maisha

  1. R

    JamiiForums Tanzania Takribani watu 800 wamepoteza Maisha na 2,500 kujeruhiwa na Tetemeko la Ardhi Afghanistan

    Kwa mujibu wa taarifa zilizotelewa na vyombo vya habari Al Jazeera na Reuters kumetokea tetemeko la ardhi Afghanistan usiku wa kuamkia September 1, 2025 lenye ukubwa wa Ritcher 6.0 na kusababisha idadi ya vifo takribani 800 na majeruhi zaidi ya 2,800. Idadi hiyo imekuwa ikiongezeka zaidi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kama anayosema Polepole ni Kweli, inamaanisha tunaongozwa na serikali yenye wahalifu na haramu

    Hamjambo! Pamoja na Polepole kubwa muasi katika genge analolituhumu kwa uhalifu na uharamu. Na simuamini Sana lakini anayoyaongea yanauzito na ukakasi Mkubwa. Kusema CCM ni majizi ya Kura huku chama hicho ndio kinaunda serikali ni kujaribu kueleza kuwa Tanzania serikali yake ni matokeo ya...
  3. JamiiForums Tanzania 30 wataka kuuza figo muhimbili...wapunguze ukali wa maisha waambiwa wakafanye kazi hospt haina uuo utaratibu..duh tunapoelekea tunauziana maini utumbo

    Hospitali ya Taifa Muhimbili imesema ni kweli Watanzania zaidi ya 30 wamewafata Madaktari wa figo na kutaka kuuza figo zao kwa Wagonjwa wenye matatizo ya figo ili pesa hizo ziwasaidie kupunguza ukali wa maisha. "Ni kweli kuna Watu wamekua wakiwafata Madaktari wa figo wakiwaambia sisi tunataka...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hii hali ya kuwa kuna waajiriwa wana maisha mazuri kuliko wafanyabiashara kibao ni kitu watu huwa hawataki kukubali ila ukweli hauwezi kubadilika.

    watanzania wengi wapo brainwashed kutetea biashara ndio njia pekee ya kutoboa na mifano lazima iwe ile ya kina MO na Bakhresa, Ni kweli biashara ndio sekta inayotajirisha zaidi lakini haimaanishi watu wenye ajira wana maisha mabaya. kuna waajiriwa wengi wana maisha mazuri ya uhakika kuzidi...
  5. JamiiForums Tanzania Vijana; leo nawaibia siri kidogo kuhusu ugumu wa maisha mnaopitia

    Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda 1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
  6. JamiiForums Tanzania Huenda Polepole akaishi kwa kukosa amani bali kwa kujificha for fear of unknown maisha yake yote

    Ni huzuni sana, kwamba muungwana hatawahi tena kupata utulivu na amani moyoni mwake. Fikra za yuko wanted zitakua zikimjia mara kwa mara, ili hali hakuna mwenye haja nae. Ni wazi atakua akihisi umbea, upotoshaji, kusingizia wengine uongo na uropokaji wake, vinaweza kuwaudhi anaowachafua kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Maisha ni magumu aseee💔

    Nothing more
  8. JamiiForums Tanzania Maisha ya Vijana

    Vijana wa Mgodini wanavimba sana ukifika Katoro. Wanapanda Juu ya meza mpaka kwenye vibanda vya watu. Vijana wa Katoro acha Ulevi wa ajabu 😂
  9. P

    JamiiForums Tanzania Je ni mkoa gani nchini ambao unafaa katika kuanza maisha?

    Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
  10. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hela ni mwiba mkubwa sana kwa maisha ya wanaume

    1: Utawakuta wengi wao wanapenda shughuli shughuli na katika shughuli zao lazima wawashirikishe mchicha mwiba kutia shamsham na kuwapa sapoti mapapai ili na wao wajione watu wa maana 2: Utawakuta watoto wao wa kiume ni mayai mayai na mapapai ya baadae hakuna wanachoelewa kuhusu uanaume kutokana...
  11. JamiiForums Tanzania Wewe nishakusoma wewe! Kweli maisha ni cycle

