Habari wakuu,
Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi nimekuwa nikijiuliza hivi hawa DAWASA wanadhani wananchi muda huo tunakuwa Doria?
Kwanini wasifungulie...
Samaki anakua kwenye maji tangu mdogo na ayo ayo maji yanatumika kumpika ,Maana yangu nini usimuamini kila mtu wengi wanaouza faili zetu ni wale tunaowaamini
Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
Wakazi wa Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, tumekuwa tukikabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji kwa muda mrefu, wakati mwingine hupita wiki moja hadi mbili bila kupata maji, na mara nyingi hulazimika kumpigia simu mwenyekiti wa eneo ili awasiliane na mamlaka husika.
Kinachoshangaza ni...
Habari ya uzima, ni mimi mwananchi kutoka Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza, mtaa wetu wa kwa Mbonde Msikitini hatupati maji kwa wiki mbili sasa na tukiwapiga DAWASA Kibaha wanadai presha ya maji iko chini.
Tumechoka sanasana tunanunua maji ya maboza ya kwenye gari kwa gharama ya Sh 70,000...
Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha."
"Mimi mdogo wangu, nitaenda...
ACT Wazalendo imefuatilia kwa karibu kukithiri kwa tatizo la upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo mbalimbali nchini, hususan ongezeko la mgao wa maji unaowaacha mamilioni ya wananchi bila hakika ya huduma hiyo kwa siku kadhaa mfululizo. Katika maeneo tuliyofuatilia maji hutoka mara...
Wakazi wa NHC Shekilango, Ubungo, na maeneo mengine mengi tumekuwa tukikumbwa na tatizo kubwa la upatikanaji wa maji tangu mgao wa mwezi Desemba.
Kinachoshangaza ni kwamba zamani eneo la NHC Shekilango lilikuwa linapata maji kwa uhakika karibu kila siku. Leo hii maji yanaweza yasionekane kwa...
Nyamongo iko Tarime DC ni miongoni mwa maeneo ambayo Waziri Mkuu alitembelea lakini hatujaona mwenendo wa tatizo la maji maana wakija kusoma matumizi ya maji kwenye Mita wanaleta bili unawauliza vipi tutapata maji wanakujibu hama line?
Hakuna maji, yani hakuna maji ya uhakika toka mwaka 2025.
Anonymous
Thread
huduma
huduma ya maji
inapatikana
maji
nyamongo
viongozi
Moja ya mikakati ya kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa bora na uhakika kwa wananchi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa miradi ya kimkakati mikubwa na midogo katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar Es Salaam na Pwani...
Ni wiki sasa inakwenda, wakazi wa kata ya Sombetini hatuna huduma ya maji safi. Hakuna taarifa yoyote toka kwa mamlaka husika ya maji safi na maji taka ya jiji la Arusha (AUWSA) huku wananchi tukitaabika na adha ya kupata maji safi kwa matumizi mbalimbali ya shughuli za kila siku.
Tunaomba...
Anonymous
Thread
arusha
arusha mjini
maji
mjini
ukosefu
ukosefu wa maji
wilaya
Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata kabla ya kipindi hiki, maji yalikuwa yakitoka kwa kusuasua, mara moja tu kwa wiki au wakati mwingine...
Wananchi wa Kijiji cha Nabweko, kilichopo Kisiwa cha Irugwa, Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, tunaendelea kukabiliwa na changamoto kubwa za huduma za msingi.
Kwanza, tangu Tanzania ipate uhuru, kijiji chetu hakijawahi kufikiwa na huduma ya umeme wa TANESCO. Hadi leo, wananchi wanalazimika...
KUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU
Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari
Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi
Wengine husema, Nimezama kwenye penzi
Lakini pia kuna watu waliozama kwenye maovu na tabia ambazo zinawatesa kila siku
Kuna kuzama...
Haiwezekani mtanzania kupata huduma ya kulala kwenye nyumba ya wageni lazima awe na NIDA tofauti na hapo inahesabika mhalifu. Haiwezekani mikutano ya kisiasa inazuiliwa tena na waziri wa mambo ya ndani bila kutoa sababu za msingi.
Tangazeni hali ya hatari ili tujue tunabanana vipi maana maisha...
Kwa Takrabani mwaka sasa wakazi wa Tabata Tumekua katika Mgao wa Maji kwa siku Tatu ndani ya wiki Jumanne, Jumatano na Alhamisi.
Lakini kwa muda mrefu ratiba zimekua hazifuatwi na mara Nyingi maji yakitolewa kuanzia saa 6 Usiku na kukatika baadha ya masaa machache. hii uladhimu kina mama na...
Faida za Kufanya Curing kwenye Ujenzi (Hasa Saruji/Concrete)
Curing ni mchakato wa kudumisha unyevu, joto na muda unaofaa ili saruji iweze kuwa na nguvu kamili baada ya kumwaga. Ni hatua muhimu sana katika ujenzi wa zege (concrete). Haya ndiyo faida kuu za kufanya curing vizuri:
### 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.