Nilivyomaliza chuo mwaka jana nilisambaza CV org nyingi na baadhi wakanialika kwa usaili. Nilifanya interview kama 5 bila kupata kazi nikagundua kwamba napoteza vijipesa vyangu kwenye safari zisizoonyesha kuzaa matunda kwa sababu unakuta gharama ya interview moja nauli kwenda na kurudi, chakula...