mapenzi

  1. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika

    Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...
  2. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Mfumo kamili wa Mahusiano na Mapenzi kwa ujumla

    Tumeelewana au niongeze Nyama?
  3. A love

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma sana

    Habari zenu, Mimi binti wa miaka23, naomba mnipe ABC ndg zangu, jinsi ya kumsahau mtu aliye kuacha. Nilikuwa kwenye mahusiano na mkaka kwa zaidi ya miaka 5 , ikafika muda akataka aende home kupeleka mahari lakini baadae alisema kuwa nimpe muda ili atafute pesa zaidi, nilikubali lakin ilivofikia...
  4. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mapenzi siyataki tena Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

    Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level music. Rayvanny aliachana na mpenzi wake na mama wa mtoto wake Fahyma mapema mwaka huu . Alianza...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kichaa ana hisia za kupenda? Je, anaweza kuafanya mapenzi?

    Leo nimekaa sehemu, ghafla akapita kichaa mara acheke cheke, aokote vipande vya mkaa na kuchora visivyoeleweka kwenye ukuta, n.k kiufupi akili haijakaa sawa, sasa nikawa najiuliza haya maswali. a) Je, wana hisia za kuweza kumpenda mtu kimapenzii? b) Je, wana uwezo wa kushiriki kufanya...
  6. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya binti kwa baba yake yalisaidia kumtoa baba gerezani

    Ilitokea huko Ufaransa, wakati wa utawala wa Louis XIV, huyu baba alihukumiwa kufia gerezani kwa njaa kosa lake aliiba mkate. Mtoto wake akiyekua ananyonyesha alikwenda kumtembelea baba yake kila siku. Akifika anampa baba yake maziwa yake anyonye. Baada ya miezi minne walishangaa kumuona mzee...
  7. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Waume zetu msiache kufanya mapenzi na sisi tukiwa wajawazito

    Katika hoja hii natamani wajuzi katika sekta ya afya waje watupe majibu zaidi. Lakini kwa uelewa wangu, ni vyema waume zetu wakaendelea kufanya mapenzi nasi tukiwa na ujauzito. Mimi sio mtaalamu sana lakini nina hakika na sababu mbili: 1. Inatusaidia kwenye kuongeza kujiamini kwa sababu ukiwa...
  8. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    By default wanadamu tulipoumbwa kila jinsia ilipewa majukumu yake, jukumu la viumbe wenye jinsia ya kiume (wanaume) wameumbwa kutawala jinisia ya kike (kike) katika kila Nyanja na jinsia ya kike imeumbwa kutawaliwa na jinisa me. Sio maneno yangu bali ni maneno ya vitabu vyote vya dini Quran na...
  9. Fall Army Worm

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

    Wapendwa habari za jioni. Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu. Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha fulani kuwa atakuwa na ladha fulani ya pekee na sifa kibao kutokana tu na mwonekano wake wa nje, lakini...
  10. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mapenzi yananinyima raha, sijui ni psychological problem

    Wakuu msinicheke mficha uchi hazai Siku hizi nimepata sijui ni depression, sijui stress sijui ni anxiety au nini. Siku za nyuma nilipokuwa na mpenzi yeyote au wapenzi, basi nikimtafuta mpenzi through phone either text au call, hata hasipopokea basi nachukulia poa yaani don't Care, ajibu...
  11. DR SANTOS

    JamiiForums Tanzania Love be like

    Unaempenda hakupendi kumbe naye ana mtu ampendaye Huyo anayependwa naye hampendi anayempenda huku naye kuna mtu anampenda na yeye hapendwi [emoji23] Mpenzi mliyekutana accidentaly mtadumu kuliko hata ulomtegemea kwamba mngedumu [emoji7] Kwenye mapenzi ombea mwanamke ndio akupende zaidi huyo...
  12. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapenzi hivi vitu viwili havifundishiki

    Naona kuna tabia imezuka Sana humu mtu akiumizwa huko akaleta uzi humu watu wanakimbilia kuandika "ACHANA NAYE!!". Mnafikiri kuacha ni kitu chepesi tu? Msichokijua KUPENDA na KUACHA hivi ni viti visivyofundishika bali ni maamuzi na utashi wa mtu, itakapofikia mtu kupenda huridhia kwa nafsi na...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Anapatikana wapi mwanaume mwenye mapenzi ya kweli, mvumilivu, msikivu, na anaejua kusamehe!

  14. Meshacky Allyson

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi kwenye mapenzi ni Muhimu mno

    Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake hamuami sijui kila mara kwa mara anamuuliza uko wapi, na vitu kama hivyo. Binafsi hili naliona ni jambo...
  15. Echazzy

    JamiiForums Tanzania Je, wajua kufanya mapenzi hadharani inaruhusiwa Uholanzi, tena kweupe sio gizani?

    KUFANYA MAPENZI HADHARANI INA RUHUSIWA KATIKA JIJI LA AMSTERDAM katika nchi ya Uholanzi. [emoji117]Ndio unaruhusiwa kufanya mapenzi hadharani ukiwa katika jiji la Amsterdam Nchini Uholanzi ISIPOKUWA ni kwenye maeneo maalumu tu nazo ni maeneo ya bustani. Moja ya bustani maarufu nchini Uholanzi...
  16. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanauma jamani

    Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!! Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!! Na nilishasikiaga kama jamaa kapga mademu wote akiwemo huyu mpenzi wangu!!! Nikajua tetesi tu Tulivoingia...
  17. lamaa

    JamiiForums Tanzania Nimemiss kuumizwa kwenye mapenzi...

    Najua taonekana wa ajabu kutokea!!! Lakin ni uhalisia: Wayback!! 2010s Niliwahi mpenda mrembo wangu wakuitwa~J!!!! Ooh my God!! Ule upendo ulikua wa Aina yake..aijapata tokea kwangu mpka Leo hii!!.. Nauhakika nilikua fala!!!....J'' ~Ulinikaribisha dunia hii ya upendo .. ...imagine...usipojib...
  18. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

    Waheshimiwa habarini za wakati, Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida. Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya. Sasa shida yangu...
  19. De Opera

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya barua yalikuwa matamu sana.Anayepinga huyo hana ulegend!!

  20. EL ELYON

    JamiiForums Tanzania Kwa hili je mapenzi ni pesa

    Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana tena. Leo napumzka na visa vya muha nawaletea kisa huko cha dogo na mchepuko wake. Nina dogo langu mmoja ni Mzee WA PGO ( police ) dogo ana family mke na mtoto. SASA ana mchepuko wake huo unafanya biashara ya GENGE lenye mazaga kama yote...
Back
Top Bottom