida kubwa kutoka kwenye biashara zake. Ili kulinda taarifa hizo alihakikisha taarifa zake za kodi kupita 'RETURN ZA KODI" haziweki wazi. Jambo...
  20. mcshonde

    JamiiForums Tanzania China na Marekani wagombania kuutawala au kumiliki Mwezi

    Seneta na bosi mstaafu wa Mamlaka ya Marekani ya Usafiri wa Anga (NASA), Bill Nelson, ametoa tahadhari kuwa muda wowote China wanaweza kuumiliki mwezi mzima ukawa mali yao. "tuko katika mashindano ya kianga, na China watajimilikisha mwezi endapo wakafanikiwa kufika huko kwa kisingizio cha...
Back
Top Bottom