maji

  1. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Elimu kuhusu Ujenzi wa Minara ya Tank za maji

    🏗️ MNARA WA TANK LA MAJI — SEHEMU YA 1/6 🚨 UNATAKA KUJENGA MNARA WA TANK LA MAJI? USIANZE NA NGUZO! Watu wengi wanaanza kwa kuuliza: ❌ “Nguzo ziwe na ukubwa gani?” ❌ “Niweke nondo mm ngapi?” ❌ “Msingi uchimbwe kiasi gani?” Lakini swali la kwanza linapaswa kuwa: 👉 TANK LITAKUWA NA UWEZO...
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Idara ya maji Mbeya acheni dharau kwa wateja

    Hivi ninyi Idara ya maji mkoa wa Mbeya mnashida gani? Haiwezekani tumelipia maji toka Jumatatu mpaka leo hii hamtaki kurejesha maji . Mnapigiwa simu mnaahidi kutuma mafundi lakini mafundi wenu hawaji, mnategemea watu wanaishi je.kama kuna shida nyingine tujuzeni sababu malipo yote tayari tumefanya.
  3. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawaandaa wanafunzi kulinda miundombinu ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa elimu ya umuhimu wa maji na utunzaji miundombinu ya maji kwa wanafunzi wa klabu ya mazingira shule ya sekondari Chalinze Wilaya ya bagamoyo Mkoani Pwani Lengo la elimu hii ilikuwa ni kuwaelemisha wanafunzi umuhimu wa maji...
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la maji Mbezi Makonde Dar limetimiza mwaka mmoja sasa, maji yanatoka kwa nadra

    Tatizo la maji katika maeneo ya Mbezi Beach Makonde limefikia mwaka mmoja tangu Mei mwaka jana. Maji hutoka kila Jumanne na hayakai zaidi ya saa tatu. Yasipotoka siku hiyo, wananchi hulazimika kusubiri hadi wiki inayofuata. Pamoja na huduma hiyo kutokuwa ya uhakika, bili za maji zinazoletwa ni...
  5. Mangi wa Rombo

    JamiiForums Tanzania Msaada BOQ Mnara wa Tank La Maji (Nalipia)

    Habari! Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Natafuta fundi wa kunitengenezea orodha ya vifaa (Bill of Materials) au BOQ ikijumlisha gharama kwa ajili ya ujenzi wa mnara wa tank la maji kama inavoonekana kwenye picha hizi Nitalipia kwa huduma hii sio bure! Nicheki DM au weka WhatsApp...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Haya hapa majibu ya MWAUWASA kuhusu kukosa maji kwa Wakazi wa Nyamhongolo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imemjibu Mdau aliyeandika ~ Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini? UFAFANUZI WA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza katika...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana maji Kazamoyo, Kirumba na Ilemela, MWAUWASA yasema "Pole Mdau kwa changamoto iliyojitokeza eneo lako"

    Julai 8, 2026 Mdau aliandika kuhusu changamoto ya maji kukosekana Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, kusoma andiko lake bofya hapa ~ Kero ya upatikanaji wa maji Kazamoyo, Kirumba, Ilemela – Mwanza, ufafanuzi umetolewa na MWAUWASA. Majibu ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kukosekana Mtaa wa Ellys Hoteli - Nyegezi, MWAUWASA yasema "Miundombinu binafsi ya Mteja inaweza kuchangia kukosa"

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imejibu hoja ya Mdau wa JamiiForums.com aliyeandika ~ Baada ya ziara ya Waziri wa Maji, Mtaa wa Ellys Hoteli Nyegezi na maeneo jirani tunaendelea kukosa maji MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA: Eneo la Kishiri limeendelea kupata huduma kila wiki kadri migao ya maji inavyotekelezwa

