maisha

  1. JamiiForums Tanzania Je, umewahi kupitia bullying kwenye maisha yako?

    Habari wakuu Je, umewahi kupitia bullying kutokana na maumbile au muonekano wako, ni namna gani iliathiri saikolojia na maisha yako kiujumla na je ni namna gani ulipambana na tatizo hili. Binafsi kuna kitu hakipo sawa kwenye mwili wangu ( siwezi taja ) imekua ikiathiri sana saikolojia na...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya Watanzania maskini

    Ndugu zangu Sasa ndio nimeelewa kauli ya kusema nimesacrifice maisha yangu kwaajili ya watanzania maskini. Nimeelewa hivi kiongozi kusacrifice maisha yake kwaajili ya watanzania ni kitendo cha kutumia fedha zote za umma kuijenga Tanzania na kukataa kushirikiana na viongozi wenzake wenye nia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Taratibu za kipagani katika mfumo wetu wa maisha 1 ( majira ya mwaka)

    MIEZI YETU NDANI YA MWAKA NA MILA ZA WAPAGANI Naam Asilimia kubwa ya wengi wetu tunaamini katika Mungu hilo hata mimi nlifundishwa tangu wakati ule nipo madrasa kule jang'ombe zanzibar. Na kama tujuavyo Historia tangu kipindi cha Eve na Adam mpaka sasa ni vita kati ya shetani na watoto wa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Maisha ya South Africa daaah!!

    Unajua maisha haya bongo watu wengi wameshachoka sana tu ila amekosekana HERO wa kulianzisha tu ili watu wamalize kila kitu,na siku akitokea tu huyo mtu,yaan acha kabisaaa.... Talking about a hero,inanipeleka moja kwa moja kwenye tukio moja hivi one day pande za hillbrow Nakatiza kwenye boda...
  5. JamiiForums Tanzania Natarajia kujivua Uraia wa Tanzania na kuhamia Marekani na kuondoka nchini Maisha

    Niliandika barua nikiwa Mahabusu 2018 Butimba gerezani ya kumuomba Rais wa Tanzania wakati huo John Magufuli ambaye sasa Yuko Motoni mwa milele (Fact spiritually). Nikimuelezea chanzo Cha Serikali kuniwekea vikwazo na mapingamizi mbalimbali ya Mimi DJ. DON NALIMISON kutofanikiwa kimaisha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania kuanza msako wa kuwakamata wanaotaka kujinyonga, ole wako ukionekana kama mtu uliyezongwa na maisha

    Wenzetu mnashauriwa mtembee vifua mbele huku mkikenua meno na kuonyesha furaha, usionyeshe dalili zozote za kutaka kujiua kisa ugumu wa maisha hayo mara mgao wa umeme, maji, jua kali n.k. === Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora Barnabas Mwakalukwa amesema Jeshi la Polisi mkoani humo litaanza msako...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

    Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru. Twende kwenye maada...
  9. JamiiForums Tanzania Uhamisho watumishi wa Umma: Waziri Ummy Mwalimu acha usanii na siasa kwenye maisha ya watu

    Nchi hii kuna viongozi wa ajabu ajabu sana, hivi waziri anapata wapi mamlaka ya kuzuia uhamisho wa mtumishi wa umma ambaye mkataba wake unamruhusu kuhamia eneo lolote kisheria? Utakuta mtu ana miaka mpaka 8 hadi 10 anafanya kazi ndani ya eneo moja, lakini leo hii anaomba kuhama kufuata...
  10. JamiiForums Tanzania Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya kuona sifaidiki na elimu niliyosoma

    Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama , SHINYANGA, Tanzania. Nimefikia uamuzi wa kuchanachana vyeti vyangu vyote vya Kitaaluma baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Katika maisha tunahitaji kichwa chenye ubongo na akili zenye maarifa

    Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo. Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
  12. JamiiForums Tanzania Pressure inanifelisha maisha

