Kama namwona Samuya huko aliko akitukana, akisonya, na kuvimbisha mashavu yake.
Mange afungua shauri dhidi ya kampuni ya Meta ambayo ndo inamiliki Instagram, WhatsApp, na kadhalika.
Tazama hiki kipande cha runinga ya Firstpost.
https://youtu.be/5zEttYOuyvA?is=8j15o65At_8zjVQv
Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imezialika kampuni za Marekani kuwekeza katika rasilimali kubwa za madini za nchi hiyo, huku ikitaka Marekani kupunguza vikwazo vya kiuchumi na kuachilia fedha za Afghanistan zilizogandishwa.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban, Amir Khan Muttaqi, amesema...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amemjibu Mzee Joseph Sinde Butiku kuhusu madai kwamba chama hicho kinapokea fedha na misaada kutoka Marekani.
Heche amewataka Watanzania kupuuza madai hayo, akisisitiza kuwa CHADEMA haifadhiliwi na Marekani. Kauli hiyo imeibua mjadala baada ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna Watu wanaojiita Wanaharakati wana ujinga Mwingi sana ,wana utoto sana , wana umbumbumbu mkubwa sana vichwani Mwao. Wivu ,chuki binafsi na ubaguzi vinawatesa sana baadhi ya watu waliojipachika majina ya Uanaharakati ili wapate kuganga njaa zao.
Yaani eti mtu anakaa...
Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa.
Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa.
Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
Ndege ya Jeshi la Marekani ikiwa na ujumbe mzito ukiongozwa na Mkuu wa shirika la ujasusi la Marekani CIA yatua Moscow Urusi.
Kwa mujibu wa taarifa za shirika la BBC na CBS, John Ratcliffe ambaye ni Mkuu wa Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA),, amesafiri hadi Moscow kwa mazungumzo ambayo...
Watanzania acheni kushabikia siasa za hovyo...kauli za lissu ndo zimeathiri Kila kitu kwa watumishi na wananchi wa kawaida.
Naweza kusema lissu amekuja kuharibu ustawi wetu alaaniwe na Kila mtanzania mzalendo.
Leo hii tunaona aibu hata kuomba serikali iongeze mishahara kwasababu tunajua...
Jaji Jeannette Vargas wa Mahakama ya Wilaya ya Kusini mwa New York ametengua sera ya utawala wa Trump iliyosimamisha utoaji wa visa za wahamiaji kwa nchi 75, zikiwemo nchi 26 za Afrika. Jeannette amesema sera hiyo ilikuwa “kinyume cha sheria waziwazi” na kwamba ilivuka mamlaka ya Waziri wa Mambo...
The deployment has reportedly been plagued by supply and maintenance issues, including shortages of food and basic supplies, a lack of hot and potable water, and plumbing problems. Crew members’ families have raised alarm over what they described as collapsing morale, burnout, and mental health...
Hii kesi ya Serikali na Lissu inafanana sana na vita vya Marekani vilivyovianzishwa na Trump dhidi ya Iran. Marekani ni superpower kijeshi na anatumia silaha kubwa sana na assets za kila aina kumpiga Iran ila Iran bado imekeza tu japo inaumia haswa kweli.
Marekani ina uwezo mkubwa wa kijeshi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki.
Ni...
Uchunguzi mpya uliofanywa na harakati ya Regavim unaelezea jinsi mkusanyiko mkubwa usio wa kawaida wa raia wa Marekani katika kijiji cha Kiarabu cha Turmus Ayya huko Judea na Samaria (Ukingo wa Magharibi) umekuwa utaratibu wa kusababisha shinikizo la kisiasa na kidiplomasia kwa Israeli. Takriban...
Uchaguzi wa kijeshi wa kila mwaka wa Korea Kusini na Marekani umepunguzwa kwa siku sita kwa ombi la Washington, Wizara ya Ulinzi ya Korea Kusini imetangaza.
Seoul imesema kuwa “muda na ukubwa” wa zoezi la kijeshi la Ulchi Freedom Shield 2026 umebadilishwa kufuatia “pendekezo kutoka upande wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi.
Tanzania...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema Marekani itapunguza kwa kiasi kikubwa mazoezi ya pamoja ya kijeshi na Korea Kusini, akitaja uhusiano wake mzuri sana na kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un.
Trump pia alisema kwenye mtandao wake wa Truth Social kwamba Korea Kusini hivi karibuni...
China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani
Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...