maji

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RESOLVED TangaUWASA: Tunaomba radhi kwa changamoto ya maji taka Kata ya Ngamiani, changamoto imetatuliwa

    Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa mamlaka husika zina taarifa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa, hali inayohatarisha afya za Wakazi na...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

    Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026. Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania DAWASA wametoa msamaha wa faini ya huduma ya kurejeshewa Maji kwa kulipa deni tu kuanzia Oktoba 10 hadi 31, 2026

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wateja wake katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani waliositishiwa huduma za maji kutokana na madeni, kuwa katika maadhimisho ya mwezi huu wa Huduma kwa mteja, Mamlaka imetoa msamaha maalum kwa mteja kurejeshewa huduma...
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto 4 Wateketezwa kwa Maji Moto Wakati wa Ibada ya Kufukuza Pepo Bondo, Mchungaji na Viongozi Wawili Wakamatwa

    Mchungaji na viongozi wengine wawili wa kanisa la St Abraham Assemblies of God, linalojulikana kama Sayuni, wamekamatwa baada ya watoto wanne kudaiwa kuunguzwa kwa maji moto wakati wa ibada ya kufukuza pepo wabaya. Kwa mujibu wa taarifa, watoto hao walipata majeraha makubwa ya kuungua baada ya...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO DAWASA waomba michango kukarabati bomba Pugu Mwakanga

    Naomba nitoe kero kuhusu huduma ya maji katika maeneo ya Pugu Mwakanga. Bomba kubwa la DAWASA linalosambaza maji kwa wateja limeharibika kutokana na kuchakaa. Taarifa zilitolewa kwa DAWASA, na wahusika walifika eneo la tukio na kujionea hali halisi. Hata hivyo, cha kushangaza, badala ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi tuna Reactive mindset; tunangoja tatizo litokee ndipo tuchukue hatua, tulifundishwa kutii kwa hofu kuliko kuchukua hatua mapema

    Na ndio sababu tuna visingizio na lawama nyingi !! Ukiangalia maisha yetu kwa karibu, utaona hii tabia ipo kwenye maeneo mengi. Deadline ikikaribia ndio kazi inaanza. Mtihani ukikaribia ndio kusoma kunaanza. Mgonjwa akizidi ndio tunakimbilia hospitali. Gari likiharibika kabisa ndio tunakumbuka...
  9. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Pesa za kukabiliana na El Nino zinatumika kuziba mitaro ya maji ya mvua kando ya barabara Mbagala Rangitatu.

    Katika hali ambayo si ya kawaida manispaa ya Temeke imeamua kukifanya tunacho katazwa, manispaa ya Temeke inaziba mitaro ya maji ya mvua kwa kutumia mbao kisha kuwauzia wafanyabiashara eneo la juu ya mtaro futi 4×4 shs. 200,000/=
  10. M

    JamiiForums Tanzania Huwa nasikia wanawake wakianza kufuatilia talaka wapate mali wanawamwagia waume zao maji, ni vitimbi gani vingine huvifanya ?

    Nilisoma post kuna mdau alilalamika mke wake alikuwa anammwagia maji kudai talaka wagawane mali, ni mpaka siku alipomwagiwa maji ymoto akalichulikulia suala serious. Ni vitimbi gani vingine hufanywa
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ulipokuwa unashindia Mihogo na Kunywa Maji, walikuwa wapi?

    Ndugu zangu wanaume, wakati mwingine lazima ujiulize: 🤔 Huu upendo ulikuwa wapi wakati nilikuwa nashindia mihogo na kunywa maji?” 😂 Ulihangaika peke yako, ulijijenga kutoka sifuri, halafu ulipofanikiwa/unapofanikiwa ghafla watu wanaanza kujifanya walikuwa sehemu ya mafanikio yako. Chagueni...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tabata Barakuda maji yanasumbua, inaweza kupita wiki 2 hadi 3 bila kutoka

    Kero yetu kwa upande wa Tabata, maji hayaotoki jamani tunakaa mpaka wiki mbili hadi tatu. Mitaa ya Barakuda mpaka Shule mbona maji ya shida? Siku yakirudi yanarudi usiku Saa 10 mpaka Saa 11 alfajiri.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilayani Magu hatuna maji kwa wiki ya tatu, ila bili kila mwezi tunapewa

    Naomba kupaza sauti yangu kama mkazi wa Kata ya Kitongo Sima, Wilaya ya Magu, Mkoa wa Mwanza. Tumekaa takribani wiki tatu sasa bila kupata maji. Hali ni ngumu sana na wananchi tunateseka kwa kukosa huduma hii muhimu. Tunaomba Serikali kupitia Wizara ya Maji itusaidie kufuatilia na kukagua mradi...
  14. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji Ingilia Kati Wizi wa Mita za maji Iringa mjini

    Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini. Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report utapewa control number ulipie shilingi laki moja kama malipo ya kufungiwa mita mpya halafu ukifungiwa...
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kilio cha Wakazi wa Mathare 4A: Majitaka (Sewerage) yatatuumiza Wananchi hadi lini?

    Hali ya usafi na mazingira katika eneo la Mathare 4A, jijini Nairobi, imezua hofu miongoni mwa wakazi baada ya maji ya majitaka (sewage) kuvuja na kumwagika moja kwa moja karibu na mlango wa nyumba ya mkazi. Video inaonesha maji hayo machafu yakibubujika kutoka kwenye mfereji au bomba la...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tone la kwanza la maji lafuguliwa Kilwa

    Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Aweso: Ndani ya Miezi mitatu mradi wa maji Ngorongoro ukamilike

    Mkandarasi anaetekeleza Mradi wa Maji wa vijiji Nane Ngorongoro ametakiwa kuhakikisha ndani ya miezi mitatu Mradi huo umekamilika na unaanza kutoa huduma ya maji safi na salama kwa wakazi wa vijiji vya Ng'arwa,Mageri, Tinanga, Olorieni, Magaiduru,Mgongo,Yasi na Mdito. Waziri wa Maji Mhe Jumaa...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania MRADI WA MAJI MTO RUVUMA WAFIKIA ASILIMIA 97.6 YA UTEKELEZAJI

    Mradi wa Maji Mto Ruvuma wenye thamani ya Shilingi bilioni 38.15 umefikia asilimia 97.6 ya utekelezaji na tayari umeanza kutoa huduma kwa wananchi tangu Agosti 2026. Mradi huo utazalisha lita milioni 5 za maji, na unatarajiwa kunufaisha wakazi 82,000, huku ukiongeza upatikanaji wa maji kutoka...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu. Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Oyster Bay na Masaki wategemee maji kutoa 100 Kilometers (Ruvu) ilhali kuna Bahari na teknolojia?

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Ninasikia kuna technology ya kubadilisha maji ya chumvi kuwa safi na salama kwa matumizi ya nyumbani?? Oysterbay na Masaki si ndio kuna elites Tanzania (siwafanyii kejeli au dhihaka), sasa kwanini wasumbuliwe na tatizo la mgao wa maji ilhali wana nguvu za kisiasa...
Back
Top Bottom