maji

  1. T

    JamiiForums Tanzania KERO: WAKAZI WA MBALIZI HATUNA MAJI: TUNAOMBA UFAFUNUZI KUTOKA IDARA HUSIKA.

    Habari wana JF, Bila kupoteza muda sisi wakazi wa mbalizi centre mitaa yake hadi huku Ifisi tuna changamoto kubwa sana ya maji! Kabla ya ziara ya Mheshimiwa Makamo w Raisi tulikaa takribani mwezi mzima hakuna hata tone la maji kutoka Idara ya Maji. Siku moja kabla ya Ujio wa Mheshimiwa maji...
  2. JamiiForums Tanzania Anaandika Juma Aweso, Waziri wa Maji

    Tunawaomba wananchi kutumia maeneo rasmi ya huduma ya maji kuepusha Taharuki. "Nimefatilia zaidi swala la upatikanaji wa Maji Kijiji cha Iponda baada ya taarifa zilizowekwa mtandaoni kwa kutuma timu ya wataalamu wafike haraka na kunipa taarifa sahihi; lengo kuu ni kujiridhisha na kuwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Subaru SJ5 kugoma kuwaka ikiloa /kuigesha/kuimwagia maji

    Wakuu heshima yenu nina kasubaru kangu ka mwaka 2015(SJ5) changamoto iliyokuwa nayo ni kuwa inapoteza mawasiliano kati ya funguo (push to start) na switch ya kuwashia gari ,nimekuja kugundiua mawasiliano hupotea pindi gari linapokuwa limeloa aidha nimetoka car-wash au kuloa na mvua ,naombeni...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ameamua kuachana na Chuo cha Maji kisa ‘mateso’ ya Mhadhiri anayemsimamia ‘Dissertation’

    Miaka kadhaa nyuma wakati nipo Undergraduate pale Open University - Dar, ilibaki kidogo nisi-graduate sababu ya Mhadhiri aliyenisimamia Research, nilipambana kwa nguvu zote lakini aliniwekea pozi balaa Ilibidi nimfuate Mwalimu mwenzake kumuuliza mbona nimefanya kila kitu lakini nazungushwa tu...
  5. JamiiForums Tanzania DKT. KIKWETE APONGEZA HUDUMA YA MAJI CHALINZE, AIPA USHAURI DAWASA

    Rais mstaafu, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ameishauri Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuangalia uwezekano wa kujenga Bwawa Dogo eneo la Wami, litakalosaidia kuongeza upatikanaji wa maji Chalinze ifikapo mwaka 2030 hadi 2050. Akizungumza baada ya...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watu wa Mahina - Mwanza, Waziri akija maji yanatoka, akiondoka nayo yanaondoka

    Watu wa Mwanza bado tunateseka na suala la maji kwa 90% ya wakazi wa huku hatupati maji na ziwa lipo kwetu, waziri akija maji yanatoka, akiondoka maji hayapo hii ni haki kweli? Hadi hivi leo maji hatuna tunateseka sana wengine kazi zimesimama tumefunga ofisi zetu sababu ya maji, nipo maeneo ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ulyankulu - Tabora panakua lakini huduma ya barabara na maji bado ni changamoto

    UJUMBE KWA VIONGOZI WETU — ULYANKULU INAHITAJI MAENDELEO YA KWELI Kwa heshima kubwa kwa viongozi wetu wa Serikali, Mkoa wa Tabora na Wilaya ya Uyui, tunaomba suala la barabara ya Ulyankulu na upatikanaji wa maji lipewe kipaumbele. Ulyankulu inaendelea kukua na kuwa eneo muhimu kwa shughuli za...
  8. JamiiForums Tanzania Mahakama yavunja ndoa kisa mke ana maji mengi

    Mahakama ya Chelstone (Chelstone local Court ) jijini Lusaka, Zambia, imevunja ndoa ya Trevor Banda mwenye umri wa miaka 36 na Loveness Mukwato mwenye umri wa miaka 27 baada ya wanandoa hao kushutumiana kwa uzinzi na kushindwa kuelewana katika ndoa yao. Katika kesi hiyo, Loveness aliiomba...
  9. E

    JamiiForums Tanzania ANC maji ya shingo. Lumumba twendeni tukaokoe Chama rafiki

    Uchaguzi SA umekaribia ila Chama rafiki hali ni tete. Twendeni tukawadhibiti Vyama pinzani. Twendeni na masanduku ya kura tusaidie wapigania uhuru wa ANC kushinda kwa kishindo. RIP Chivayo.
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kugombana naye umeona uje uzurure huku ONLINE kama mchawi 😄 🤣 😂 😆 😄 Kunywa maji baridi

