makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Mtoto wa Museveni Atajiuzulu Ukuu wa Majeshi na Kisha Kuteuliwa Kuwa Makamu Wa RAIS Na Mwaka 2031 Atagombea Urais. Tumejiandaaje Kidiplomasia?

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni Tu Dondoo za Tetesi kutoka Viunga vya Ikulu ya Uganda Na katika Siasa za Uganda na Ndani ya Chama Tawala pamoja na Bunge kwa upande Mwingine na Jeshi kwa Upande Mwingine. Taarifa zinaeleza kuwa Mkuu wa Majeshi ya Uganda General Muhoozi Atateuliwa kuwa Makamu wa...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Mtwara: Makamu wa Rais aagiza Takukuru kufanya uchunguzi miradi ya uboreshaji Miundombinu ya Miji

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, ameagiza TAKUKURU mkoani Mtwara kuchunguza mchakato wa utoaji wa tenda ya shilingi bilioni 27, namna mkandarasi alivyopatikana na walioidhinisha tenda hiyo, baada ya kutoridhishwa na kasi na kiwango cha utekelezaji wa...
  3. R

    Makamu wa Rais wa Indonesia ajiuzulu kufuatia utata wa uhalali wa Vyeti vyake vya Elimu

    Makamu wa Rais wa Indonesia, Gibran Rakabuming Raka, amejiuzulu leo Alhamisi kufuatia kuongezeka kwa maswali kuhusu uhalali wake wa kushika wadhifa huo, baada ya maamuzi ya hivi karibuni ya mahakama kutilia shaka uhalali wa vyeti vyake vya elimu. Raka, mwenye umri wa miaka 39 na mtoto wa Rais...
  4. Jidu La Mabambasi

    Kumbe Makamu wa Rais anayajua matatizo katika Ujenzi

    Sina cha kuongeza, nampongeza kwa kuuliza maswali ya msingi. Haya chawa Choicevariable na ukuje hapa.
  5. Zack Abdul

    Ziara ya Makamu wa Rais Mhe. Deogratius Ndejembi, katika Mikoa ya Ruvuma, Mtwara, Lindi na Pwani.

  6. R

    LEMA FOR YOUR INFORMATION: Lisu hataki kusaidiwa. Eti ulionana na Makamu wa Rais kumsaidia Lisu! Lisu Anataka haki, si kusaidiwa

    Kumbe wewe chawa, unategemea kusaidiwa! Wakikusaidia hela unasaliti kama hivi ulivyosaliti wenzako jana
  7. M

    Ndonde: Kuna Makamu wa Rais kapotea kama Mbosso, haonekani

    Mwenyekiti wa Jukwaa la Watu Wenye Ulemavu Taifa na kiongozi mwandamizi ndani ya Chama cha Wakulima (AAFP), Ndonde Said Ndonde akihutubia mkutano wa kampeni za uchaguzi jimbo la Chamwino Dodoma leo Oktoba 31
  8. Yoda

    Kwa nini makamu anazunguka mijini tu? Akumbushwe Tanzania ni zaidi ya mjini.

    Tangu amepewa kiti cha Balozi Mseminari makamu mpya yeye shughuli zake na matukio yake ni mjini tu na nje ya nchi, sijawahi kumuona akifika mashinani huko kusiko na barabara na maji ya bomba ni ndoto ambako wanawake na watoto wanazunguka kwa miguu, punda na baiskeli kuyasaka maji kwa madumu na...
  9. L

    Mkoa Wa Dodoma Umebahatika Kutoa Viongozi Wakubwa Karibu Wote Kuanzia Makamu Wa Rais John Ndejembi ,Waziri Mkuu John Marecela na Spika Jobu Ndugai.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkoa wa Dodoma ni Mkoa Pekee Ama Miongoni Mwa Mikoa Michache Sana Nchini Ambayo Imebahatika Kupata Bahati ya Kutoa Viongozi wakuu Wa nafasi ya pili na tatu pamoja na Katika Mhimili wa Bunge . Ambapo Katika Nafasi ya Umakamu wa Rais Imeweza Kumtoa na Kulipatia Taifa...
  10. A

    Ujumbe wa makamu wa Rais kwa vijana katika kongamano la Wiki ya Biashara Bunifu Tanzania

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Deogratius Ndejembi,amewaasa vijana kwa kuwaambia kwamba wazo linalozaliwa leo kwenye fikra za kijana wa kitanzania linaweza kuwa kampuni inayoajiri mamia kesho na kuhudumia masoko ya Afrika Mashariki na kwingineko. Huu ndio ujumbe mkubwa...
  11. kavulata

