makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Chakaza

    Huyu Bw. Makonda Ajiuzulu au Afukuzwe Maana Aibu za Taifa Stars Sasa zimezidi na Yeye Amekalia Malumbano na Misifa hakuna mikakati

    Tutakuwa tunafungwa fungwa mpaka lini na AFCON hiyo hapo mlangoni? Waziri mwenye dhamana Hana mikakati mipya bali kutengenezea wenzake njia za kukwamishana au kutafuta sifa binafsi. Mteuzi afanye maamuzi ya haraka la sivyo Kuna aibu inakuja kama wenyeji . Huyu jamaa kila aoelekwapo lazima...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Makonda: Serikali imetoa dola milioni 12 za Marekani kwa ajili ya kupata haki za matangazo na kuitangaza Tanzania kupitia AFCON 2027

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema Tanzania imechelewa kuanza kampeni za matangazo ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027 kutokana na Serikali kusubiri kukamilika kwa taratibu za kimkataba na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF). Makonda...
  3. R

    Makonda: Sasa hivi wameanza majungu ning'oke, hiki ni kisiki

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, akizungumza katika maadhimisho ya miaka 100 ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha – Mount Meru, ameeleza namna alivyobadilisha mtazamo wa watu kuhusu Wizara aliyopewa, huku akisisitiza kuwa mafanikio ya taasisi yanategemea...
  4. Alexido jz instagram

    WAZO LA PAUL MAKONDA KUIFANYA ARUSHA KUWA DUBAI LINAWEZEKANA?, NDIO KAMA TUTAIUNGANISHA NA NAIROBI,

    TUanze na miundo mbinu, si rafiki sana, mfano soko la kilombero njia muhimu kwenda kwenye vivutio panatoa harufu sana na ni kero ya miaka mingi. Soko kuu arusha bondeni tangu enzi za mrisho gambo liliwekwa tangazo la ujenzi wa soko la kisasa lakini kimya. Changamoto za kibiashara kati ya arusha...
  5. M

    Makonda: Huwezi kufananisha Uwanja wa Mkapa na wa Arusha, Wa Mkapa umefungiwa hauna Sifa, tunajenga uwanja wa AFCON, hatujengi wa Wasukuma kucheza

    Waziri, wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Christian Paul Makonda ameyasema hayo Novemba 4, 2026 wakati akijibu hoja zilizoibuliwa Bungeni na Baadhi ya Wabunge akiwemo, Baba Levo, na Mwita Waitara juu ya kupanda kwa gharama ya za Ujenzi wa Uanja wa michezo wa Arusha ambapo walidai kuna...
  6. Jaji Mfawidhi

    Makonda na kauli kuhusu Ufisadi na Ujenzi Uwanja wa "Meru Stadium"

    Kwa kifupi , Meru Stadium ndio utakuwa uwanja bora kabisa na Makonda hakuna kitu ampiga na wabunge wanao hoji wapewe semina elekezi namna fedha zimetumika na zinatumika. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Christian Makonda, ametoa ufafanuzi mzito bungeni jijini Dodoma kuhusu...
  7. Etwege

    Paul Makonda kumbe hukuwa mwenzetu?

    Sasa ni dhahiri Paul Makonda wa mwaka 2016 -2020 akikutana na Paul Makonda wa enzi ya Rais Samia watauwana kwa kipigo kwani ni watu wawili tofauti kabisa kimtazamo na misimamo! Paul Makonda wa enzi ya Rais Magufuli alikuwa anawataja hadharani wauza madawa ya kulevya na mashoga, Paul Makonda...
  8. bongo-live

    Makonda kuileta man u, mechi ya kuufungua uwanja cha afcon arushaa!

    Tetesi tu kwa sasaa, but shushushu tunaskia mambo yapo jikoniii na makonda anatinga Uingereza wikii hii mazee..
  9. F

    Msigwa alituambia wachezaji waliletwa na pesa za Makonda, huyo waziri anatumiaje pesa zake binafsi (yupo jikoni?)

    Msemaji wa serikali Greyson Msigwa (Greshon) alituambia kuwa wachezaji walioletwa na wanaoendelea kuletwa na waziri wa Habari na Utamaduni, wanaletwa kwa pesa za Makonda. Tunataka tujue hizo pesa zinatoka wapi, na pia ni halali mfanyakazi wa serikali kuleta watu wengine kwa project ya serikali...
  10. M

    Makonda: Mnaposali, waombeeni watu wawili, Rais Samia na mimi

    Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema kuwa Watanzania wanapopata nafasi ya kuwaombea viongozi wa nchi, wanapaswa kuwaombea watu wawili pekee, ambao ni Rais Samia Suluhu Hassan na yeye mwenyewe. Makonda ametoa kauli hiyo akisisitiza umuhimu wa viongozi hao kuombewa wanapopata...
  11. Dr Adam Francis

