maisha

  1. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Mama anapunguza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma mabenki wao wanaongeza ukali wa maisha kwa watumishi wa umma hili lakuangaliwa

    Miaka mitano nyuma kipindi watumushi wa umma hawapati nyongeza za mishahara, hawapandi madaraja tasisi za kifedha hasa mabenk riba zao zilikuwa kubwa ila tofauti na sasa zamani benki nyingi walikuwa na asilia 13% 14% Baada ya mama kuanza angalia maslahi ya watumishi benki sasa asilimia zao...
  2. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Maisha yenye raha si bora kama hayana amani

    Siku moja, panya wa mjini alisafiri kwenda kumtembelea rafiki yake, panya wa shambani. Panya wa shambani alimkaribisha kwa furaha, akamletea chakula alichokuwa nacho – mbegu, mizizi, na vipande vya mihogo. Ingawa si vya fahari, alitoa kwa moyo mkunjufu. Lakini panya wa mjini alipoonja vyakula...
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi maisha hayachangamishi tena; mbadala ni nini?

    Tanzania ya leo bila NBC premier league, maisha hayachangamsihi tena. SIasa za uchaguzi ndiyo zimekuwa za hovyo kabisa; tuna CCM inayoenedsha mambo yao kwa mabavu kifalme na CHADEMA inayoendesha mambo yao kipatapotea bila malengo thabiti yenye mvuto - lengo lao CHADEMA ni kuiondoa CCM...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ni very hard naombeni kazi

    Habari nilikuwa natafuta kazi here in dar es salaam nina miaka 20 kazi ni ya kuuza duka
  5. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wagonjwa wengi wanadaiwa kupoteza maisha pindi wanapofanyiwa operation katika Hospitali ya Rufaa kanda ya Shinyanga

    Habari ni kwamba zipo taarifa za kuaminika kuwa hospitali ya rufaa kanda ya shinyanga iliyopo eneo la mwawaza watendaji wa hospitali hiyo wameingia kwenye kashfa kubwa za kushindwa kutoa huduma bora kwa jamii kwani malalamiko mengi ni kuwepo kwa vifo vingi vinavyotokana na operation za wagonjwa...
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Imagine mwanamke anapoteza maisha kwenye maandamano Kenya kama hivi ila Tanzania midume inakua chawa kwasababu ya uoga

    Hii ni kenya mwanamke kapoteza maisha Kwa kuipambania nchi yake tanzania sifa kuu ya midume inakua chawa yote ni njaa na uoga
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Kwa wasiofuga na kulima ndio uona maisha ni magumu

    Maisha ni magumu kwa asiyelima na kufuga, anayetegemea apate shilingi mia ndio iwe unga, kitunguu, nyanya n.k Kama una lima na kufuga, tayari unakuwa na uhakika wa chakula pamoja na hela za ziada; na hii itakuletea utulivu wa nafsi na kujiamini bila kumtegemea mtu. Kwa wale wasiolima na...
  8. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Tuweke mishahara kuendana na maisha ya mtanzania

  9. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Katika utafutaji tunatarajia wenye umri mkubwa wawe na pesa nyingi na maisha mazuri

    Ni kweli! Pesa Ina uhusiano mkubwa na umri kwa maana muda wa kuitafuta wakati ukiwa mzima. Pesa ni namba ambazo huongezeka kila unapotafuta na kufanya saving, hivyo basi kama umeanzisha kampuni au biashara jinsi siku zinavyosonga ndivyo unazidi kupata matokeo na kukua kibiashara Inashangaza...
  10. Mama Mwana

    JamiiForums Tanzania Tujifunze kuishi na watu vizuri maisha yana siri na fumbo zito

    Hellow guys!! I hope y'all doing well, and all is well, nimetoka kwenye usingizi wa kifo, i mean nilikua nimelazwa kwa wiki ya pili bila kujitambua, ilikua ghafla sana ilikua hivi nimeamka siku moja nahisi kumichwa kuumwa,kizunguzungu kikali, natapika vitu vichungu good enough nilikua nimepita...
  11. al-baajun

    JamiiForums Tanzania jina Lako Linaweza Kufunga Maisha Yako? (Siri Ya Majina na Uzito Wake)

    Katika tamaduni nyingi za Afrika hasa za Kiswahili jina la mtu halikuchaguliwa tu kwa kupendeza au heshima ya familia. Jina lilizingatia: Asili ya neno hilo (kama lina mizizi ya vita, huzuni, roho, au baraka) Nguvu ya herufi za jina hilo kwa mujibu wa maandiko ya kale (kama Shams al-Ma’arif)...
  12. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Usiku ule ulikuwa mkubwa na mzito sana kwetu.Tukio lililoacha kumbukumbu nzito maisha mwangu