    Habari za asubuhi ndugu zangu wa jf, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31na mwenye urefu wa cm172 na uzito wa kg 66. Mwaka jana nlikuwa kwenye masailiano ambayo yanahitaji mtu apimwe afya yake.. nilikuwa safi kwa magonjwa yote isipokuwa waligundua pressure yangu ipo juu. Vipimo vilikuwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: KRA yatangaza kuchunguza maisha ya wakenya kwenye mitandao ya kijamii

    Mamlaka ya Ukusanyaji Ushuru nchini Kenya (KRA) imetangaza kuwa inaanza kuchunguza mwenendo wa maisha ya raia wa nchi hiyo kwenye mitandao ya kijamii na majukwaa mengine ya kidijitali ili kubaini iwapo mapato yao yanalipiwa ushuru. Mamlaka hiyo inasema kuwa raia wengi wa Kenya wamekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Vitu ambavyo hupaswi kuvifanya kwenye maisha ya kila siku

    Hivi ni kaadhi ya vitu ambavyo hutakiwa kuvifanya kwenye maisha. 1) Kamwe usiruhusu heshima yako ishuke,kwa namna yeyote ile .Jiheshimu na hakikisha heshima yako inabaki kwa kiwango kile kile. 2) Usimdharau yeyote yule kwa sababu ya umbile , rangi yake, kabila, jinsia hata ulemavu wake. Maana...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Maisha ya watu waliohusika kumfunga jela Nelson Mandela yalikuwaje?

    Kama ambavyo nimekuwa nikisema humu kila wakati kuwa, katika hii duniani ambayo imekuwwpo kwa mamilion ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya zaidi ya teknolojia tu. Yote yanayotokea leo hii hapa duniani, yamo ya kufananayo katika maandiko matakatifu na yamo pia katika...
  16. JamiiForums Tanzania Maisha siku za awali ya Waingereza waliohamia Australia na New Guinea

    Baada ya Uingereza kutangaza Australia kuwa ni koloni lao, walianza kupelekwa wafungwa wa muda mrefu, waliohukumiwa kifo na wale waliofungwa kwenye jela zenye ulinzi mkali. Walipelekwa pia watoto yatima na wale waliokua chini ya uangalizi wa social system.
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha Ethiopia Inasikitisha sana, vibaka wanavamia nyumba za watu kuiba chakula

    Mzuka wanajamvi! Wa Ethiopia wengi walioko nje Diaspora wanapitia wakati mgumu sana kwasababu ya ndugu zao nyumbani wanayopitia. Sasa hivi wengi hawajui kama ndugu zao wako hai au wamekufa. Simu zao hazipatikani wala kwenye mitandao ya jamii hawaonekani. Hali imekuwa ya sintomfaham sasa hivi...
  18. JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa mkutano wa kumbukumbu ya maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad

    UFUNGUZI WA MKUTANO WA KUMBUKUMBU YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD. - "Nimesimama mikutano mingi kuongea na mingine ya kimataifa. Lakini sijaona ugumu kama naouona katika mkutano huu" - "Enzi za uhai wake, Maalim Seif alikuwa ni makutano ya watu, alikuwa ni kiongozi wa watu na alitokana...
  19. JamiiForums Tanzania Maisha yamebadilika. Usikubali maumivu

    Life is too short and beautiful. Usikubali maumivu . Maumivu kwenye maisha huleta stress na kifo Cha ghafla hususan kwenye umri mkubwa.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kushusha zaidi bei ya mafuta mwishoni mwa Desemba 2021

    Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa Tshs 102 katika kila lita ya mafuta msimamo wa bei ya mafuta uliopo nchini bado haumpi usingizi mama huyu kwani bei ya mafuta ndio huamua gharama za maisha ya watoto hawa wa masikini ama zipande au zishuke au zisalie zilivyo. Rais Samia Suluhu Hassan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…