makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. M

    Makonda: Serikali haiendeshwi kwa presha ya maneno

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Serikali haifanyi kazi kwa presha ya maneno ya watu, bali inatekeleza ahadi zake kwa wananchi, ikiwemo kuboresha sekta ya elimu nchini. Makonda ameyasema hayo wakati akizindua Shule ya Msingi Butiriti, iliyopo Wilaya ya...
  2. Dennis Robert Shughuru

    Sitashangaa Paul Makonda akiwa Rais wa Tanzania anajua njia za kushika madaraka

    Madaraka yana-njia zake na usipojua njia za kushika maradaka hata uwe na akili kiasi gani ni ngumu sana kushika madaraka kama hujui zake Paul Makonda anajua njia za kushika madaraka na mara nyingi watu kama hawa huwaga wanachanga karata zao kwa siri huku wakiwa kwenye power mnakuja kushtuka...
  3. M

    Waziri Makonda awashukia wananchi wanaotaka polisi wasipongezwe

    Hata polisi amejitahidi polisi amejitahidi kuokoa... Ah... Naomba nisikilizeni jamani. Mimi nachukua kile kilichonyooka. Mimi niko kwenye ukweli. Hatuwezi kuwa jeshi la polisi limefanya kazi ya maana kuokoa maisha ya watu hamtaki kusikia. Ila wangekosea wakafa mngekuwa wa kwanza kuanza kwenye...
  4. MSAGA SUMU

    Kafiti na Nzilanyingi wagoma kupokea simu za Makonda

    Hiyo sio habari Tena kwa wanaCCM mkoa wa Mwanza. Washangazwa na mtu kutoka alipotoka na Kuja kukagua miradi kwenye uwanja wao wa nyumbani. Waomba kamati ya maadili imkalishe kikao mara moja la sivyo CCM kumeguka vipande. Nzilanyingi na Kafiti wagoma kupokea simu ya Makonda
  5. Pascal Mayalla

    Huyu Ndiye Makonda Ninaye Mjua na Niliye Mzungumza Humu!. Hapapasi, Hamung'unyi, Hakopeshi, ni Ananyoosha Tuu Kama Rula!. Kama ni YEYE, na Iwe! .l

    Wanabodi Hii ni PNA ya Makonda Siku hizi ukimsifia kiongozi yeyote, huchelewi kuitwa chawa, hivyo kama mtu utaitwa chawa kwa kuusema ukweli, then let it be it!. Kuna viongozi wengi nimekuwa nikiwazungumzia, mmoja wao ni Paulo Kristiano Makonda, wanga na wasio mpenda wanamuita DAB, hawa...
  6. K

    Nchi ya maigizo : Makonda ni waziri wa wizara gani?!

    https://youtu.be/FYBXRFe4JS4?is=ET9l6nWGdw2FMiVn
  7. Carlos The Jackal

    Ziara za Makonda, Kuna kitu hakipo sawa kwa Top Officials wa GVT !! Kuna Mtu anauacha Urais au Mwigulu anapigwa Chini !

    Ngoja tuone wataendelea kuficha Hadi lini!!
  8. Mkalukungone Mwamba

    Mwanza: Makonda awataka wakandarasi na wazabuni kukamilisha ujenzi wa vivuko kabla ya mwisho wa 2026

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda amewataka Wataalamu, Wakandarasi na Wazabuni wanaohusika na ujenzi wa vivuko Mkoani Mwanza kuhakikisha kazi zote zinakamilika na kukabidhiwa kabla ya mwisho wa mwaka 2026. Akiwa katika ziara yake mkoani Mwanza, Makonda...
  9. USSR

    UTV:Mjadala Makonda kukagua miradi ya wizara zisizo za wizara yake

    Ni kimuhemuhe kuona waziri wa michezo na utamaduni kukagua vituo ya polisi huko mwanza kukagua barabara za wizara ujenzi huko mwanza je ni kijiinua au kujali maisha ya wananchi USSR
  10. K

    UTATA WA KIMIPAKA: Waziri Makonda kutoa amri kwenye Vivuko Mwanza—Anasimama kama nani kisheria na kiprofeshinali?

