1. Hayupo mtu atakayekupenda kama mama yako mzazi.
2. Masikini siku zote hana rafiki.
3. Watu huheshimu pesa zako, hawakuheshimu wewe.
4. Yule unayempenda sana ndiye atayekuumiza sana.
5. Ukweli ni mwepesi,unapoanza kuuelezea unakuwa mzito.
7. Vitu viwili vinavyoweza kueleza maisha yako...
Anasema wafungwa ambao wanasubiri kunyongwa kwa siku hupewa dakika 15 tu za kutoka nje na muda mwingi hubaki ndani.
“Kwa kuwa wanakuwa wengi gerezani, basi kuna baadhi wanaweza kukaa muda mrefu bila kuona hata jua na baadhi wamefikia hatua ya kuchanganyikiwa kutokana na msongo wa mawazo,”...
Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
Umekutana na mchumba, anakupeleka nyumbani unakuta ni nyumba ya mbavu za mbwa. Wazazi waliwekeza hela zao nyingi katika elimu ya binti yao, amefanikiwa kumaliza kidato cha nne na ana certificate ya chuo lakini haja pata ajira.
Wakwe ni wakarimu na ni waungwana. Unaamua kupeleka barua ya posa...
Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan naomba kukuomba uchukue hatua madhubuti na za makusudi katika kudhibiti ajali za barabarani hapa nchini kwani zimekuwa zikigharimu Maisha ya watanzania. Leo Mbeya, Sengerema , juzi juzi hapa watoto wa shule huko Mtwara...
SOMO LA LEO
MAISHA ya mwanadamu yana UKOMO.
"Tumezaliwa" "Tunaishi" "Tutakufa"
Huu ndio ukweli halisi wa maisha yetu.
Neno la Mungu katika kitabu cha AYUBU 14:1-2 linasema
" Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
Yeye huchanua kama...
INTRO: Katika vita dhidi ya umaskini, jumla ya watu maskini milioni 98.99 nchini China wameondolewa kwenye umaskini uliokithiri. Miongoni mwao, zaidi ya watu milioni 9.6 wameondolewa kwenye umaskini kupitia kuhamishwa kwenye maeneo maskini na kupelekwa maeneo yenye huduma zote. Utaratibu huu wa...
Zinaitwa face me I face you kwakua ukifungua mlango wa chumba chako inatazamana na jirani yako.
Ukipika pilau chakula kinachobaki utakinusa usiku mzima mpaka kesho hamu imekuishia.
MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA
PROFESSIONAL: IT specialist
-Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
Habari za leo wakuu.
Siku ya leo nimeguswa sana kutambua mchango wa member mwenzetu ip_mob aliyetangulia mbele za haki. Ame play part kubwa sana katika mafanikio yangu, kwa bahati mbaya ametangulia hata kabla hajasuhudia matunda ya mchango wake kwangu.
Kama mnakumbuka around mwaka 2018 na 2019...
In short wanawake mnatia Huruma Sana. Unajinasibu unataka Mwanaume mwenye pesa hila Mwisho wa siku unaishia kupewa Mimba tu na kuachwa .
Njia ya Mtu Kupata pesa ni kufanya Kazi hayo Mambo mengine mnajidanganya. Kwasababu tangia Mtu adange lakini Unakuta Mambo Ni 0-0
Wanawake fanyeni Kazi huku...
Habari za jioni ndugu na jamaa humu ndani leo nimeona nizungumzie jambo moja ambalo linaathiri Jamii yetu bila kujua na limekuwa ni tatizo ambalo katika maisha ya watu wengi.
Wapo waliouza nyumba zao, waliokimbia miji, pia wapo ambao mpaka sasa naandika huu Uzi wapo jela, japo hawana hatia...
Nilipohitimu shahada yangu ya kwanza ya elimu mwezi wa saba mwaka 2014 kule Mtwara kwenye chuo cha STAMUCO nikaamua kurejea nyumbani Dar-es-Salaam, nikaona nisibweteke na kungojea ajira za Serikali, nikaamua kujiunga na shughuli za hapa na pale angalau niwe napata hata fedha za kuweza kununua...
Jioni ya jana nikiwa natoka katika harakati zangu za kila siku niliamua kufaya mazoezi kwa kutembea kwa miguu tokea kazini hadi nyumbani tofauti na nilivyozoea malanyingi huwa napanda usafiri wa umma asubuhi na jioni kwasababu sina chombo binafsi cha usafiri.
Nikiwa nakatiza katika mitaa karibu...
Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou.
Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na...
Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana
Kwa...
Wakuu,
Mkeka Wa Vitu Ambavyo havikuwepo kabisa Duniani Mwaka 2003. Maisha Yako Spidi Sana.
Hichi Kizazi Cha Miaka ya 2000+ Ni Nyoko. Malezi Yao yanahitaji Moyo wa Chuma. Tupambane Hamna Namna. Ndio Maisha Yenyewe.
Facebook
Twitter
iPhone📱
iPad
Android
Alibaba
Apple App Store
Uber
Airbnb...
Jifunze kuzuia ulimi wako usinene mabaya – Mtume Petro anatueleza kwamba ‘Kwa maana, Atakaye kupenda maisha, Na kuona siku njema, Auzuie ulimi wake usinene mabaya, Na midomo yake isiseme hila’ (1Petro 3:10).
Jizuie kunena unapokuwa na hasira – Katika Waefeso 4: 26 imeandikwa ‘Mwe na hasira, ila...
Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa.
Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
001:
umasikini ni jamb baya sana. Katika maisha yangu niliapa nitakuja pambana na umasikini kwa namna yoyote ile mradi na mimi niwe mtu miongoni mwa watu.
Kwa majina naitwa Nelson ama wengi wamezoea kuniita bob nelly.mwaka 2013 nikiwa na miaka ishirini na nne nilitoroka nyumbani na kuja Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.