    Baada ya kugombana naye umeona uje uzurure huku ONLINE kama mchawi 😄 🤣 😂 😆 😄 Kunywa maji baridi
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mbeya Mbalizi tuna shida kali sana ya Maji. Idara ya Maji wanatoa maji wakijisikia

    Ndugu wana JF, wakazi wa Mbeya, Mbalizi na maeneo yake hadi Ifisi, tunapitia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji majumbani. Ni takribani wiki tatu sasa maji hayajatoka, lakini cha kushangaza, leo maji yametoka wakati Makamu wa Rais alipowasili Mbeya. Hali hii inazua maswali na kuwafanya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa

    Wananchi wa Kata ya Busenga, Wilaya ya Ilemela, Mwanza, tunakabiliwa na changamoto ya ukosefu wa maji kwa takribani mwezi mmoja sasa. Maji hayatoki, hali inayotulazimu kununua ndoo moja kwa Shilingi 500 au kutafuta maji kwenye visima. Kinachotuumiza zaidi ni kwamba tunaiona Ziwa Victoria...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana wa Kusoma Mita za Maji katika Wilaya ya Mtwara tunadai MTUWASA hela tangu mwaka 2025 inagoma kulipa

    Sisi ni Kikundi cha Vijana wa Kusoma Mita za Maji katika Wilaya ya Mtwara, kilichosajiliwa kisheria na Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani chini ya Ofisi ya Mkurugenzi. Kikundi chetu kilipata fursa ya kuidhinishwa na Mamlaka ya Maji Mtwara (MTUWASA) kutekeleza kazi ya kusoma mita za...
  14. K

    JamiiForums Tanzania UKOSEFU WA MAJI WILAYA YA ILEMELA

    Wilaya ya ILEMELA kuna shida ya maji karibiawiki mbili sasa
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakazi wa Magadi Wasafiri Kilomita 45 Kutafuta Maji

    Wakazi wa Magadi, Kaunti ya Kajiado, wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa maji safi, hali inayowalazimu baadhi yao kusafiri hadi kilomita 45 kutafuta huduma hiyo muhimu. Kwa mujibu wa taarifa katika video, wakazi hao wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji, huku gharama ya kununua maji...
  16. C

    JamiiForums Tanzania KERO GOBA Osterbay hatuna maji week ya 3 sasa

    Hili lalamiko limwendee waziri wa maji bw Aweso, sisi wakazi wa goba mtaa wa osterbay karibu na bar ya triple B hatuna maji week ya 3 sasa. Tunataka uwaelekeze watendaji wa dawasco ubungo watufungulie maji
  17. W

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Andrea Mathew katika mkutano na wananchi wa Kijiji cha Ichemba, Ulyankulu wilaya ya Kaliua.

    https://www.instagram.com/p/DebIsVnonyy/
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Maji ya DAWASCO hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa

    Dar es salaam mtaa wa Mburahati Barafu kwa Shebe DAWASCO maji hayatoki tangu mwezi 10, 2025 hadi sasa hata ukiwapigia Magomeni majibu hawana wala sababu hawana. Ni maeneo ya Mburahati Barafu kwa Shebe karibu na Magomeni; tusaidieni. Hadi tushasahau kama kuna maji ya bomba yanayotolewa na...
  19. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Kero ya Maji: Je, Tuzipe Sekta Binafsi Mamlaka ya Usimamizi?

    Licha ya jitihada za serikali,wananchi wengi bado wanakabiliwa na tatizo la upatikanaji wa maji. Je, umefika wakati taasisi za usambazaji wa maji zisimamiwe na sekta binafsi ili kuongeza ufanisi, uwajibikaji na kuboresha huduma? Maoni yenu ni yapi?
  20. JamiiForums Tanzania RESOLVED TangaUWASA: Tunaomba radhi kwa changamoto ya maji taka Kata ya Ngamiani, changamoto imetatuliwa

    Oktoba 7, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Maji taka Mtaa wa 10, Kata ya Ngamiani - Tanga yanahatarisha usalama wa afya, kero hiyo imedumu kwa zaidi ya wiki moja sasa, licha ya kuwa mamlaka husika zina taarifa, lakini hakuna hatua zilizochukuliwa, hali inayohatarisha afya za Wakazi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…