maisha

  1. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtindo wa maisha yako ndiyo afya yako

    MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi “Mitindo yetu ya maisha na mchango wake katika afya zetu” UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
  2. JamiiForums Tanzania Kuacha alama kwa mpenzi wako uliyemsaidia katika maisha ni muhimu

    Huwa na tatizo la kupenda na kutamani wanawake wazuri wazuri; nimejaribu kulikemea hili pepo, lakini haliondoki. Mwezi uliopita, nikiwa kwenye mishe mishe zangu, nikakutana na dada mmoja, ni mtu mzima, na kwa uzuri aliokuwa nao, ukanishawishi nipambane niweke kituo; tukasalimiana, nikawa...
  3. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushauri unavyofanya kazi na kubadili maisha ya mtu

    Ni nafasi nyingine tena kukutana katika jukwaa hili. Leo nataka tuzungumze kwa habari ya ushauri vile ambavyo unafanya kazi, na vile ambavyo unaweza kubadilisha maisha ya mtu yakawa mazuri au mabaya kulingana na vile utakavyotumika huu ushauri kwa aliyeupokea. Maisha ya mwanadamu anaeishi...
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha ni fursa

    Umewahi kusikia msemo wa kiswahili unaosema “Wema hauozi?”. Inawezekana umesikia lakini inakuwa vigumu kuamini na kubaki kujiulizau maswali mengi kwamba unawezaje wema kutokuoza?. Bila mifano halisi kama huu ambao leo tunakwenda kuutafakari,msemo huo wa wema hauozi inaweza kubaki kuwa nadharia...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu na maisha

    Ukweli halisi ni kwamba Kila mtu anaiona dunia kwa namna yake,kulingana na akili yake, ama katika kuwaza jinsi maisha yanafananaje kinamna ya yeye ! Nikiwa katika hali ya utulivu mwingi, ndani ya ulimwengu wangu wa kufikiri... Nilijikuta nikianza kutathmini kwa namna ambavyo binadam wote...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Gharama za Maisha: Wananchi Asilimia 68 "Hawana Furaha", Serikali yaonya

    Serikali imeonya kuwa takwimu zilizotolewa na TWAWEZA kuhusu utafiti wa hali ya uchumi wa taifa na tozo za miamala ya kielektroniki zinasalia kuwa zisizo rasmi. “Matokeo hayo ni yao (Twaweza) na tutayachunguza kabla hatujatoa msimamo rasmi wa serikali. Kwa jinsi matokeo yalivyo, siyo rasmi,”...
  8. JamiiForums Tanzania Maisha: Mambo 6 juu ya ukweli wa maisha yetu

    Namba 1. mtu pekee(rafiki) halisi ni mama yako mzazi tu Namba 2: fukara hana rafiki Namba 3: siku zote unaempenda zaidi ndie atakuja kukuumiza zaidi Namba 4: ukiwa na furaha utaburudika muziki Lakini ukiwa na huzuni utaelewa shahiri Namba 5: watu wanaheshimu pesa na sio binadam Namba 6...
  9. JamiiForums Tanzania Mawazo, Stori na historia ya maisha yangu

    Kwanza mimi huwa najiulizaga, hivi mawazo yanatoka wapi? Inakuaje unatokea kuwaza tu mfano unawaza ngoja niandike uzi. Japo sijapata jibu lakini naamini mawazo/thought are social influenced thing, mazingira yanayotuzunguuka ndo yana determine sana kile kinacho kua generated akilini, how are...
  10. JamiiForums Tanzania Maisha haya aisee, jana ilikuwa harusi leo imekuwa msiba

    Wakuu, hapa mtaani kwangu kuna ndugu yetu nyumbani kwake kulikuwa na harusi(mtoto wake alikuwa anaoa). Ndoa imefungwa vizuri kabisa, watu tumekula ubwabwa mpaka basi, na wanywaji wamekula bia mpaka basi. Cha kusikitisha leo asubuhi mzee wa watu kaenda Kibaoni kununua pumba za kuku wake...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  12. JamiiForums Tanzania Maisha hayafanani kamwe!

