Wana JF, salaam nyingi.
SUMU YA SIMU NA SUMU YA NYOKA:
“Naongea na simu”.
Siku hizi simu zinatoa sumu kali sana, hadi kuua zinaua. Hebu tulia kidogo, kisha fananisha kidogo simu yako na nyoka. Vipi, simu yako mara ya mwisho kutoa sumu ni lini?
Nyoka asipotoa sumu hana madhara, lakini akitoa...
Nianze kwa kulaani kitendo alichofanya huyu Grace, cha kumuua mpenzi wake kwa kumteketeza kwa moto. Ni kitendo cha kinyama sana.
Funzo:
1. Tunatakiwe tuwe real kwenye mahusiano yetu. Ni dhambi kubwa sana kumuaminisha mtu kuwa unampenda halafu kumbe kuna mwingine unampenda na umeshamtambulisha...
Wakuu habari zenu..
Poleni sana na majukumu
Napenda kuandika ujumbe huu nikiwa na akili zangu timamu..tupo kwenye kushare mawazo kama vijana..
IKO HV
Nina mrembo mmoja ambayo nimesoma naye chuo since 2 years ago na tumemaliza mwaka jana wote pamoja...
Huyu manzi alikuwa ni mgeni pale chuo...
Kabla hatujajiuliza kama mapenzi ya kweli yapo inatupasa tujiulize na kufahamu neno "PENZI LA KWELI" ni nini? picha ambayo huwajia wengi vichwani mwao wanaposikia neno hili penzi la kweli huona kuwa ni watu wawili kupendana hata ikafikia hatua ya mmoja kugharamika roho yake kwa ajili ya faida ya...
Nilikuwa nataka aje ghetto ili anitunuku, wiki tatu zikakatika wakati huo wote alikuwa ananiambia vitu alivyonavyo mwilini kama shanga, akauliza pia kama ninapenda kiuno chenye shanga. Nikamwambia "Ndio ninapenda kiuno chenye chachandu." Kuna siku nilitaka game ila muda ulikuwa umeenda kiasi...
Texting Girls: 10 Mistakes Men Make, But Must Avoid
1. Insisting on a date.
It is perfectly okay to arrange a date with a girl you just met, but don’t push her to give in to a date until she’s perfectly ready for it. If you suggest a date and the time or date that is not appropriate for her...
Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita.
Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili nioneka kidume ambacho ni ndoto ya wanawake, si mnajua tena vijana wadogo kwa kupenda sifa...
Tumeanza kudate miezi mitatu imepta!! Mwanzo ilikua kawaida tunatafutana kwa siku mara moja jion au mara mbili kwa siku
Sasa bana kuanzia mwez 6 tabu ndipo ilipoanza
Akipga simu hataki kumaliza maongezi
Hata ukimwambia umechoka hakuelewi
kila muda sim ,text ukipitaa lisaa utakuta miscall 7 msg...
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete.
I honestly don't want this to happen but nawaza nini kinaweza tokea? Nikimwambia tuvumilie...
Wiki iliyoisha tu kuna msela wangu kaachwa akawa analalamika mpak kulia! Kiberenge wa watu ndo kwanza sielewi nikawa namcheka naona huyu nae anajitafutia visa tu!
Yalayalayala!! Kumbe jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza na hata yule muhenga aliesema "usiombe yakakukuta" yaonyesha...
Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!.
Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
Naamini Jumapili iko salama kwa kila member na Kama hali haipo hivyo,ni changamoto za maisha tu,amini mambo yatakuwa sawa.
Kisa changu ni kama ifuatavyo hapa chini:
Mwaka 2015 nilihamia mkoa mmoja huko nyanda za juu kusini nikiwa kijana ambaye sikuwa na mahusiano ya kudumu. Katika pitapita...
Habari ya leo wana jukwaa wenzangu,
Mke wangu hataki kunipa tunda hata niki muuliza kila siku anakuwa na sababu tofauti mara nime choka, mara leo naumwa nashindwa kuelewa kwanini ananifanyia hivyo yaani nabaki na maumivu yangu.
Na ukianagalia sijawahi kuwa na mpenzi wa nje kwahyo ni jambo...
Habari wapendwa na poleni kwa majukumu.
Kuna jambo la kawaida kwenye maisha yetu ya kila siku nimeona si vibaya kusaidiwa kudadavua au kulijadili kwa pamoja bila upendeleo!
Kwenye maisha ya mapenzi au pengine maisha ya ndoa kuna changamoto nyingi sana na bila kujali tunapaswa kupambana nazo...
Nauliza hivo kwasababu watu huwa wanawatumia watakavyo, yaani kama mdoli?
Na wao huwa hawaoneshi kama wanapata msisimko au hisia zaidi ya kutaka umalize achukue pesa yake.
Habari JF;
Leo nataka niongee na vijana wenzangu wa jinsia zote, kuhusu video za porn maarufu kama XXX.
Vijana wengi wanatumia video za X kama njia ya kujifunza jinsi kufanya mapenzi na staili mbali mbali .
Kwanini kijana hutakiwi kutumia video za X kama njia ya kujifunzia mapenzi?
1...
Kuna baadhi ya Watanzania wenzetu imani yao kwa viongozi wetu wa nchi inatawaliwa zaidi na mapenzi yao au chuki yao kuliko uhalisia.
Mtu akishampenda kiongozi fulani kwasababu zake binafsi, basi kiongozi huyo hata akiwa anaboronga katika utendaji wake wa kazi, yeye ataona yuko sawa, hata akiwa...
Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao!
Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo! Na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo...
Wanawake sometimes wanataka drama ukiwa mpole sana utamboa, yaani mkakaa mwezi haujamgombeza anaboreka [emoji28]yaani fanya kumtafutia ka ugomvi fulani hivi cha uongo na kweli na wakati mnatatua ka ugomvi unampiga kimoja cha fasta huwa wanaenjoy sana!
Hakuna raha kama kufanya mapenzi wakati...
Habari wana JF!
Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia kiasi cha kutokuwa na hisia naye tena
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.