    Unajua kipindi cha nyuma kabisa nilipokuwa bado nipo school kuna day dada mmoja alinikaribisha geto kwake tukajisomee, sasa katika kujisomea nilijikuta nimejisahau mpaka usiku ukaingia nikashindwa kwenda home ikabidi ni lale kwa kochi yeye alale kitandani. Baada ya muda akaniamsha akidai...
  12. JamiiForums Tanzania Haya maisha! Kuna watu tunadhani wako bize na maisha, kumbe walishafariki kitambo. Mungu atulinde

    Jana kuna jamaa yangu mmoja tulisoma naye o level nilikutana naye ghafla maeneo ya SOWETO MBEYA tukawa yunajaribu kukumbushana mambo ya shuleni Maana ni muda hatujaonana tangu tumalize shule katika kukumbushana ndo tukawa tunajaribu kuwakumbuka baadhi ya wanafunzi Ile nimemta jamaa mmoja kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Je, maisha ya wahadzabe ni sifa au aibu kwa nchi?

    Hivi karibuni kumezuka trend ya waandishi na Youtube duniani kote kwenda maeneo ya wahadzabe na kuwashangaa na kuwachukua video kuonesha maisha yao ikiwemo Ulaji wa nyani, uzamani wao, lugha yao isiyotamkika wala kuandikika na vingine vingi ambavyo kwa dunia ya leo ni aibu au ni kushangaa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Tabia ya watangazaji wa Clouds Media kuwasimanga watu wanaotafuta maisha wakiwa wanaishi kwa shemeji

    Clouds Media wameharibu siku yangu mapema sana leo majira ya saa 0600Hrs nikiwa nimelala nawaza nikapige mishe wapi za kuniingizia chochote maana kwa leo nimeamka sina ramani yoyote, sasa nikiwa nasikiliza radio iliyokua imewashwa sebuleni kwa sauti ambayo kila aliechumbani anaweza kuiskia ndo...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha yanaenda resi aisee ati mda si mrefuu chawa nawe anakuwa na chawa wakee..niongezee sautii??

    Nimekubali chawa n kazi kama kazi zingine Usiunderestimate machawa kabisaa Mda si mrefu soon tutaonaaa Waliokuwa machawa kwa mda mrefuu nao wanakuwa na machawa Aisee maisha punguza kesii ukoresi sana
  17. JamiiForums Tanzania Wanaku-Delude Kuwa Umeelimika, Ila Wewe Ni Robot Lao Tu, Maana Nje Ya Mfumo Wao Vyeti Vyao Vya Degree Ni Vifungashio.

    Katika jamii ya leo, elimu imekuwa kama kipimo cha thamani ya mwanadamu. Certificate, Diploma na Degree vimechukua nafasi ya heshima, ajira na hadaa kubwa ya kijamii. Hata hivyo, ukweli ni kwamba hiyo ni chicanery tu, unaambiwa na unajiona umeelimika kwa sababu umepokea uthibitisho wa...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Elimu ya mkoloni haikuanzishwa kwa Waafrika ili iwape maisha bali ili wawatumikie wakoloni ktk kada za mbovu

    Jitafakari!!
  19. I

    JamiiForums Tanzania MacBook Air au MacBook Pro? Ipi Inafaa kwa Kazi Zako Mwongozo wa Kitaalam Kabisa wa Kuchagua Kulingana na Kazi, Bajeti na Mtindo wa Maisha

    Katika ulimwengu wa teknolojia ya kisasa, kila unaponunua kifaa kama laptop, unafanya uamuzi wa uwekezaji. Na unapozungumzia Apple MacBook, uamuzi huo huwa na uzito zaidi. Wateja wengi huuliza swali moja kubwa: "Ninunue MacBook Air au MacBook Pro?" Katika makala hii, tutakuongoza kwa lugha...
  20. JamiiForums Tanzania Chamillionaire: Ridin Dirty na Maisha nje ya Muziki

    They see me rollin' They hatin' Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty Tryna catch me ridin' dirty Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya yalikuwa ni kama wimbo wa dunia haswa sehemu za disco, aliyeimba wimbo huu wengi wanamfahamu kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…