    MAISHA HAYAFANANI KAMWE! Anaandika, Robert Heriel Wakati watu wengi wanalazimisha maisha yao yafanane na watu fulani, dunia/nature inaharibu mipango yao na kuwatofautisha na wengine. Kadiri unavyotaka kufanana na mtu mwingine ndivyo unavyozidi kutofautiana naye. Kadiri unavyotaka...
  13. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Maandamano ya kupinga gharama za maisha yashika kasi

    Wafanyakazi nchini humo wameitisha maandamano nchi nzima kupinga kupanda kwa gharama za maisha na ukosefu wa ajira wakati ambao mfumuko wa bei ukifikia kiwango cha juu tangu mwaka 2009. Maelfu ya wafanyakazi waliingia mitaani katika majimbo yote tisa kudai ruzuku ya msingi ya mapato, kima cha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu yetu

    Kwakuwa nna uzoefu mzuri na wa mda mrefu sasa na bado naendelea kusoma nitoe mtazamo wangu. Mimi ni bint na nasoma kidato cha sita sasa katika elimu yangu nimesoma shule zote za serikali mpaka sasa nilipofikia. Kusoma kwangu kumekuwa na changamoto sana na baadhi niliziona tuu hazikunikuta...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Ni wakati wa taifa kuhakikisha ukuaji wa uchumi unaendana na hali halisi ya maisha ya watanzania

    Utangulizi Uchumi, kwa maana fupi ni msingi muhimu wa maendeleo ya taifa. Tanzania inakadiriwa kuwa uchumi wake kwa mwaka 2022 utaongezeka hadi kufikia asilimia 5.5 % kutoka 4.9% ya mwaka 2021, kulingana na makadirio kutoka benki kuu ya dunia. " worldbank.org" (Tovuti ya benki kuu ya dunia WB)...
  16. JamiiForums Tanzania Vikwazo vyafanya maisha ya Warusi kuzidi kuwa magumu

    Maisha ya raia wa Urusi yamezidi kuwa magumu kufuatia Taifa hilo kuingia vitani na jirani yake Ukrain. Hali hii imefanya mataifa mbalimbali kuiwekea vikwazo kadhaa ikiwemo baadi ya raia kuziwa kusafiri na hivyo kudumaza biashara na upatikanaji wa boidhaa. Yasemekana raia wamebaki kimya kwakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ligi ya Ukraine imerejeshwa. Ina maana maisha Ukraine sasa ni kama kawa?

    Ligi ya Ukraine imerudi rasmi leo kwa mara ya kwanza tangu Urusi ilipoivamia Ukraine mwezi Februari mwaka huu. Kutokana na sababu za kiusalama, mashabiki hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya kwanza iliyochezwa kati ya timu za Shakhtar na Metalist katika uwanja wa Kyiv Olympic. Hifadhi za dharura...
  18. JamiiForums Tanzania Kupanda kwa gharama za maisha kunachochea biashara ya ukahaba

    Kutokana na gharama za maisha kupanda ikiwemo ongezeko la tozo kunapelekea biashara ya ukahaba kushamiri. Zipo changamoto nyingi katika maisha zinazopelekea watu kujiuza kubwa zaidi zinatokana na ugumu wa maisha.
  19. JamiiForums Tanzania Maisha bwana!

    Dah! Kweli maisha ni safari hadi uje kufika,umekwepa mishale ya kutosha. Mimi binafsi nimeajiriwa na bosi wangu muhindi wa Bombay, nafanya kazi za kutumwa tumwa sokoni kama punda....mara kalete hichi mara kile hadi na watoto wadogo. Wananidharau sana mpaka muda mwingine nakaaga peke yangu nalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…