maisha

  1. Gama

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vyafanya maisha ya Warusi kuzidi kuwa magumu

    Maisha ya raia wa Urusi yamezidi kuwa magumu kufuatia Taifa hilo kuingia vitani na jirani yake Ukrain. Hali hii imefanya mataifa mbalimbali kuiwekea vikwazo kadhaa ikiwemo baadi ya raia kuziwa kusafiri na hivyo kudumaza biashara na upatikanaji wa boidhaa. Yasemekana raia wamebaki kimya kwakuwa...
  2. ward41

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Ukraine imerejeshwa. Ina maana maisha Ukraine sasa ni kama kawa?

    Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza iliyochezwa kati ya timu za Shakhtar na Metalist katika uwanja wa Kyiv Olympic. Hifadhi za dharura...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri. Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
  4. GIRITA

    JamiiForums Tanzania Maisha bwana!

    Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha. Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia...
  5. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Ukweli mweusi wa kujifunza kwenye maisha

    1. Watu pekee wanaokupenda kwa dhati pasipo mategemeo ni wazazi/walezi wako. 2. Mapenzi ni hadithi.Pasipo sababu , hakuna rafiki. 3. Cheka na kila mtu lakini usimuamini mtu. 4. Kila mtu husema Ukweli usemwe lakini hakuna anayependa kuusikia ukweli huo. 5. Pesa ina sehemu yenye nguvu kwenye...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Mbali na maisha haya magumu, tozo kila pahala, mwananchi, Bado hujachoka tu kuwa na kadi ya CCM?

    Mtu aliyelogwa, sio tu mpaka awe muokota makopo, maana Kwa siku za Leo, wengi tu ambao wanaokota makopo na kwenda kutengeneza pesa! Ukisikia mtu kalogwa, si lazima aehuke ndio iwe kielelezo chake, no!! Kuna majamaa yanaelimu zao na familia zao huko, yamelogwa na jitu linaitwa CCM! Hayana...
  7. co fm

    JamiiForums Tanzania Vijana waliofanikiwa maisha

    Kuna vijana ambao wanaona maisha wameyapatia kama vijana wenye sifa hizi;- 1. Anakaa sinza 2. Anamiliki crown au Mark x 3. Anafanya kazi posta na hii sio lazima sana anafanya kazi bank. vijana hawa huwa wanaona maisha wameyapatia sana,
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Matukio yote muhimu katika maisha ya Augustino Mrema

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama Cha TLP, Augustino Mrema amefariki duninia katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) Dar es Salaam alikokuwa anapatiwa matibabu. Mrema (77) aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, amefariki dunia leo Jumapili, Agosti 21, 2022, asubuhi, katika Hospitali ya Taifa...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

    Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake…. Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kupaa kwa gharama za maisha Uingereza 🇬🇧 🇬🇧 kwawasukuma wanawake wa UK 🇬🇧 🇬🇧 kufanya biashara ya ukahaba ili kupata kula yao

    Idadi ya wanawake wanaojiuza nchini Uingereza imeongezeka kwa zaidi ya asilimia 30% kutokana na athari za matokeo ya Urusi kupunguza/kukata gesi yake na mafuta yake kwenda nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza. Wanawake hao wanasema wamelazimika kuingia kwenye kuuza nyeti zao kutokana na mfumuko wa...
  12. travelme2014

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mafanikio kwenye ulimwengu wa kisasa

    MAKALA: SAYANSI NA TEKNOLOJIA Miaka 200 iliopita yaani mwaka 1822 hakukuwa na kiwango kikubwa cha maendeleo ya sayansi na teknolojia. Nchi nyingi duniani hazikujua kuna jambo gani linaloendelea upande mwingine wa dunia. Kulikuwa na changamoto kubwa ya kupata tiba, usafiri, mawasiliano, nishati...
  13. Antonia lujabuka

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha mapya ya Teknolojia

    MAISHA MAPYA YA TEKNOLOJIA Daah!!! Alishtuka ghafla na kushika simu yake iliyoingia ujumbe ambao ulimpa mawazo na kumnyima usingizi, ilikuwa mida ya saa nane usiku. Ujumbe huo ulimueleza kuhusu kifaa chake kimoja kimekamatwa na kukipata kifaa chake inaweza kumgharimu pesa nyingi Sana na...
  14. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Hiki kitu no muhimu sana kwa maisha ya binadam

    Kuna mwalimu wangu kipindi nikiwa primary alikuwa anatuonesha ualisia wa maisha ya binadam apa duniani kwa kusema kuwa katika vitu vya mhimu apa duniani inabidi uwe na hekima ktk madaraka ya namn yoyote,kwani madaraka yanapofusha na husipokuwa Makini unaweza husione mbele na ukawa na dharau kwa...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa

    Maisha huanza baada ya siku 1,000 za kwanza za mtoto yeyote aliyezaliwa kutoka mimba hadi umri wa miaka miwili. Hakuna nyara katika kufanya hivyo kwa wazazi, lakini athari zake ni za thamani. Tena, kwa sababu wewe si mzazi huyo au ulilelewa kizembe katika utoto wako, haimaanishi kwamba...
  16. Mkemia Fred James

    JamiiForums Tanzania Fedha haiwezi kununua vitu hivi

    1. Muda. Pesa haiwezi kununua muda uliopoteza. 2. Uzoefu wa kihisia.(Furaha,huzuni,vifijo, nderemo,shangwe,hofu, ukumbusho) 3. Muunganiko wa kweli-Watu wanaokujali au kukukubali pasipo fidia ya chochote. 4. Afya. Unaweza kwenda kwa madaktari bingwa na wazuri lakini juhudi zako binafsi pekee...
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Ataka kujiua kwa kujikata koromea

    James Msengi Mkazi wa Tabora anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 amenusurika kifo baada ya kujaribu kujiua kwa kujikata na kisu shingoni akiwa kwenye kituo cha Mabasi cha Msamvu mkoani Morogoro. Majeruhi huyo ambaye amesema alikuwa anasafairi kutoka Dar es salaam kuelekea kwao Tabora lakini...
  18. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Wakati wanapambana kupeleka gesi ya Mtwara - Dar walisema umeme utakuwa wa uhakika

    Habari za mda huu wanajamvi. Naenda Moja Kwa Moja kwenye mada. Ebu nisaidieni Kama nimesahau au niko sahihi. Propaganda zile ilitembea sana siku zile ili kupata uhalali wa watanzania wakubali lakini sikuona mabadiliko yeyoyte baada ya kufanikiwa kupeleka Dar kwenye umeme kubadili bei...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Uvivu na uchafu ni mapacha ambao ukiwakumbatia utaishi maisha ya ovyo ovyo sana

    Binadamu anapaswa kuwa msafi, hii ni moja ya tofauti kati yetu na wanyama ingawa wote ni jamii ya mamalia. Sisi tunaoishi kwenye chumba kimoja ambacho ukifungua macho asubuhi unaangalia vyote unavyomiliki, inapaswa kujiongeza sana. Bila kujiongeza unakaribisha panya na mende ndani. Unakuta...
  20. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Msoto wa maisha Dar es Salaam ulivyonifanya nitamani kuwa mwizi na mhujumu uchumi

    Hivi ni visa vya kweli vinavyotokea ili tujifunze graduate na wapambanaji wengine someni hapa. Hakuna cha nitaendelea nitafupisha zaidi iwe fupi. Ni Mimi pastor prakatatumba abaabaabaabaa etumba etumba. Ndugu zangu kwanza nikiri jiji la Dar es Salaam watu wanapambana saaana tena saana, kuna...
Back
Top Bottom