    Hii ndiyo maana halisi ya kuwa Makamu wa Rais wa nchi, sio kile kituko

    Mh. Ndejembi anafanyakazi kama cheo cha Makamu wa Rais halisi kinavyotaka na kinavyofahamika duniani. Ile nyingine looh!! https://youtu.be/wAfurtxDKh0?si=fVo4QbwaIxUNWOEN Ile nyingine hii hapa. Utadhani alirogwa kwa kutupiwa jini liitwalo Kambona https://youtu.be/Y30BPBHftaE?si=9C3XL_ZkRpimhWw9
  12. R

    Ndejembi: Watanzania wanatarajia kuona fedha zinawanufaisha kwa miradi, Lakini kumekuwa na usimamizi hafifu

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi, akihutubia katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2026 kilichofanyika katika Uwanja wa Mandela, Sumbawanga mkoani Rukwa, amekemea tabia ya baadhi ya Halmashauri, Wilaya, na Mikoa kusubiri ratiba za Mbio za...
  13. peno hasegawa

    Kwa: Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mheshimiwa Jumanne Sagini kuhusu ujio wa Makamu wa Rais Mkoa wa Mbeya

    YAH: OMBI RASMI LA KUMUOMBA MAKAMU WA RAIS KUTEMBELEA WILAYA YA CHUNYA ILI KUJIONEA CHANGAMOTO ZA UMEME ZINAZOWAKABILI WANANCHI NA WACHIMBAJI WADOGO WA DHAHABU. YAH: UWEPO WA WILAYA YA CHUNYA KATIKA RATIBA YA ZIARA YA MAKAMU WA RAIS TAREHE 16 OKTOBA 2026. Kwa heshima na taadhima, tunaomba...
  14. Zack Abdul

    Fursa Uchumi wa Bluu Yadiliwa COP12 Dar

    Naibu Waziri,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Reuben Kwagilwa akizungumza na wanahabari mara baada ya kufungua mjadala wa Jukwaa la Biashara ulioiadili fursa za uwekezaji na biashara kwa ajili ya uchumi endelevu wa buluu katika Bahari ya Hindi ya Magharibi, ikiwa ni siku ya pili ya...
  15. mirindimo

    Shemeji wa makamu wa Rais alamba uteuzi, mashalaah

  16. Z

    Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana. Ushauri kwa C-CEO Forum, na Latra, mabasi ya Kaskazini yaondokee Kawe, viwanja vya Tanganyika Packers.

    Makamu wa Rais Ndejembi ameanza vizuri sana. Anza dakika ya tisa. https://youtu.be/iAP0KlroFjI?si=rvQQ4kOAi75Q3BFA Point muhimu kwa c-ceo forum. Change the labour laws in Tanzania to be pro-young. Make the labour laws to allow for 50% part-time employment in the government civil service...
  17. Megalodon

    Mkakati wa Makamu wa Rais Deo dhidi ya Vijana naufanqnisha na mbwembwe za Makonda wakati yupo Arusha- hakunaga tija

    Strategies ya bwana Deo kuhusu interns kwenye corporate entities za serikali eti ndio mpango wa serikali kuwapa vijana uzoefu wa kuajirika serikalini ! Hii ni reactive strategies isiyokuwa na sustainability yoyote ahead ! Kama mpaka leo bado tunawaza kuongeza wig kwa vijana kuajiriwa...
  18. L

    Kiitifaki Makamu Wa Rais Anapaswa Kuzungumza Kama Makamu wa Rais Na Siyo Kama Rais Kamili. Ni Andiko Nililokuwa nataka Kulitoa Wakati Balozi Nchimbi

    Ndugu zangu Watanzania, Hili Ni Andiko nilikuwa nataka Kulitoa Wakati Ule Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Akiwa Makamu wa Rais . Nilitaka Kulitoa baada ya kuona kuna Mambo hayaendi sawa na kuna vitu na Matamshi yanatolewa ambayo ni kinyume na itifaki na pia ni Kinyume na majukumu na ni kinyume na...
  19. Zack Abdul

    Makamu wa Rais Ndejembi akutana na Katibu Mkuu wa UN

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mhe. Antonio Guterres, kabla ya mazungumzo yao yaliyofanyika katika Ofisi za Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa – New York nchini Marekani. Mazungumzo hayo yamefanyika...
  20. Wakusoma 12

    Kama Makamu wa Rais anaweza kunyamazishwa na wazee wa chama wasiozidi 5 na most of them wazanzibari kuna nchi hapo?

    Hili ni swali je kuna nchi ya namna hiyo hapa duniani? Kote duniani kwenye mataifa yote ya kidemokrasia na utawala wa raia viongozi hondolewa na; 1. Wananchi 2. Bunge 3. Mahakama Sasa hiki ni nini wazee? Are we MAD?
Back
Top Bottom