mapenzi

  1. Elly official

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamke Anayefanya Usaliti wa Mapenzi kwa Bahati Mbaya

    Habari zenu wana nzengo Katika mahusiano ya kimapenzi, usaliti ni suala linaloibua mijadala mikubwa. Ingawa mara nyingi wanawake wanaweza kujitetea kuwa usaliti wao umetokea kwa bahati mbaya, ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anayefanya usaliti bila kuwa na sababu ya msingi. Mwanamke anapohusika...
  2. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Safari Yangu ya Mapenzi: Kutapeliwa, Kuchezewa, na Hatimaye Kupata Mume wa KwelI.

    Sehemu ya Kwanza: Mchezo wa Mapenzi na Mume wa Mtu. Nilipofikisha miaka 27, nilianza kuhisi shinikizo kubwa la kupata mume. Marafiki zangu wengi walikuwa tayari wameolewa na baadhi yao walikuwa na watoto. Nilihisi kama muda wangu ulikuwa unaisha. Kwa hiyo, nilianza kujaribu njia mbalimbali za...
  3. Miguel Felix Gallardo

    JamiiForums Tanzania MBINU 6 ZA MWANAUME KUTOSUMBULIWA NA MAPENZI/ MAHUSIANO.

    Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction. The man who is willing to walk away at any...
  4. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

    Ni kwa muda mrefu kiasi gani unaweza kukaa bila mpenzi ama kutojihusihsa na mapenzi? Unafanya nini kustahimili muda mrefu?
  5. Raia mpya

    JamiiForums Tanzania Mapenzi matamu jamani

    Ndugu zangu mbali nanyoote ila hakikisha una mpenzi anaekupenda na wewe unampenda kiufupi mpendane kweli kweli maisha yanakuwa rahisi na matamu yenye furaha ukiwa na mwenza mnaeendanda, furaha ya kweli inatokea hapo. Kama una kazi nzuri ,pesa na na kila kitu ila kama huna mwenza maisha kwako...
  6. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

    Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
  7. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Stephen Wasira: Akina mama wanajua vizuri mapenzi wanayotoa hayanunuliwi, Tajiri anaweza kunyang'anywa mke na bodaboda

    "Hiari haiuzwi. Akina mama wanajua hili vizuri, mapenzi yanayotolewa kwa hiari hayanunuliwi. Ndio maana hata ukiwa tajiri unaweza kunyang’anywa mkeo na bodaboda kwa sababu ya hiari," alisema Wasira akifananisha siasa na uchaguzi wa wapiga kura. Wasira ametoa kauli hiyo akihutubia wananchi wa...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kwenye 30s alafu unamuona dogo wa 20s anavyoteseka na mapenzi, wewe unabaki unacheka tu

    Unakuta dogo anajipa moyo sana huku ameweka nyimbo za mapenzi aki reflect situation yake😂 Unakuta una experience ya haya mambo, 😂😂, muda mwingine unamshauri anakuwa mbishi kweli kwa hio unamuacha apigwe na kitu kizito ili na yeye akifika miaka ya makamo achukulie kuwa mapenzi ni isidingo. "Ooh...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Watu wenye nia njema, mapenzi ya kweli na thabiti na nchi yetu Tanzania ni hawa

    1. Askofu Bagonza 2. Freeman Mbowe 3. Ansbert Ngurumo Kuna mmoja , lakini his recent dealings zinanipa mashaka!. Sitamtaja kwa sasa.
  10. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi kukupigia simu kila saa ni sawa tuseme ni mapenzi au kero ?

    Hivi kwenye mqpenzi , kuwa na mpenzi anayekupugia simu kila wakati naona kama ni kero . Kuna muda akili inatakiwa I focus na mambo mengine ya maisha sio kubebishana kila wakati
  11. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine, hata Mungu hapendi

    Ukiumizwa na mapenzi hupaswi na wewe kuumiza watu wengine. Acha visasi kwa watu wanaohusika na watu wasiohusika. Jifunze kuachilia pale unapoumizwa na mapenzi... Jifunze kusamehe na kuwa ni mtu mwema hata kama umeumizwa na mapenzi... Usiwe mtu mbaya kisa umeumizwa... Kuwa mtu mwema...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Upo katika aina ipi ya mapenzi kati ya hizi?

    Kama vile tujuavyo ya kwamba hakuna maisha bila mahusiano ya mapenzi na Upendo ni Sheria ya asili ambayo ipo ndani ya Mwanadamu. Kuna aina mbalimbali za uhusiano wa mapenzi, na kila mmoja hutegemea hisia, matarajio, na namna watu wanavyohusiana. Hapa ni baadhi ya aina kuu za uhusiano wa...
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Tumieni Kinga wandugu

    Habari za muda huu Wana JF Leo katika kukaazangu bila ya kazi nikamua bana kumcheki mpenzi wangu nakumuelezea Hali ya afya yangu ili kumpima atanichukuliaje? Chatting zikawa kama hivi: Mimi-Maishayangu siyaelewi wangu Binti-kivipi mbona bila Salam Mimi- Haina hata haja ya Salam sijui ntaishi...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zimelipa kisogo suala la kupambana na mapenzi ya jinsia moja.

    Wana jamvi "Tumsifu Yesu kristu, Asalaam aleykum , Bwana yesu Apewe Sifa"! Naiomba serikali yangu JMT iamke, Nimeshangazwa saana na Ongezeko la mashoga mtaani tena wakitembea kwa madaha kabisa, yaan mpaka mtoto wa shule ya msingi ana nyoosha kidole shoga yule...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania How do we fall out of love? Mapenzi yanaishaje? Miaka inapotea watu wanaishi ndani ya mahusiano yaliyokufa, ni kuhurumiana au hofu ya upweke?

    Huwa nawaza how it all happens—mnakutana kwa mara ya kwanza, and she's the most beautiful woman you've seen in a long time. Kuna ile excitement ya mwanzo, mazungumzo yanakuwa ya kuvutia, kila kitu kinaonekana fresh na perfect. Mnapendana bila kujizuia, kila mmoja akiwa tayari kufanya chochote...
  16. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

    Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka. Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
  17. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha mapenzi

    KIWANDA CHA MAPENZI 1 Mko wapi mko wapi,mutafutao ajira Fungeni yenu misipi, kazi ikawe imara Na manyakanga mkupi, mje kupata amara Ni kiwanda cha mapenzi, kimezitoa ajira 2 Kipo huko chumvini, mkoa Tanga mjini, Mwachimba chini kwa chini, mkitafuta madini Kazi hii ya thamani, na ghali...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania “Everyday” ya Phil Collins: Simulizi ya Maumivu na Kumbukumbu za Mapenzi

    “Everyday” wa Phil Collins Wimbo “Everyday” wa Phil Collins ni mojawapo ya nyimbo zenye hisia nzito zinazozungumzia maumivu ya moyo baada ya mahusiano kuvunjika. Wimbo huu ulitoka mwaka 1993 katika albamu yake Both Sides, ambayo ilijulikana kwa mtazamo wake wa kibinafsi na wa kina wa hisia...
  19. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

    Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?🙄 Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo? Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tu🙌. Sasa haka katoto...
  20. Pedrz

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yameisha au nimekosea nini?

    Wana ndugu Habari za muda huu, naombeni ushauri wenu wakati kama huu naona mtanisaidia kwa mawazo pia Na Mpenzi wangu tulipendana sana na penzi letu sasa hivi lina kama miaka 4 Na kama hakuna shida yeyote iliyotupata tukashindwa kuitatua na mapenzi kuendelea lakini hii ya sahv naona imekuwa...
Back
Top Bottom