Niitieni Samia aje na makonda

Niitieni Samia aje na makonda

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,730
Reaction score
58,994
Msikiti wa bilioni ngapi vile

Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi

Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa

Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala??

Shame on you
 
Hhhahahahahaha..... Msafara wa mamba na kenge wamo.
 
Waislamu hatutaki Vyuo wala hospital tunataka Masjid.
Sijui nani ameturoga.
 
Msikiti wa bilioni ngapi vile

Haya ndio maisha ya watanzania walio wengi

Vipaumbele ni kujenga misikiti na makanisa

Hawa watasali na kuswali sangapi ?wakati hawana hata uhakika wa kulala??

Shame on you
View attachment 3684694
Gharama ya huo msikiti inajengwa hospitali ya kisasa pale Arusha! Kweli kupanga ni kuchagua.
 
Back
Top Bottom