    Leo Jumatatu, Oktoba 12, 2026, kumekuwa na taarifa rasmi kwenye vyombo vya habari ikimuonesha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Paul Christian Makonda, akitoa agizo zito mkoani Mwanza. Akiwa kwenye Karakana ya Songoro Marine iliyopo wilayani Ilemela, Makonda ameamuru...
  11. thegreat1510

    Paul Makonda anaweza kuwa Presdential material bora kuliko Samia, au Madelu

    Kwa maoni yangu binafsi, Tetesi zinazoendelea za Makonda kum replace Madelu kwenye uwaziri mkuu sioni shida yoyote.
  12. mirindimo

    Picha: Makonda kamrithi Mwigulu?

  13. MamaSamia2025

    Kama alivyosema Lema ninamshauri mbunge Makonda kutoboma na kujenga upya alama zinazotambulisha mji wa Arusha bali aziboreshe tu.

    Huwa nikienda kijijini kwetu huwa ninalala kwenye nyumba ndogo ya nyasi pembeni ya nyumba kubwa ya familia. Ile nyumba ya ndogo iliyoezekwa kwa nyasi haina sakafu na inaingiza kitanda kidogo. Yaani ukikaa kitandani kunabaki nafasi ndogo sana. Zamani kulikuwa na kitanda cha kamba ila kwa sasa...
  14. L

    Ni Paul Makonda Tenaa Apakwa Mafuta Na Mungu katika Ulimwengu Wa Kiroho.

    Ndugu zangu Watanzania, Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda ataendelea kupaa , Kung'ara na kukwea juu zaidi na zaidi kila Uchao. Ataendelea kuwa nyota Ya Matumaini, ataendelea kuwa midomoni Mwa Watanzania. Ataendelea kuwa Miongoni Mwa Hazina chache tulizonazo kwa Taifa letu, ataendelea kuwa...
  15. L

    Niffer Kwa Kinywa Chake Amiminaaa Sifa na Pongezi Kwa Rais Samia Na Paul Makonda Kwa Mchango Mkubwa Walioutoa Ili Kufanikisha Ushindi Wa Jihan .

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya Kuwa Kuna Mkono wa Rais Samia Nyuma ya Ushindi Huo. Sasa Niffer Kwa Kinywa Chake Amemiminaaa Sifa...
  16. technically

    Niitieni Samia aje na makonda

    Msikiti wa bilioni ngapi vile Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala?? Shame on you
  17. M

    JE NI KWELI KANISA HALINA HAKI YA KUONYA AU KUKEMEA WATAWALA WAOVU? NA JE MAKONDA ALIKUWA SAHIHI KUONGEA YALE KWA KUJIVISHA UTUMISHI?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  18. M

    Je ni kweli Kanisa halina haki ya kuonya au kukemea Watawala waovu?, Na je Makonda alikuwa sahihi kuongea yale kwa kujivisha utumishi?

    Biblia ina mifano mingi ya maonyo makali na hukumu zilizowapata watawala katili, wenye kiburi, na dhalimu ambao walitumia madaraka yao vibaya kuumiza wengine. Hapa kuna makundi makuu ya maonyo na mifano ya jinsi Biblia inavyoshughulika na watawala wa namna hiyo: 1. Maonyo ya Moja kwa Moja ya...
  19. M

    Kwanini Makonda asijenge Muslim University badala ya Msikiti wa zaidi ya Tsh. Bilioni 2 pekee?

    Kama Mheshimiwa Makonda ameahidi kutumia takribani Sh zaidi bilioni 2 kujenga msikiti, hoja si kupinga umuhimu wa msikiti. Msikiti ni muhimu katika ibada na maisha ya Kiislamu. Lakini swali la msingi ni: ni uwekezaji gani unaweza kuleta manufaa mapana na ya muda mrefu zaidi kwa jamii? Sh...
  20. Deus Jovin

    Muswada wa Sheria ya Kutenganisha Msikiti wa Makonda na Serikali Huu Hapa

    Mpendwa Msomaji, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini, Paul Makonda, ametangaza mpango wa kujenga msikiti mkubwa jijini Arusha ambao utatumika kwa ibada na kuwa kivutio cha utalii. • Gharama: Makadirio ya awali ya ujenzi yanatajwa kuwa kati ya dola za...
Back
Top Bottom