mapenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mimi Mwanaume na hekima zangu zote, mwenzenu nalizwa na mapenzi

    Mapenzi yamenitoa machozi, Nimempenda huyu dada kiasi kwamba nikijishahuri kumuacha roho inaniuma, inauma sana. Nikimuona na wanaume wengine naumia sana. Hasa pale atakapokua akiongea na wengine anakua na furaha, wakati akija kwangu anakuwa mkimya na mnyonge. Yani natamani nimfurahishe kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...
  3. JamiiForums Tanzania Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi kuna ubaya mpenzi akitaja jina la mtu mwingine wakati mnafanya mapenzi?

    Je, kuna ubaya gani ikitokea hivyo? Imagine wewe ni Juma, lakini wakat una sex na mpenzio anamtaja Benja😅😅😅 Au wewe ni Asha, una sex na Mohammed, mudi wakati yuko katikati ya unono anamtaja Hamida😅😅😅😃😃
  5. JamiiForums Tanzania Afariki baada ya kipigo kutoka kwa mumewe

    Mwanamke mmoja Mkazi wa Kijiji cha Kanyarakata Kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa, Albetina Mazwile (42) amefariki baada ya kupigwa fimbo katika sehemu mbalimbali za mwili wake na Mumewe na kupelekea kuvuja damu kwa ndani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, William Mwampaghale amesema...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Looking for serious relationship

    Hello! Good morning everyone, my name is Dorcass, age 30 years, single, I don't have kids. I am looking for serious man later to be my husband. I need a person who loves himself and fear of God. First must be a Christian. I need someone older than me age between 35-40. Must be government or...
  7. JamiiForums Tanzania Dr. Mzuri: Wanaotaka Watoto wa kike wanaojiingiza kwenye Mapenzi wakiwa na Miaka 15 Wafungwe Gerezani wanakosea sana

    Mkurugenzi TAMWA-ZNZ awashangaa wanaotaka mabadiliko ya sheria Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa habari wanawake TAMWA-ZNZ Dkt,Mzuri Issa amesema mtazamo wa baadhi ya wanajamii kutaka watoto wakike wanaobakwa waliofikisha miaka (15) wawe sehemu ya kupata adhabu kisheria ikiwemo kufungwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayako Fair. Wakati mpenzi wa Zamaradi kawekwa kwenye bango la mil. 6, wengine hata kwenye phonebook hampo

    Watu wanapendwa asikwambie mtu, lakini wewe unatendwa na kupondwa. Wanaumeeeeee! Mpo? Mwenzenu anapendwa mpaka anawekwa kwenye bango lakini wengine hata kwenye phonebook hampo ama mme-seviwa kwa jina la "Guruwe ama Nguruwe" Mapenzi kizunguzungu hata kwa wanawake maana wapo wanaohongwa...
  9. JamiiForums Tanzania Billboard ya umpendaye! Je ni mapenzi ya dhati? (critical thinking)

    Happy Valentine nyote! Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini siumizwi na mapenzi..? Fatana nami uelewe

    Nimechoka kufatwafatwa pm watu wakiniuliza kuwa nawezaje kuishi bila mapenzi!,Sasa nimeamua nije nijibu swali hili hadharani kwa manufaa ya wote. Mapenzi yamekuwa ni mwiba kwa baadhi ya watu tena wengine wameachwa na madonda makubwa sana huku baadhi ya jamaa zetu wakifa kwa wivu wa mapenzi n.k...
  11. JamiiForums Tanzania Valentine's day: Mungu huwaunganisha wapendanao kwa namna ya kipekee sana......

    Habari za muda huu ndugu jamaa na marafiki wapendwa hapa jamvini........ Leo nimekumbuka kisa cha rafiki yangu mmoja........ Miaka kadhaa nyuma baada ya rafiki yangu kupambana na usafiri wa umma hatimaye Mungu alimjaalia akapata kipando Cha miguu miwili(piki piki) Tulilipokea kwa furaha huku...
  12. JamiiForums Tanzania Umewahi kufilisika kwa sababu ya mapenzi?

