makamu wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. F

    Hivi kikatiba na kisheria makamu wa rais ni mali na mwajiriwa wa rais katika kutafuta urais?

    Kitendo cha hovyo na cha kinyume cha sheria cha CCM kujichukulia madaraka na kuvunja katiba kilaaniwe. Nina maswali machache. Kisheria, makamu wa rais ni mwajiliwa wa nani kati ya wananchi kupitia katiba na chama twawala? CCM imepata wapi mamlaka ya kutudharau na kutudanganya? Je, hali kama...
  2. M

    Wabunge wamepiga kura kumchagua au kumkubali Makamu wa Rais?

    Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli? Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja? Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio...
  3. Zack Abdul

    Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  4. R

    Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

    Habari ndiyo hiyo.
  5. McLaren

    Ndejembi apitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais

    Wakuu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ametangaza kuwa Deogratius John Ndejembi amepitishwa na Bunge kuwa Makamu wa Rais kwa kura 324 sawa na 100%, na kwamba aliongea na baadhi ya mabalozi wa nchi mbalimbali nchini na walimwambia wameridhika uteuzi huo. Ndejembi, alikuwa ni Mbunge wa Chamwino...
  6. Ndagullachrles

    Jina la makamu wa Rais mteule latua bungeni

    Spika wa Bunge Mhe. Mussa Azzan Zungu (Mb) leo tarehe 28 Agosti 2026 amepokea jina la Makamu wa Rais Mteule lililopendekezwa na Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi. Jina hilo limewasilishwa kwa Mhe. Spika na Katibu wa Rais Bal. Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC) Brig...
  7. L

    Marekani walimchagua Urais Obama ambaye Baba yake ni Mkenya. Halafu Mtanzania anakaa kujadili ujinga wa asili ya Mama wa Makamu wa Rais wetu

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna Watu wanaojiita Wanaharakati wana ujinga Mwingi sana ,wana utoto sana , wana umbumbumbu mkubwa sana vichwani Mwao. Wivu ,chuki binafsi na ubaguzi vinawatesa sana baadhi ya watu waliojipachika majina ya Uanaharakati ili wapate kuganga njaa zao. Yaani eti mtu anakaa...
  8. Jannatul Firdaus

    Katibu wa Rais Balozi Mwadini awasilisha jina la Makamu wa Rais kwa Spika Azzan Zungu

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu wa Rais, Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC), Brig. Jen. Nyamburi...
  9. Jannatul Firdaus

    Bunge kuthibitisha uteuzi wa makamu wa rais leo

    DODOMA; Bunge la Tanzania leo Agosti 28, 2026 linatarajia kuthibitisha uteuzi wa Makamu wa Rais wa Tanzania. Kwa mujibu wa orodha ya shughuli za bunge iliyotolewa, inaonesha kuwa tukio hilo litafanyika baada ya kumalizika kwa kipindi cha maswali na majibu asubuhi. Agosti 26, 2026 Kamati Kuu na...
  10. Jannatul Firdaus

    Spika apokea jina la Makamu wa Rais mteule

    Spika wa Bunge, Mussa Zungu leo amepokea rasmi jina la Makamu wa Rais Mteule, Deogratius John Ndejembi lililopendekezwa na Chama cha Mapinduzi (CCM). Jina hilo limewasilishwa kwa Spika na Katibu wa Rais, Balozi Ali Jabir Mwadini akiwa ameambatana na Mpambe wa Rais (ADC), Brig. Jen. Nyamburi...
  11. DogoWaNjombe

    CCM kumfuta Dkt. Nchimbi uanachama: Je, anakoma moja kwa moja kuwa Makamu wa Rais?

    Jibu ni HAPANA. Ibara ya 47(4)(c) ya Katiba inaweka uanachama na udhamini wa chama cha siasa kama moja ya sifa za mtu kuteuliwa kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais. Aidha, Ibara ya 47(4)(d) inamtaka mtu huyo kuwa na sifa zinazomwezesha kuwa Mbunge au Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi...
  12. Z

    Makamu wa Rais wa Marekani JD Vance ana umri wa miaka 42, Makamu mteule wa Tanzania Ndejembi ana miaka 43.

    Nawashangaa wanao dai eti Makamu wa Rais ndg. Ndejembi bado kijana sana hivyo na fasi hiyo angeteuliwa mtu mzima aliye komaa. Sasa tuangalie kwenye Taifa kubwa kama Marekani, Makamu wake wa Rais JD Vance ana umri wa miaka 42 kijana kabisa. Ndugu Ndejembi ni kiongozi makini, mwadilifu na...
  13. F

    Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

    Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania. Ametoweka kuogopa kutekwa Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
  14. Econometrician

    Uwezekano ni mkubwa hii nafasi ya Makamu wa Rais! Ikahusu hawa watu 3 pekee

    Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3. 1.Prof.Kilila Mkumbo-70% 2.Prof.Palamgamba Kabudi-10% 3.Prof.Adolf Mkenda-20% Sababu. 1.Nafasi hiyo haihitaji mtu awe maarufu kuliko bosi wake, 2.Ni lazima awe Mkristo na mwenye busara-ukiangalia baraza...
  15. Sodoku Myebusi

    CV ya Makamu wa Rais. Vijana/Wasomi acheni kuchunguza chunguza mambo mpeni tu Ushirikiano.

  16. KAWETELE

    Historia ya Makamu wa Rais wa Tanzania: Kuanzia Karume hadi Ndejembi

    Historia ya nafasi ya Makamu wa Rais nchini Tanzania imebadilika sana tangu Muungano wa mwaka 1964. Tanzania ilianza ikiwa na Makamu wa Kwanza na Makamu wa Pili, mfumo ambao ulihusisha kwa karibu nafasi ya Rais wa Zanzibar na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano. Mwaka 1995 mfumo huo ukabadilika...
  17. Msanii

    Kisheria na kikanuni, jina la makamu mpya wa Rais hupelekewa Spika atangaze Bungeni. Mbona Samia anajiamulia?

    Miaka yote tangu uhuru, tumeona Bunge likipokea jina la mteule wa nafasi ya Makamu wa Rais na kulipigia kura ya kumuunga mkono au kumkataa. Kumbukeni kwa uteuzi unaoenda Bungeni siyo wa Mgombea Mwenza, bali Makamu wa Rais kuziba nafasi ya aliyeondoka. KItendo cha Ndejembi kutangazwa kuwa...
  18. H

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Pongezi za Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kwa Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kwa kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Soma Deogratius Ndejembi ateuliwa kuwa Makamu wa Rais 📍Bungeni-Dodoma 🗓️Agosti 27, 2026
  19. Sister Abigail

    Bunge halikushiriki uteuzi wa makamu wa rais?

    Mbona kama katiba inakiukwa mchana kweupe? Ni lini bunge limekaa likampigia kura makamu wa rais mpya likampitisha nasi tukashihudia mchakato mzima? Halmashauri kuu ya CCM ndio imempitisha na kumchagua si ndio? Labda mie na uelewa wangu Duni Na hata kama atapigiwa kura na bunge na kupitishwa...
  20. Khanji kapoor

    Tunataka jina halisi la makamu wa Rais mteule

    Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame kwann afiche majina yake? Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa...
Back
Top Bottom