mapenzi

  1. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Huyu Mchungaji alimkosea sana jamaa angu

    * tuliambiwa tu some SAYANSI tukakataa. Jamaa amekaa siti ya mbele kabisa na mchumba ake pale ibadani.... pastor anaendelea na mahubiri. . Ghafla pastor kamnyoshea kidole Shemeji angu (yule Binti)... AKasema "BINTI... MUNGU AMEKUBARIKI ... UTAOLEWA NA ENGINEER" Watu wanashangilia ... Ali...
  2. kadiri kasimba

    JamiiForums Tanzania JE single Father nae anaruhusiwa kuowa Binti kigoli ambaye ni mgeni kwenye ntansinia ya mapenzi?

    Salam kwenu wakuu! Twende kwenye mada husika, yupo mwamba moja yeye ana umri wa miaka 39 saivi, na hadi sasa ana watoto 6, wanne mama tofauti tofauti, na wawili mama moja huyo ndo waliishi nae km 8yrs, wakaachana, hao wengine jamaa alipita tu, ss baada ya kuachana na huyu alieishi nae...
  3. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Watu wanajua kuhonga nyie

    Unakutana na mtu maisha kaya patia akiwa na late 30's Zaidi ya kusoma Hadi sa Tisa alfajiri Kisha analala masaa matatu manne na kwenda darasani Tena akiwa shule na hata chuo hajui kitu. Hajui mapenzi. hajui urafiki. Yani mtoto wa kiume bikra (tendo la kwanza na mwanamke)alitolewa na...
  4. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania MAN TO MAN : Ni Nini alikifanya ukagundua kuwa yule mwanamke hakufai ??

    Seriously ... Tusaidiane kujua aina ya red flags mlizowahi kutana nazo wakulungwa kwa upande wenu na mkazichukulia hatua .... Hata wanawake mnaruhusiwa kutoa red flags zenu zilizowakimbiza kwenye baadhi ya Mahusiano.
  5. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  6. technically

    JamiiForums Tanzania Yeyote mwenye mapenzi mema na Tanzania just Pray

    Nchi hii kwa Sasa inaongozwa na genge la mafisadi Hawaoni hatari kufanya chochote kwa mtu yeyote ili kulinda wizi na ufisadi wao!! Wanachi tuamke Tuseme enough is enough bring our country back!! Haiwezekani watu 3 wamekaa wanaendesha nchi watakavyo Nchi inatakiwa kurudi kwenye mikono ya umma...
  7. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Wasichana Wanaowaza Mapenzi Tu: Ukweli au Stigma (Unyanyapaa) kwa Jamii?

    Kuna kale ka-sentensi maarufu mitaani: “Wasichana siku hizi akili zao zote ni mapenzi tu.” Swali la msingi ni… ni kweli ama tumewatengenezea label tu ya "Love Machines" bila kuwapa nafasi ya kueleweka? Real Talk… Ukisikiliza mazungumzo ya watu, hasa porojo za vijiweni, utaambiwa eti msichana...
  8. Mtunza siri zako

    JamiiForums Tanzania Nina upweke mkali - Ambao tayari tumeshaumizwa na mapenzi kwa mwaka 2025, tukutane hapa

    Tunaweza kuwa tunaongea ongea sana humu mitandaoni ili kujiliwaza tu, jamani mapenzi yanauma nyie. Break up yangu bado mbichi, nina wiki tu toka nivunje mahusiano na lile dubwana bondia lililonipiga mingumi baada ya kurudi kutoka kwenye mechi ya mpira likiwa limelewa. Nifanyaje kutuliza...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni Ladha hisia ni matokeo ya kuvimbiwa

    Ndivyo unaweza kujidai katika UGA wa mapenzi, Ladha ni ulimi Ladha ni kirungu na kila ana chake na ulimi wake kama ilivyo kwenye mbegu ya harage kila mtu na harage lake. Hata muwe mapacha hakuna Ladha ya mfanano. Ukipandwa na hisia huo ni ulevi wako
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Mtanzania asie wa Chama chochote cha siasa moyoni mwake ili awe Mwenyekiti wa Tume Huru ya taifa uchaguzi kwa mujibu wa mapenzi ya CHADEMA?