    Miaka michache iliyopita nilipata kazi ya mkataba, nikawa nakunja milioni moja kwa mwezi, nikaona maisha si ndio haya. Bahati mbaya nikaangukia kwenye mikono ya watoto wa mjini, laki laki zilikuwa zinatoka kama vile njugu, mara ohoo nikasuke, mara nimeichoka hii Tecno nataka samsung, mara...
  13. JamiiForums Tanzania Mada: Kwanini tumefika hapa?

    Umofia kwenu!!!!!1 Kwanza kabisa niwatakie heri ya mwaka mpya 2022, ni muda mrefu kidogo nimekuwa ndugu mtazamaji lakini kwa leo naomba nilete hili kwenu. Kwanza kabisa ijulikane taasisi ya mahusiano na ndoa ndio taasisi mama katika kuishape jamii, kumbuka taasisi hii ndiyo inayozalisha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuacha mtu unayependa kwa dhati kisa umeshauriwa na watu?

    Habari waungwana. Kwanza kabisa tuvumiliane. Leo nina swali, hivi unaweza kumuacha mtu unaye mpenda kwa dhati kwa kushauriwa na mtu au watu ? Hii hasa nauliza jinsia ya kike. Karibuni aisee, tupeane muongozo.
  15. JamiiForums Tanzania Natamani urudi hata kwa dakika tano mke wangu

    Naumia si kwasababu Mungu amekuchukua bali ni kwakua sikupata kuwa mume wako katika kipindi chote cha miaka sita ya ndoa yetu. Bado nakumbuka meseji yako ya mwisho uliyonitumia uliniambia “Mume wangu njoo tu nyumbani, samahani kwa kukusumbua lakini nataka tu nikuone sijisikii vizuri!”...
  16. JamiiForums Tanzania First love...

    Ni hisia ya pekee sana pale unapo tambua kuwa umependa kwa mara ya kwanza, wengine hupenda ukubwani na wengine katika kipindi cha makuzi yao hasa wanapo balehe. Niwapongeze wote mlio fanikisha kuwapata wapenzi wenu wa kwanza kabisa mlio wapenda, kwa upande wangu mimi haya ndio yaliyonikuta kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanaoa wanawake wa kawaida ilihali wamezoeleka kutoka na pisi kali?

    Habari wanaJF Leo nakuja na swali. Imekuwa jambo la kawaida na kushangaza pale unapoona vijana mabachelor wakati wa kuoa uoa wanawake wa kawaida sana ilihali imezoeleka enzi za ujana wake hasa alikuwA akizichakata pisi kali sana. Hii imekaaje watalaam wa mambo. Ni kwamba kuna wanawake wa...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Tuzuie vifo vitokanavyo na wivu wa mapenzi

    Kumekuwepo na visa vingi vya watu kujiua kutokana na wivu wa mapenzi.Hili huwa linaniuma sana hasa inapotokea mwanamke amejiua kwa sababu mume amechepuka Kwanza tujue chanzo nini nini mwanaume kuchepuka kwanza kabisa ijulikana kuwa wanaume ni wadhaifu sana kwa wanawake.Kwa asili mwanaume ana...
  19. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kutafuta mwenza na kuweka kipengele kuwa, lazima awe amejiajiri, ameajiriwa au awe ana pesa; katika ulimwengu wa mapenzi ni sawa?

    Kumekuwa na matangazo mengi ya kutafuta wenza/wachumba siku za karibuni kupitia majukwaa mbalimbali. Sifa zinazoainishwa kwa muhitaji, mojawapo ni kipengele cha kazi; atasema anataka mwenza aliyejiajiri au aliyeajiriwa. Kwa mtazamo wangu, katika mazingira hayo, mi naona muhitaji anayetafuta...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wenye maumbile madogo ya sehemu za siri, yanawafanya mkose kujiamini katika mapenzi?

    Huyu kaka nipo nae ktk mahusiano huu mwaka tutatimiza miaka 3 Mungu akipenda. Yeye ni mkubwa kwa miaka 13. Anasifa zote za mwanaume anaejitambua. Anajua kucare, ana huruma, mpole, haongei sana labda akiwa amekasirika, sio mbahili kutoa pesa, ana heshima ila tatizo lake moja tu ana sehem za siri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…