Japo mimi sio nwanasheria, ila najiuliza kama ni sahihi kwa mawakili wa serikali kupinga mashahidi wa Lissu kufika mahakamani kutoa ushahidi kwani alishawataja katika hatua za awali na mawakili wa Serikali hawakupinga.
Sasa swali: Kama hawakupinga mashahidi aliowataja Lissu katika mahakama ya...
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria:
Ibara ya...
Hamjambo!
Kwanza poleni kwa wote walioumizwa na taarifa ya Lisu kukutwa na kesi ya Kujibu.
Sasa isiishie kujifariji kwamba Mashahidi aliowaita Lisu hawawezi kufika mahakamani. Sitegemei Tundu Lisu awe aliwaita hao mashahidi kwa kudhani kwamba wanaweza kukaidi amri ya mahakama na kuivunjia...
Lissu kuwaita mashahidi mahakamani akiwemo Rais wa nchi imekaaje kisheria ?
Kuna kizuizi chochote cha Sheria kuzia rais aliye madarakani kuwa shahidi katika kesi iliyo mahakamani?
Shahidi anaweza kutuma mtu kumuwakilisha kwa niaba yake mahakamani?
Nabii Tito tangu akamatwe siku ya Jumamosi hadi leo hajafikishwa kwenye mahakama yoyote.
Tunaomba Polisi wamwachie mara moja au wampandishe mahakamani.
Wakili Peter Madeleka amesema kesi inayomkabili ya tuhuma za kudharau amri ya Mahakama Kuu ni suala ambalo wananchi wanapaswa kulifuatilia kwa karibu, akitaka kubainika iwapo kwa mujibu wa sheria, tuhuma za aina hiyo zinapaswa kuchunguzwa na polisi.
Amesema endapo kesi hiyo itafikishwa...
Wanasheria na Mawakili Wasomi
Mtusaidie sisi mbumbumbu wa Sheria.
1.Mtu Akihitajika mahakamani kutoa ushahidi je, analazimika kwenda?
Na akigoma kwenda kuna kosa.?
Au akitoa sababu labda ni mgonjwa au sababu nyingine yoyote, kesi itasimama kumsubiri au itaendelea?
2. Na je huyo mtu akiwa ni...
Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali.
Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
Ofisi ya Upelelezi wa Rwanda (RIB) imewakamata Prof. Emile Bienvenu, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Chakula na Dawa nchini Rwanda (Rwanda FDA), pamoja na watu wengine 17 katika uchunguzi unaohusu uzalishaji na usambazaji wa vileo vinavyodaiwa kutokidhi viwango.
Kati ya watu 18 waliokamatwa, 10...
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Leo Agosti 13, 2026
Jana tuliishia part 236 so leo tunaendelea na -;
Part 237
Hatimaye, mida hii ya saa. 11:07 Asubuhi, Mahakama inaanza.
Wanaingia Mawakili wa Serikali,
Anaingia Mhe. Lissu na kundi la askari magereza, leo akiwa na vibe la kutosha kama kawaida...
Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania.
Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
KIAMBU: Daktari wa upasuaji katika Hospitali ya Level 5 Kiambu, Dr. Dennis Masoba Nyambane, 36, amezuiliwa kwa siku saba baada ya kufikishwa mahakamani Agosti 10, 2026, akihusishwa na kifo cha mke wake mwenye umri wa miaka 30, Mary Mwende Mutie.
Kwa mujibu wa taarifa zilizowasilishwa kuhusu...
Picha: Huyu ndiye Amini Said Mahamba halisi ambaye ni marehemu. Alikuwa Askari Polisi ktk cheo cha SACP.
=================
Ikumbukwe kwamba kumekuwa na minong’ono mingi kuhusu shahidi huyu (askari Polisi Amini Mahamba) kuhusu identity yake halisi ambaye ndiye mpelelezi Mkuu wa kesi hii...
Wakili Peter Madeleka ametoa wito wa kufutwa kwa kesi za ugaidi zinazoendelea katika mahakama mbalimbali nchini, akieleza kuwa hazina msingi wa kisheria iwapo hakuna vitendo halisi vya ugaidi vilivyotendeka
Akihojiwa katika mahojiano maalum na Mwananchi Digital mnamo Agosti 8, 2026, Wakili...
Watuhumiwa watatu wanaohusishwa na mauaji ya mwanasaikolojia wa kliniki Dkt Victoria Nthunya Mutiso wanatarajiwa kufikishwa mahakamani leo, Jumatatu, Agosti 10, 2026.
Watatu hao ni afisa wa polisi, dereva wa bodaboda na mtu anayedaiwa kuwa kiungo muhimu katika njama hiyo. Wachunguzi wanataka...
Ndoto ya watoto wa Uasin Gishu kusoma Finland na Canada imegeuka kuwa kilio kwa wazazi waliolipa mamilioni ya fedha kupitia mpango wa masomo wa kaunti.
Baadhi ya wanafunzi walifika Finland lakini wakakumbwa na matatizo ya ada, huku wengine wakibaki Kenya licha ya wazazi kulipa fedha.
Sakata...
Baba yetu alikuwa mfanyabiashara hapa Dodoma mjini. Mwaka 2015, mauti yalimfika na kutuacha tukiwa na huzuni kubwa. Kama ilivyo kwa familia nyingi za Kiafrika, baada ya msiba kupita, kulikuwa na mivutano na mirorongo mingi ya kifamilia kuhusu usimamizi wa mali zake.
Hata hivyo, kuna kitu kimoja...
Tumekubaliana mawakili wa Chadema sasa tutakuwa tunawapeleka mahakamani watakaokuwa wanakichafua chama kwa manufaa yao.
Kwa yeyote mwenye nia ya kukichafua chama kwa manufaa yake yoyote, aache mara moja maana hatutaruhusu tena kuendelea kwa hali hii. - Mhe. Dickson Matata.
John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao.
"Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi akitoa ufafanuzi Julai 29, 2026 Visiwani Zanzibar baada ya kuwepo kwa malalamiko ya kukamatwa kwa watuhumiwa 130 wa makosa mbalimbali nchini.
“Hakuna mtu ambaye anaweza kulengwa wala hakuna kusudio lolote linalokusudia kumlenga mtu au taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.