makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waterloo

    Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  2. Zack Abdul

    Wabunge wamuunge mkono Ndejembi kuwa makamu wa Rais

    Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
  3. figganigga

    Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Hongera kwa Deo. Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imependekeza na kupitisha jina la Waziri wa Nishati, Deogratius John Ndejembi, kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndejembi anapendekezwa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Dkt...
  4. Mohamed Said

    Kujiuzulu Kwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi

    https://youtu.be/gxG_4KDoO5M?si=d3MdRYaigZxG9xKH
  5. The unpaid Seller

    Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
  6. M

    Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  7. and 998 others

    Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
  8. Sifi Leo

    Daaa! Mbowe kuwa Makamu wa Rais, Boni Yai kuwa personal secretary wake, baada ya miaka mitano, mbowe atagombea uraisi ccm Boni Yai Waziri mkuu ccm.

    Note my word, uo ndo utakuwa upya WA ccm na MABADILIKO makubwa yatatokea. Utakuwa ndo mwanzo wa kifo wa CHAMA cha democracia na maendeleo CHADEMA maana kila jambo lao litafanyika. Katiba mpya, Tume huru ya uchaguzi na mambo mengine mengiiiiiii.
  9. Medecin

    Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Anamuweka 1. Mtu atayeweza kumcontrol 2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030 3. Mkristo hasa awe Mkatoliki 4. Mtanganyika 5. Mwanaume 6. Mkubwa kiumri kuliko yeye 7. Muongeaji sana (Propaganda)
  10. Sifi Leo

    Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  11. The Palm Beach

    Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  12. TheGreatest Of AllTime

    Ni jina gani la mwana JF ungepenyeza kwa nafasi ilio wazi ya makamu?

    Tag him or her
  13. Ngongo

    Makamu wa Rais ni Mchengerwa

    Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana. Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote. Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
  14. S

    Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  15. Li ngunda ngali

    Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  16. Mohamed Said

    Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  17. Idugunde

    Picha: Aliyekuwa makamu wa rais Dk Nchimbi akiwa na Tundu Lissu. Mambo kama haya yalikuwa yanawakera sana CCM mtandao

    Nchimbi akiwa na Lissu👇
  18. Ex Spy

    Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  19. Zack Abdul

    Makamu wa Rais Dk Nchimbi ajiuzulu

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata. Kabla ya taarifa hiyo, Dk Nchimbi kwa nyakati tofauti amekuwa akiibua kauli zinazoleta utata, ikiwemo ile...
  20. BigTall

    Wakili Yesaya: Makamu wa Rais akijiuzulu, Rais anatakiwa kuteua jina jipya ndani ya Siku 14

    Johnson Yesaya, Mwanasheria kutoka Taasisi ya Sheria na Wakili - Jungu la Sheria Tanzania anaeleza kuwa: Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 50(4): Makamu wa Rais akijiuzulu, kiti chake huwa wazi. Rais anatakiwa, mapema iwezekanavyo na ndani ya siku zisizozidi 14...
Back
Top Bottom