maisha

  1. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Wakuu habari zenu. Naitwa Damian nipo Temeke Dar. Elimu yangu nina degree but kazi yoyote nitafanya. Wakuu NATAFUTA KAZI yoyote halali maana hali yangu ni ngumu sana kiuchumi yani kazi yoyote itakayonifanya niishi tu. Napatikana Temeke na namba yangu ni 0612255193.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Onyango, Nyoni, Bocco na Mkude hawastahili kuichezea Simba. Muda umefika wa kuwaruhusu wakatafute maisha sehemu nyingine

    Chei Chei..... Nimefuatilia mahojiano ya Rais, Tajiri na mwekezaji mwenye mapenzi wa dhati na Simba Sc, Mh. Mohammed Dewji yaliyofanywa na Saleh Jembe, nimesikitika kusikia Simba imepewa 1.5 billioni za usajili lakini upigaji umekuwa mwingi.Miongoni mwa upigaji wa pesa za Rais Mo ni kuwaongezea...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Baba afungwa jela Maisha kwa Kubaka Wanae Wakike wawili na kumlawiti wa Kiume

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Singida imemhukumu kifungo cha maisha mkazi wa Mtaa wa Majengo, Fabiano Dubabe kwa kosa la kuwabaka na kuwalawiti watoto wake watatu. Dubabe, aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya ulinzi anatuhumiwa kutenda makosa hayo kati ya mwaka 2018 na 2022 kwa nyakati tofauti...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanadada amejiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumgharamia boyfriend wake ahamie Marekani watafute maisha wote

    Mwanadada huyo wa nchini Cameroon aliyekuwa anaishi Marekani amefariki kwa kujiua baada ya kutumia pesa zake nyingi kumtoa boyfriend wake nchini Cameroon kumgharamia ahamie Marekani watafute maisha wote. Kilichotokea baada ya kipindi flani walikwaruzana kidogo na muda haukupita jamaa akaanza...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mzee Pinda: Adhabu ya kifo ifutwe nchini

    Hoja ya kufutwa kwa adhabu ya kunyongwa inazidi kupata nguvu, baada ya Waziri Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda kuungana na wadau wengine kutaka adhabu hiyo ifutwe na badala yake iwe kifungo cha maisha. Mapendekezo ya Pinda yanaungana na wadau mbalimbali, wakiwamo mawakili, watetezi wa haki za...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Maisha, what is this now?

    Yani ni kama utajiri wangu na mafanikio yangu yapo kwa mdada mmoja hata anifai kabisa. Ajatulia kabisa yani awezi kupoa sema awezi niacha, tumeachana tume ludiana a year later kama hatujaachana. Tatizo ndo mtu pekee nikiongea naye jambo linafanikiwa 100% tatizo Ajatulia kabisa kabisa yani...
  7. comte

    JamiiForums Tanzania Mnaounga ushoga sheria ya kuwafunga kifungo cha maisha ipo toka 1954

  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Serikali isipuuze malalamiko ya Ugumu wa Maisha

    Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa. Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru wananchi wake, huo ndio uwajibikaji, haiwezekani Wapagani nao Wafunge Ramadhan au Kwaresma halafu...
  9. Katkit

    JamiiForums Tanzania Msaada wa historia ya maisha na kifo cha "Mbena Malumbi" kama sijakosea jina lake

    Heshima kwenu wakubwa kwa wadogo. Kwa kipindi nilichokaa Morogoro nilipata kusikia kwa kifupi taarifa kuhusu Mbena Malumbi na pia kuoneshwa baadhi ya zilizokua mali zake. Hivyo, nimekuja kwenu kuwaomba mnijuze kwa mawanda mapana kuhusu bwana huyo.
  10. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Mpwayungu Village, kuwasema vibaya walimu na kuwatukana hakusaidii kuboresha maisha yao. Toa solution wafanye nini ili wafanikiwe?

    Mimi sio mwalimu na sijawahi kufundisha, ila naona kaka yangu mpwayungu village umekuwa ukiwatolea mashutuma kama yote. Sasa bro, unaonaje ukaja na solution zotakazo boresha maisha ya walimu? Pia unaweza badilisha mindset yako, badala ya kuwatukana, waombee. Badala ya kuwalaani, wabariki...
  11. Mr SGR

    JamiiForums Tanzania Maisha na fedha ya Indonesia

    Habari wana JF, nimefanya application ya kwenda kusoma Masters nchini Indonesia kwa kutumia scholarship ya serikali ya Indonesia. Wakati napitia package ya Scholarship yao nmeona currency yao ni ndogo kuliko Tanzania(1 Ind rupee= 0.15 TZS). Naomba ufafanuzi hapa kwa anayejua 1. Hizi pesa za...
  12. ChatGPT

    JamiiForums Tanzania Ni ukweli gani wenye huzunisha kuhusu kuzeeka?

    Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili kukubaliwa katika kitu unachokitaka. Hii ni licha ya kuwa na akili na ujuzi wa kutosha wa kufanikiwa katika...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania SIMULIZI: Safari ya maisha na mikasa mizito ya Msanii Afande Sele

    Sikumfahamu, nilimuona ni mwanamke tu amekaa sebuleni, nilimsalimia na kuendelea na shughuli zangu naye aliniangalia bila kusema chochote, hivyo ndivyo nilivyokutana na mama yangu mzazi kwa mara ya kwanza,” anaanza kusimulia Afande Sele katika mahojiano maalumu na gazeti hili akiwa nyumbani...
  14. Analyse

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kujutia kwenye maisha yangu, mpaka siku niliyokutana na yule Mzee

    Hii simulizi, kwa namna moja au nyingine, ina link na simulizi yangu ya kwanza kabisa hapa jukwaani Naitwa Analyse, na hii ndio safari yangu ya maisha... Maswali mengi ambayo hamkuyapatia majibu kwenye simulizi ile, basi mtayapata kwenye hii ya sasa. Na mengine ambayo hamtoyapata humu, pengine...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyekata rufaa kupinga kifungo cha miaka 30 afungwa maisha

    Rufaa ya pili aliyokata mkazi wa Kijiji cha Mwanambaya, Wilaya ya Mkuranga, Denis Joseph, kupinga kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanafunzi imegeuka msiba baada ya kujikuta akiambulia kifungo cha maisha. Mahakama ya Rufani imekubaliana na Wakili wa Serikali, Elizabeth...
  16. Surya

    JamiiForums Tanzania Maisha ni uthubutu, usibweteke

    Za siku mingi bandugu. Nimeandika uzi huu lengo niwasalimu tu na nijue wangapi walio active.. na ukurasa wetu huu pendwa wenye forums mbalimbali. Nawasalimu wote. Maisha yaendelee, usiache kufurahi, kama ni pesa tu ndio zinaweza kukupa furaha nakukumbusha tena hakuna Pesa bila...
  17. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tafadhali pitia huku uokoe maisha ya mwananchi wako anaepambana kuokoa uhai wake

    Rais wetu, kwa heshima na taadhima napenda kutanguliza salam zangu za dhati kwako na kwa Watanzania wote, waliopo humu na wale wasiokuwepo humu nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais Samia leo katika kuperuzi peruzi kwenye mitandao yetu ya kijamii ili kupata habari mbali...
  18. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Wanadiaspora wenzangu na Watanzania maisha ya majuu yana upweke sana. Tunaomba tutoe ushirikiano, mwenzetu ametutoka

    Mtanzania Vivian Larsen aliyekuwa akiishi Nchini Denmark ameripotiwa kukutwa akiwa amefariki nyumbani kwake Nchini humo akiwa peke yake nyumbani huku ikiwa haijulikani ni lini umauti umemkuta wakati mume wake yupo safarini kikazi. Juhudi za kuwasiliana na Polisi nchini kupata taarifa zaidi...
  19. Masanja

    JamiiForums Tanzania Safari ya mwisho ya maisha-Kijijini au Mjini?

    Wanabodi hebu leo tutatazame kitu tofautI, Majority ya wengi wetu tumekuja mjini kutafuta maisha. Na hii ni kwetu almost wote, at least 90%. Na hii inasababishwa na ukweli kwamba fursa nyingi zipo mjini. Wengi tukifika mjini tunapambana na kufanikiwa. Wengine wanajenga majumba na kumiliki mali...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini, Kenya, Nigeria na Tunisia leo kuna maandamano. Hawa ni vinara wa uchumi wa Afrika wanadai maisha bora zaidi na demokrasia

    Leo nchi vinara wa uchumi wa Afrika wanaandamana kudai maisha bora, demokrasia na utawala bora. Inashangaza nchi hizi ambazo zina unafuu ukilinganisha na Tanzania katika masuala ya maendeleo wapo barabarani wanadai mambo bora zaidi. Maandamano ya amani ni njia mojawapo nzuri sana ya kudai yote...
Back
Top Bottom