    Yupo wapi huyo? Hivi ni wapi Africa Mashariki kwa mfano, Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi hateuliwi na Rais? Ni nchi gani Africa michakato ya teuzi za umma kitaifa hazipitii kwa rais na mkuu wa nchi? Hivi kwa madai ya chadema mtu huyo ateuliwe na nani sasa kwa mfano? Au ateuliwe na...
  11. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ewe Mwanaume, Jifunze Kutofautisha Kati ya Mapenzi na Huruma Unavyokuwa Unaishi na Mwanamke

    Katika mahusiano mengi ya watu wanaoishi kinyumba, mara nyingi mwanaume anaendelea kubaki na mwanamke hata kama moyoni alishamaliza safari—si kwa sababu ya mapenzi, bali kwa huruma. Unakuta kabisa mwanamke hana ile spirit ya kupambana na maisha; kwa wenzetu wengine kulelewa na kutegemea ni kama...
  12. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliyofikia, itoshe kusema mapenzi bai bai

    Kwa sasa hata marafiki zangu wa karibu waliokuwa wananishauri kuhusu mahusiano yangu wakiniona wanaanza kukohoa kama sio kucheka kama mimbuzi Yule wa juzi nilimfuma koridoni akiwa kwenye mzio mzito na jirani yangu Nikabaki na kiliwazio (Binti fulani hivi wa Mtwara ambaye alinitamkia kunipenda...
  13. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania Mwanaume anapofanya mapenzi na side chick, huwa anahisi kama akiwa na mpenzi wake wa kweli?

    Wanaume wengi wanapokuwa na “side chick” huvaa full romantic mode — kumuwekea mto, kwenda “down”, kuhakikisha yupo comfortable… na wengine hadi wanacuddle baada ya tendo! Lakini huyu si wake halali, wala hamchukulii serious. Swali ni moja: Je, mwanaume akiwa na side chick, huwa anahisi kitu? Au...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo

    Watu wanaobishana kuhusu ,dini, mpira , mapenzi ndo watu wenye IQ ndogo
  15. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kufanya mapenzi na mwanamke aliyeko period?

    Wakuu, Yamenitokea Kuna Dem mmoja mtaani kwetu nimemfukuzia kwa muda mrefu bila mafanikio,baada ya mwaka na nusu hivi akanikubalia Katika hekaheka akanizawadia tunda,bahati mbaya nae alikuwa hajui kuwa period inaingia hiyo siku Nilipoanza shughuli nimejikuta nalowa ghafla,kutazama hivi ni...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli Mbowe hakuwa na Mapenzi na Chama (Chadema)

    Toka ameshindwa uchaguzi ameamua kukaa mbali na chama hataki hata kuhudhuria vikao vya chama.
  17. Money Penny

    JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  18. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu akisema una mashavu mtoto mzuri anakuwa anamaanisha nini, kwenye mapenzi??

    Naomba jibu wanafunzi Na mashavu yenyewe ni haya pembeni ya mdomo au kuna mengine
  19. Optimists

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  20. Kasie

    JamiiForums Tanzania Mi Staff Silipi....! Hii ni kwenye madaladala, hadi kwenye mapenzi unaleta ustaff....!!!????

    Mahusiano mengine ni viburudisho.... Aahahahahaa hii mitandao inafanya watu wanakuwa wehu...😅😅😅😅 Nimeuzoea huu msemo kwenye madaladala konda akianza kudai nauli kunawanaosema mi staff silipi and the like.... Sasa huyu jamaa kaimbisha demu wa watu halafu anaulizwa utatoa shilingi ngapi baada...
Back
Top Bottom