mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Hivi kuna wanaoamini mapenzi ya kweli kama mimi?

    Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano. Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata...
  2. JamiiForums Tanzania Unaweza oana na Mtu Salvage uka enjoy mapenzi kweli?

    Mfano Mwanamke - alikuwa Malaya ....kachakazwa sana ...yaani watu wameosha sana kwake. Sasa inatokea unakuja kuwa naye labda siku ulikuwa na njaa ukala ukakuta naye amekuganda mwishoni anasema muoane. Inawezekana ukaja enjoy life naye? Ashatoa sana mimba mpaka nyingine ilikataa kutoka akazaa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanashindwa kufanya haya matano?

    1. Lala nae (muhimu kuliko yote) 2. Mlishe ashibe 3. Muheshimu 4. Mwache awe na amani 5. Usimuingilie katika mambo yake. Ni ajabu sana wanawake hawawezi kuyafanya haya matano kwa waume zao, ni kwanini?
  4. JamiiForums Tanzania Sitaki kuzini: Sijawahi kuona kama ana dalili za kuoa na sitaki kumwambia unioe

    Habari za mida hii ndugu zangu Nmekuja nipate ushauri maana naona kila ninalotaka kuliweka mezani napangua. Nimekuwa na mahusiano na kijana mmoja kama miezi miwili hivi au mitatu. Alinikuta sina mtu na tukaanzisha uhusiano (Huyu mtu ananijua na tunajuana maana tumetoka sehemu moja na tumesoma...
  5. JamiiForums Tanzania Nini maana halisi ya Mapenzi?

    ....
  6. JamiiForums Tanzania Natafuta Mwenza (Mke)

    Sifa zangu 1. Mkristo( dhehebu A.I.C) 2. Nina miaka 30 3. Mwenyeji kanda ya ziwa. 4. Elimu shahada ya kwanza (sijaajiriwa, nipo nashughulika na kilimo) 5. Urefu 165cm, rangi ni maji ya kunde. 6. Mpole sana kijana mwenye hofu ya Mungu. SIFA ZA MKE NINAYEMHITAJI 1. Umri miaka 20-25 2. Dini...
  7. JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Hatimaye ametiki

    Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma in Businesses administration). Nikiwa nimeketi kwa pembeni kipindi hicho ndo kuna wanafunzi wapya...
  8. JamiiForums Tanzania Tumeachana ila analaumu simtafuti kwenye simu

    Habari wakuu Kuna binti mmoja tulikua kwenye mahusiano kwa takribani mwaka na visehemu,bahati mbaya sana tukaachana tar1/3 mwaka huu na tukatakiana maisha mema fresh fresh. Sasa cha ajabu zinaweza zikapita ata wiki3 atanitxt na kunilaumu kwa nini namtenga sijui simtafuti na lawama...
  9. JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia

    Wakati mwingine, mapenzi yanaweza kuuchosha moyo wako kwa mtu ambaye unampenda ila kwake yeye anacheza na hisia zako tu.. Jaribu kufikiria kama mwanamke au mwanaume pale unapompenda mtu kwa moyo wako zaidi, na yeye anaona kama kawaida.... Penzi la kweli halitaki masihara na kuuchezea moyo wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

    1. Baby samahani dakika moja, wife anapiga simu. 2. Baby muda umeenda Sana mke wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa 3. Baby nataka kuja kulala kwako mke Wangu amefiwa kaenda kwao 4. Baby sintaweza kuja Leo, wife kanibana... Pole kwa kuugua 5. Baby...
  11. JamiiForums Tanzania Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

    Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
  12. JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiolewa au kukutana na mwanaume ambaye hajawahi kufanya mapenzi utachukuliaje?

    Habari zenu humu ndani. Baada ya kushiba daku nimeamua kuja na uzi huu. Kwa sisi wanaume tukioa kisha tukapata mwanamke ambaye hajawahi kuguswa, mwanaume anajiona fahari. Wanaume tunaona tumepata kizuri cha kupata. Na hata katika jamii inakuwa ni jambo jema. Sasa swali ni kwa upande wa pili...
  13. JamiiForums Tanzania Majuto ya mambo tuliyofanya kimakosa katika mapenzi (sex) au mahusiano

    Ninamajuto mengi sana nilio yajutia baada ya kufanya kutokana na kuoelekwa na hisia za mwili kuliko kifikiria. 1st Niliwahi kumpenda mdada flani hivi vibaya sana nilikuwa namuonga sanaaa kwa kujua kuwa ni wangu peke yangu ila alinipiga chini nikalia kama mtoto mpaka leo sijawahi kupenda...
  14. JamiiForums Tanzania Fahima wa Rayvanny ateswa na wivu wa mapenzi

    Fahima anateswa na wivu wa mapenzi baada ya Rayvanny kuweka kambi kwa mtoto Paula. Anamuita Paula anaejiona amepata 😂😂😂 Nakushauri move on Fey hakunaga laana ya Ex...Hicho anachofanya Ray ndio uanaume sisi wanaume hata uwe mzuri vipi ukikosa heshima na unyenyekevu tunakuacha tunatafuta mali...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Madahara ya kukutana kimwili nje ya ndoa au pasipo kuwa katika ndoa

    MADAHARA YA KUKUTANA KIMWILI NJE YA NDOA AU PASIPO KUWA KATIKA NDOA Kukutana kimwili nje ya ndoa ni lango linalotumiwa na adui kuharibu vipawa vya Mungu ndani ya watu, Kwani tendo la ukutana na mtu kimwili si kujifurahisha tu kama wengi wanavyofikiri bali hiki ni kifungo cha Nafsi Na...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Amuua Mke na mwanaye kisa wivu wa mapenzi

    Muleba. Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia Joachim Rwegasira mkazi wa kijiji cha Bushanga Wilaya ya Muleba Mkoa wa Kagera kwa tuhuma za kumuua mkewe, Rosemary na mwanaye, Joiness na kisha kujijeruhi. Rwegasira anapatiwa matibabu hospitali ya Wilaya ya Muleba Rubya akiwa chini ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi yanaumiza sana

    Nimejaribu kutafakari kwa upana na maunga yake nikagundua yanaumiza mno. Ohooo nilisahau kuwasalimu.Habari zenu.
  18. JamiiForums Tanzania Je, ni bora uwe kwenye mahusiano na mtu unayempenda lakini humwamini au unayemwamini lakini humpendi?

    Mahusiano hujengwa na vitu vingi kama mapenzi, imani, huruma n.k towards mwenzi wako. Mahusiano 'ideal' ni yale ambayo unampenda, unamthamini, unamhurumia, unamuamini, unamtamani mpenzi wako. Lakini mara nyingine unaweza kulazimika kukubaliana na hali na kuchagua vita yako ya kupigana. Je...
  19. JamiiForums Tanzania Upendo wao udumu maisha yao yote

    Nimewapenda bureee Mr and Mrs David😍😍 Mungu awazidishie imani na upendo. Wadumu maisha yao yote.
  20. JamiiForums Tanzania Hisia za mapenzi hamna siku hizi kwa sababu ya hizi smartphone

    Sasa hivi watu wako busy kuperuzi mitandaoni kwani dunia ni kama Kijiji mtu unapata vyote ambavyo unavihitaji.. Ukitaka kufurahi na kuvunja mbavu huitaji mpenzi akuchekeshe unaingia katika page za vituko unakutana na comedy. Ukitaka mtu wa kufanya naye sex unaingia tu katika site za X...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…