    Ningekuwa Mwenyekiti wa TAHLISO, ndugu Kiliba, ningefuata nyayo za Makonda

    Siasa za vyuo vikuu Tanzania ni siasa za CCM na CHADEMA full stop. Ukilijua hili utajua ni kwanini CHADEMA walianzisha CHASO na CCM walianzisha mkoa maalum wa Vyuo vikuu. Mwenyekiti wa TAHLISO, (au pengine kama anavyopenda aitwe rais wa TAHLISO, ingawa sina hakika kama sasa katiba imebadilika...
  12. Boss la DP World

    Chivayo, Peter wa royal tour, Kikwete na Paul Makonda wana siri gani

    Hawa mabwana inaonesha kuna jambo wanashirikiana, je hii si hujuma kwa watanzania na familia ya kiongozi mkuu? Inaonesha wote wamekula keki ya taifa.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    Waziri Makonda umekataa kutupa hela waandishi wa mtandaoni kwani sisi sio Content Creators?

    WAZIRI MAKONDA UMEKATAA KUTUPA HELA WAANDISHI WA MTANDAONI KWANI SISI SIO CONTENT CREATORS? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Juzi tulionana pale kwenye Final ya Pongwe Cup, Upanga, ukiwa kama Mgeni Rasmi. Sikupata nafasi ya kukujulisha hili kutokana na hali iliyokuwepo. Hii ni mara ya pili...
  14. RSM Dominik

    Paul Makonda ni noma jamani jamaa yupo siriazi na kazi

    -Akiwa kama mlezi wa mkoa wa mwanza nimeona video moja ya juz ama majuzi akiwa na mkutano na watendaji wa halmashauri ya mwanza wakiongozwa na jamaa mmoja aliyejitambulisha kama ni KAIMU MKURUGENZI wa halmashauri(afisa tehama kitaalamu) , hallo naomba muitafute ile video millard ayo anayo...
  15. Carlos The Jackal

    Makonda ukitabiriwa Mambo mazuri na Mwamposa wa Mafuta, Tony wa Kujaza Gesi mitungini inatosha !!. Kwann utafute Tabiri nzuri Kutoka kwa unaowatesa !!

    Yaan Makonda Unataka Bagonza, Gwajima na wengineo wa aina hiíi wanaotetea Haki, Wakutabirie Mambo mazuri??. Makonda wewe ambaye Historia ya Maisha yako ya Siasa imejaa ukatili na uovu Mkubwa ?. Makonda, wewe endelea kutabiriwa Mazuri na hao wahuni wako. Huku ukijafanya unajali masikin na...
  16. Carlos The Jackal

    Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  17. Parabolic

    Makonda ajifunze kwa Nabii Mikaya aliyemtabiria mabaya Mfalme Ahabu na yakatimia

    Nabii Mikaya mwana wa Imla alisimama kinyume na manabii wengine waliokuwa wakimtia moyo mfalme Ahabu wa Israeli kwenda vitani, akimtabiria kuwa angekabiliwa na kushindwa na kwamba jeshi la Israeli lingekosa kiongozi. Licha ya onyo hilo, mfalme aliamua kwenda vitani, na hatimaye aliuawa kama...
  18. McLaren

    Makonda: Rais kafiwa na mume wake kuna mjinga anaandika 'haonekani'. Mnapangia Rais lini atoke nje?

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amesema baadhi ya wanaharakati wamekuwa wakitoa hoja zisizo na msingi kuhusu Rais Samia Suluhu Hassan kutoonekana hadharani, akisisitiza kuwa watumishi wa serikali ni wawakilishi wa Rais katika kutekeleza majukumu yake. "Hasa nchi...
  19. Waufukweni

    Makonda: Viongozi wa Serikali wakiwa walafi na wala rushwa, mmefeli nyinyi viongozi wa dini, hao ni waumini wenu!

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda amewataka viongozi wa dini kuwajibika katika kuwajenga waumini wenye maadili, akisema viongozi wa serikali wanaojihusisha na rushwa na ulafi wanapotoka katika nyumba za ibada, ni ishara ya kushindwa kwa viongozi wa dini katika malezi ya...
  20. M

    Makonda: Kuna Askofu umaarufu wake wote ni kuikosoa serikali. Kama kuna wala rushwa ni nyie mmefeli viongozi wa dini

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, amezungumzia tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuikosoa Serikali, akidai kuwa kuna askofu ambaye umaarufu wake umejengwa katika kuikosoa Serikali.Makonda amesema, “Kuna askofu umaarufu wake wote ni kukosoa tu Serikali,” kauli...
Back
Top Bottom