Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano JF.
Nipo na huyu kijana mwezi wa pili sasa lakini naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda.
Huyu jamaa yangu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele, anaweza kujitahidi siku...
Kama mtu wa kufanya research ndogondogo hii hali inatisha kwakwel sio kawaida ya watanzania kabsa toka nizaliwe watanzania wao ni mpira na ngono tu lakini hali kwasasa ni tofaut Kwenye mitandao yote sio jamii forum tu
Kote hali tete, mada za kiwaki zote hazna wachangiaji kabsa
Kweli watu...
Mapenzi ni matamu sana ukipata anayekupenda na kujali hisia zako.
Embu tupunguze kidogo haya mawazo ya nchi yetu maana yamekuwa mengi tulifreshi akili kwa mambo matamu na mazuri ya kimahaba.
Nakupenda zaidi ya unavyoweza kufikiria.
Wewe ni furaha yangu ya kila siku.
Ukiwa mbali nahisi upweke...
Nikinukuu maneno ya Rais, kuwa "vurugu na uvunjifu wa amani huishia kupimana nguvu na uwezo wa kujihami, ila mazungumzo huzaa mshikamano. Sasa tuchague lenye manufaa kwetu, kwani usalama wa Taifa lolote hulindwa na wote kwa nguvu zote na gharama zozote"
Niongezee kwa lugha ya sasa, kwa wivu...
Inna Lillahi wa inna ilayhi raji'un
Pole kwa watanzania wenzangu mliopoteza ndugu, jamaa, na marafiki katika kipindi hiki kigumu.
Ni huzuni, huzuni, huzuni ilioje vilio na simanzi. Mambo hayaendi sawa hata mbususu haziliki na zikilika, zinalika kinyonge. Kwanza nguvu ya kula chakula cha usiku...
Kutoka moyoni, napenda sana EV. Sana. Na ndio maana Tesla Model 3 au Model S zipo kwenye menu by 2028.
Sasa kuna wapinzani wengi kutoka China wanakuja, mona wapo ni XPeng P7 ya 2025.
Specifications zake ni za moto, battery 75 kWh na 92 kWh, range ya 700 km hadi 820 km, charging system 400 kW...
Hii ni hadithi ya Sahih al-Bukhari 5068, kama ilivyoandikwa katika kitabu cha "Kitāb al-Nikāḥ" (Kitabu cha Ndoa):
Tafsiri:
Jamaa alikuwa anatembeza sana kiboko. Na hakuwa na maadili kabisa. Aliwachukulia wanawake kama ni chombo cha starehe tu.
Hello Jf members👋
Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
Kwema wakuu, heshima mbele!
UKIPENDA NI NOMA AISEE! Next time nitajitajidi mimi ndio nijibu nakupenda pia, ngoja nile glucose kwanza nipate nguvu ya kusimulia, nitarudi.
to be continued....
1: Penzi la age-mate wako litakutesa sana. Kuna namna kiasili mwanamke unae lingana nae anakuwa vibrant kukuzidi na pia anakuwa anakuona chalii katika experience ya maisha thus anakuwa triggered zaidi na wanaomzidi umri.
2: Binti kama anakukubali na bado hauja mu-approach atakuset ili ionekane...
Kwenye mahusiano ni ngumu kumpata mtu aliyenyooka kila mtu anavipengele vyake , utajikuta kila siku unabadilisha mtu , inatakiwa upime, kuna tabia zinazoweza kuvumilika na zisizoweza kuvumilika unaangalia ni nani ana unafuu
Kwenye kufanya mapenzi mara nyingi wanawake wanafaidi zaidi kuliko wanaume.
Wakisuguliwa ni utamu wa hali ya juu, wakikojolewa yaani hadi mashetani yatapanda, wakikojoa wenyewe yaani hadi neno ambalo hukuwahi kulisikia utalisikia.
Tabia ya nyota (au zodiac signs) kwenye mapenzi
Nyota za Moto (Fire Signs)
Aries, Leo, Sagittarius
Aries (Machi 21 - Aprili 19)
Mpenzi mwenye nguvu, mchangamfu na anayeongoza.
Huangukia mapenzi haraka lakini pia hupoteza hamasa haraka.
Anapenda ushindani na changamoto.
Leo (Julai 23 -...
Baada ya kupigwa matukio sana na watoto wa 2000 now nime amua kudate na mtu ambaye kanizidi umri au agement wanawake wa 95 up 97 hawa wana jitambua kwa hali fulani au mna lipi la kuniambia nataka kuoa mwakani
Habarini wakuu
Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka.
Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri.
Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
Wagonjwa wengi wa maradhi ya Afya ya akili chanzo kikubwa kinaletwa na kutoshiriki tendo la ndoa kwa walio na umri wa kufanya ilo tendo.
Wenye maradhi haya wengi ni wale WALIOKUWA wanandoa au walikuwa kwenye mahusiano lakini Sasa yamevunjika ghafla.
Tukubaliane waanga wengi ni wao
Muhimbili...
Mapenzi ni kama moto , moto ukiuchochea unakolea zaidi na usipouchochea unazimika ,
kuna mambo unatakiwa uyafanye ili kuzidisha nguvu kwenye mapenzi yenu yazidi kuimarika yawe bora siku hadi siku .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.