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja iliyoandikwa ~ Mwezi wa 4 hatuna maji Kishiri - Mwanza, tunanunua dumu Sh 1,000, tunapewa sababu zisizoeleweka. MAJIBU YA MWAUWASA... Habari Mdau wetu, pole kwa changamoto uliyoipata, tafadhali tujuze ni...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hoja ya maji Nyamagana kukosa, MWAUSAWA yasema "Huduma inaendelea kila wiki kadri migao inavyotekelezwa"

    Baada ya Mdau kuanzisha hoja hii - MWAUWASA imekuwa jipu lisilotumbulika, Nyamagana - Mwanza ni mwezi sasa hatuna maji ufafanuzi umetolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuhusu hoja hiyo: MAJIBU YA MWAUWASA... Habari mdau wetu, pole kwa changamoto iliyojitokeza...
  11. Hamissi Hamza Jr

    JamiiForums Tanzania Maji yanayosambazwa na MWAUWASA ni ya kuchimba?

    Mambo Mengine Ni ya Aibu Sana Mpaka 2026,Mkoa Wa Mwanza Uliozungukwa na Ziwa Victoria Kupata Huduma ya Maji ya Haba na Haba, Kama Mkoa ulio Mkabala na Ziwa Maji yanatoka mala 2 kwa Wiki Je Mikoa Ambayo iko Mbali na Ziwa Huduma Hii Muhimu Si ndo hovyo Zaidi, Mkishindwa Kutimiza Wajibu Muwe Na...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yateta na Wanwake Bonyokwa, yawakumbusha umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imewakumbusha Jamii juu ya umuhimu wa kulinda miundonbinu ya Maji ili kujenga jumuiya inayothamini huduma ya Maji kwa vizazi vya sasa na vizazi vijavyo. Hayo yamesemwa kwenye tukio la Bonyokwa Women Gala 2026, lililoandaliwa na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania KERO Juma Awso njoo Chato uone wananchi tunavyotaabika na shida ya maji

    Ziwa lipo km 1 tu kutoka lilipo ziwa. Lakini watu hawapati maji. Maji hayatoki kabisa na shida ni kubwa mno. Njoo Chato ujionee mwenyewe.
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Trey Songz ni msanii wa bei ya jioni, Diamond Platnumz kaokota kopo la maji

    Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  16. W

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Handeni - Tanga mje yapi ndo maji yenu kati ya haya?

    Mvutano mkali wa kimtazamo umeibuka mtandaoni kati ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara John Heche, na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kufuatia ubora wa huduma ya maji wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mjadala huo umeibuka leo Agosti 11, 2026, baada ya Heche kusambaza video inayonyesha...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji wa Milioni 585 wazinduliwa na mwenge wa uhuru

    Mradi wa maji wa Sh585 milioni wazinduliwa na mwenge wa uhuru MWENGE wa Uhuru umezindua rasmi Mradi wa Ujenzi wa Mtambo wa Kuchuja Maji Igombe–Kabangaja, jijini Mwanza, uliyojengwa kwa gharama ya Sh585 milioni, unaolenga kuongeza upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi wa maeneo hayo...
  18. Stability

    JamiiForums Tanzania Kama huu ni mwaka wa 6 wa kujitegemea dsm na bado unalala chumba kimoja na madumu ya maji na mengine hadi ndio umeegeshea sabufa, rudi tu malampaka.

    Hii sio kejeli Hii ni wake up call Rudi nyumbani, bado ardhi ni milioni mbili hadi mln moja unapata.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  20. feyzal

    JamiiForums Tanzania kitendo cha polisi watupa mzigo wa chakula Cha raia kwenye mtaro wa maji machafu sio cha kiungwana.

    Salaam. Wakuu hii video mpaka imenifanya nitafakari sana akili za hawa mapolisi kama ni wazima kichwani au vipi. Inasemakana huyo kijana aliingilia msafari wa Mwenge kwa kukatiza akiwa amebeba mzigo wa maguni ya maharage sasa polisi wakamkamata sasa badala ya kufuata sheria jambo la kwanza wao...
Back
Top Bottom