Anaandika, Robert Heriel
Kujiamini hakuji hivihivi, upo mchakato na vigezo maalumu ambavyo mtu sharti atimize ili aweze kujiamini. Kuna kujiamini na kuvurugwa na maisha, wengine wanashindwa kutofautisha hayo mambo.
Ili ujiamini itakupasa uwe na mambo haya;
1. Akili, maarifa, Ujuzi, ufahamu...