maisha

  1. JamiiForums Tanzania UTAJIRI WANGU NI MAISHA DAIMA

    Pesa haiwezi kununua uhai 👇
  2. JamiiForums Tanzania Maisha yanachekesha sana

    maulid kitenge, what’s life? 🤔
  3. JamiiForums Tanzania Uzoefu katika maisha

    Unapopata changamoto katika maisha iwe ugonjwa,huzuni,msiba,kufilisika,uchungu moyoni,kuchanganyikiwa. Masikini tu ndio wanaoweza kukusaidia kwa moyo wa kweli. Kamwe usiende kwa tajiri. BELIEVE ME
  4. JamiiForums Tanzania Ni andiko gani fupi ungependa kushare hatimae liweze kugusa maisha ya mwana JF yoyote

    Utasifika kwa UCHAPAKAZI, Utaheshimika kwa MAFANIKIO, Utasujudiwa kwa UTAJIRI, Utaenziwa kwa UTU.
  5. JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kila mwanaume kuoa mwanamke bikra?

    Nimekua nikiona washauri wengi wa masuala ya mahusiano wakitushauri wanaume kuoa wanawake bikra kwa kigezo kwamba ndio wanawake pekee ambao hawawezi chepuka kwenye ndoa zao tofauti na wale ambao wanaingia kwenye ndoa wakati tayari bikra zao zlishatolewa na wanaume wengine. Hao wanaotushauri...
  7. JamiiForums Tanzania Usimuache Dogo na Shemeji yake Nyumbani, Unatengeneza bomu la Nyuklia!

    Bro makinika awa madogo janja mnaowaleta town kusikilizia michongo itiki muwe nao macho, mnapo waacha nyumbani na shemeji zao unatengeneza bomu la nuclear. Husimruhusu mdogo wake akae tu nyumbani na shemeji yake unakuta vyumba vyenyewe unavyo viwili tu unamuita dogo wanini? Muite dogo baada...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole anageuka mbogo anapoulizwa maswali: Kinachomtesa ni kiapo chake cha utumishi wa umma, si barua

    Husika na mada tajwa hapo juu: Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema "Ee Mungu nisaidie" Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress. mimi ninamshauri aombe...
  9. JamiiForums Tanzania Mbinguni hakuna kuoa – kama hujaoa, oa sasa ufurahie maisha!

    Kama hujaoa kwa kufikiri kwamba ukienda mbinguni ndio utapata mke mrembo, sahau kabisa hilo. Mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa. Hayo yamesemwa na Yesu mwenyewe. Kumbuka, Yesu anaheshimiwa sio tu na Wakristo, bali anakubaliwa hata katika maandiko na mitazamo ya dini nyingine duniani. Kwa hiyo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maisha haya...

    Unakamata akina Soka na akina Mdude, unawatesa na wengine unawaua... hawana bunduki wala nini, bando la kukusimangia wanagongea... halafu unakuja kugundua kumbe kimeo ni Polepole, ambaye unamlipa mshahara na malupulupu! Lazima uishiwe nguvu... Haya ndio matumizi mabaya ya dhambi!
  11. JamiiForums Tanzania X na Y ulizani zipo kwenye elimu tu hata maisha zinatumika sema ufahamu tu

    Kuna watu wanajua X na Y zipo kwenye elimu tu kumbe tunazo kwenye maisha tunazitumia kila siku mfano kujua upana wa chochote kwa nini unatumia kujua urefu na upana. Ushawahi kuulizwa graph yako imeshuka kazini au uchumi unakwendaje basi utakuta X na Y. kama unabisha muulize dalali wa nyumba
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Nina msongo wa mawazo, maisha hayana maana kwangu, msaada wa mawazo

    Asanteni sanA.
  13. JamiiForums Tanzania Hivi maisha ya Nigeria yakoje?

    Kuna mtu wangu wa karibu anaenda safari Nigeria. Ningependa kujua maisha ya huko yakoje kuanzia usalama,social life,vyakula na mambo mengine ya msingi.
  14. E

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
  15. JamiiForums Tanzania Raha ya uzee ni ndoto za matukio mabaya na mazuri ya ujanani

    Fikiria hii picha... Miaka 40 kutoka sasa, umezungukwa na wajukuu, kichwa kimejaa mvi. Wanakuangalia kwa macho ya kizazi kipya wakiwa na smartphones zao, wakidhani hujawahi kuwa kijana — hujawahi kusumbua mitandao wala kuishi maisha ya balaa. Sasa tafakari kama babu yako angekuwa TikTok...
  16. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  17. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli mtu anaweza kuendesha maisha yake kwa kutegemea betting tu?

    Kuna yule jamaa kule twitter anaitwa Sativa17... nilikuwa nafuatilia video yake akielezea jinsi alivyotekwa na kunusurika kufa baada ya kupigwa risasi ya kichwa. Aliulizwa anafanya kazi gani akadai anafanya betting ( michezo ya kubashiri ) tu, hafanyi inshu nyingine yoyote na kupitia hiyo...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa wana JF, usiweke video wala picha yoyote ya wanaomkataa mama waziwazi ili kuwalinda, ila kiufupi, watanzania hawamtaki

    Jamani, Kunakupotezwa, si unajua tena ugali wa mtu, hata kama unga kaiiba, mboga kaiba, ila ukimwaga chakula chake, hasira huja zenyewe Tusiweke video za wanaomkataa hadharani kipenzi cha wanasisiemu wenye nyadhifa za uteuzi! Nazungumza nyadhifa za uteuzi kwa sababu, hao ndiyo watamlinda...
  20. JamiiForums Tanzania Sijawahi kuachana na mtu kwa vita au ugomvi, mliachanaje na ex wako wa mwisho?

    Mahusiano yote niliyoyavunja ni either tumeshindwana tabia, hisia zimekata or sioni future na huyo mtu. Huwa nawaambia tu kwenye mazungumzo kama utani na baada ya hapo nasitisha mawasliano au nahama kabisa. Mimi sipendi confrontations (magomvi) na toka nimeujua ulimwengu wa mapenzi sijawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…