    Mapendo Daima. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa na umri wa miaka 10 Famili yetu ilipatwa na tukio kubwa lenye kuacha historia kubwa sana. Tukio la kinyama ambalo daima tulikuwa tuna sikia tu kwa wengine. Majira ya saa12 jioni jua likielekea kuzama nikiwa mimi na wadogo zangu wa3 tukirudisha...
  13. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Picha: Achana na mahusiano na mwanamke ambaye hana mchango kwenye maisha yako. Kuwa kama mimi!

    Wanaume kama sisi wenye akili timamu na future. Pampuchi sio kitu cha muhimu sana hasa tunapoingia kwenye mahusiano. Mwanamke anatakiwa kuwa na akili na mawazo Hasi. Mwanamke akupe peace of mind. Mwanamke awe hamasa ya wewe kusave pesa. Mwanamke anatakiwa kuwa mbunifu kila siku. Awe na ofu ya...
  14. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Natafuta App nzuri ya kupata demu wa kizungu

    Wakuu msaada kwenye tuta wale wenye exposure zao mnajua haya mambo yanavyoenda ebu nipeni madini napataje mchumba wa kizungu kupitia apps maana nimedownliad hizo app naona kila kitu ni complicated. Wazungu hawanizingatii na mimi ndio target yangu wanajitokeza wabongo ambao najua mwisho wake ni...
  15. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Maisha hayatabiriki dunia sio yetu

    Diogo Jota amefariki wakati ambao alikuwa anaendesha gari kuelekea Kaskazini mwa Hispania kwenye Mji wa Santander akiwa na Mdogo wake Adrian, ambapo wangefika Mji huo wangevuka kupitia Ferry (kivuko) mpaka upande wa pili kisha waendelee kuendesha kuelekea England ( Uingereza) kwa barabara ili...
  16. Heritage123

    JamiiForums Tanzania Matangazo ya Online: Siyo Tena Hiari, Ni Silaha ya Maisha ya Kidijitali

    Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi. Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
  17. Walletking

    JamiiForums Tanzania Mwanamume wa Heshima (29) anatafuta Mwenza wa Maisha mwenye Dira na Dini

    Jina: Ismail Umri: Miaka 29 Uraia: Mtanzania (kwa sasa naishi Zambia) Kazi: Dereva wa magari makubwa, pia nina ujuzi wa kompyuta na teknolojia Dini: Muislamu Tabia: Mpole, mcha Mungu, muwazi, msikivu, sina anasa, ninathamini mawasiliano ya kweli na uaminifu. Hobies: Kusafiri, kusoma, muziki, na...
  18. Now and then

    JamiiForums Tanzania Salimu Kikeke kiukweli maisha hayakumuendea vizuri

    Huyu jamaa anajiita Salum Kikeke. Nafasi aliyokuwa nayo BBC Uzoefu wa Kazi Exposure n.k Nilitegemea akirudi Tanzania awe Kama Diamond au Samatha au Kama Msuva . Yaani aanzishe Project itakayomtofautisha yeye na waswahili . Ila yupo anapambia siasa za Ccm zilizojaa utapeli ,wizi ,majungu na...
  19. Last_Joker

    JamiiForums Tanzania Ulevi na Kulewa Wikiendi: Kufurahia Maisha au Kutoroka Realities?

    Ijumaa ikifika tu, watu wanasema "leo tuna-drop stress zote, tunaweka shida chini na kutupa mikono juu" halafu Jumamosi inafuata na vileo juu ya vileo, kubanjuka, vijiwe nongwa. Lakini je, huu ni utamu wa maisha ama ni njia ya kutoroka yale tunayoshindwa kuyakabili kwa macho ya nyama na damu...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Hizi ni Aina nne za ugali ninazokula maisha yangu yote , na mboga zake nakuwekea

    Ugali ni Tanzania Sima ni Zambia Shima ni Zimbabwe Fufu ni nchi za afrika magharibi Bugali ni kwa wakongoman Twende moja kwa moja ugali ni chakula Changu pendwa kama ifuatavo Dona ambayo mahindi yameoshwa vyema , yakaenda kusagwa na muhogo uliokaushwa hapa naweza Kula na dagaa , nyanya...
Back
Top Bottom