mahakamani

  1. Fbn

    Hivi ni mali ya serikali na kisheria kuanzia kikatiba,polisi mpaka mahakamani.

    1.Uhai. 2.Kinyeo. 3.Sehemu za jinsia KE au Me. 4.Viungo vya pilau vya mwanadamu. 5 .Haki 6. Basic needs 7.Rasilimali za nchi na mali.
  2. The Burning Spear

    Kwa hili la DCwa kisarawe anatuamisha kwamba serikali haiwezi kushitakiwa mahakamani

    Msikilize hawa ndo wanaokwamisha Katiba mpya
  3. Q

    Polisi, huwezi kumshitaki mtu mahakamani kwa hisia, 'alitaka kuandamana', 'alipanga kuchoma transformer', halafu ukashinda

    Msemaji wa Jeshi la Polisi amesema jeshi hilo limekamata magaidi 130 na tayari 36 wameshafikishwa mahakamani. Msiishie kusema tu walipanga kuchoma transformer nchi iwe gizani, tuambieni nchi nzima ina transformer ngapi na ngapi zimechomwa. Mnasema walipanga kuua viongozi wa serikali akina nani...
  4. E

    Polisi Tanzania: Watuhumiwa 36 kati ya 130 Wafikishwa Mahakamani kwa Makosa ya Jinai

    Jeshi la Polisi Tanzania limetangaza kuwa watuhumiwa 36 kati ya 130 waliokamatwa kwa tuhuma mbalimbali za uhalifu wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashitaka. Katika taarifa iliyotolewa Julai 26, 2026, Jeshi la Polisi limesema watuhumiwa hao walikamatwa kwa tuhuma za kupanga na kuhamasisha...
  5. Mohamed Said

    Simulizi ya Hamisi Delgado: Anavyomkumbuka Joseph Kasella Bantu Mahakamani Tabora na Uhamishoni Ujerumani

    https://youtu.be/08lfmnl-ahQ
  6. O

    Watu 45 Wafikishwa Mahakamani kwa Kuzuia Trafiki Karibu na Daraja la Nyayo Stadium

    Watu 45 wamefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa kwa madai ya kuzuia mtiririko wa magari katika eneo la daraja la waenda kwa miguu la Nyayo Stadium, kando ya Barabara ya Mombasa, Nairobi. Mamlaka ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri na Barabara (NTSA) imesema hatua hiyo ni sehemu ya operesheni ya...
  7. K

    KWELI Je ni kweli wenza hawa kesi yao ya talaka imeghairishwa kwa sababu ya kuvaa sare mahakamani?

    kuna picha inayosambaa mtandaoni ikionyesha wanandoa walio vaa nguo sare wakiwa mahakamani kwaajil ya talaka lakin kesi hiyo imeghairishwa mpaka watakapo kuwa na uhakika
  8. Sifi Leo

    Sasa huyu mkuu wa gereza si atajamba mahakamani? Kwa Nini serikali mnaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI?

    Leo ni zamu ya mkuu wa gereza kufanyiwa dodoso, na Mh Tundu Lissu Sasa huyu si atajajijambia jmn? Kwa Nini serikali inaruhusu uzalilishwaji wa WATUMISHI WA UMMA?
  9. T

    Nilipomuona Tundu Lissu akiwa mahakamani akiongea na watanzania kuhamasisha ukombozi, kwa kweli nimemuona raisi wangu wa kweli ajaye

    Mheshimiwa Tundu Lissu ameongea na waTanzania akiwa mahakamani, kwa kweli nimefurahi sana na nimekuwa na strong feeling kuwa huyo ndiye Raisi wangu mpendwa ajaye atakayetutawala na kutupa uhuru wetu wa kweli, kurudisha haki na utu wetu. Huyo ndio Raisi wangu ajaye atakaye tufundisha uzalendo...
  10. The Palm Beach

    Ni ajabu!..Tundu Lissu apata nafasi adhimu ya uhuru wa kuzungumza na mawakili bila kuzungukwa na Mapolisi wa kininja mahakamani leo

    https://youtube.com/shorts/JwMVAUPBoPE?si=bofgw1NFolHE6WUi "....Waambieni wanachama wasikate tamaa, wasimame imara kukipambania chama. Waambieni wachangie chama, songeni mbele msinisubiri mimi. Nitatoka na nitawakuta huko mtakakokuwa. Nisiwakute nilipowaacha. Nikiwakuta palepale nilipowaacha...
  11. Q

    Katambi alisema wakutane mahakamani, wameenda, leo anasema ni wapinga maendeleo

    Akiwa Shinyanga juzi Katambi alisikika akisema, wanaotishia kumpeleka Mahakamani ni wapinga maendeleo watashughulikiwa. Awali alisema hatishiki na watu wanaopanga kumpeleka mahakamani kwa vile anatekeleza sheria za nchi, akasema "Tukutane Mahakamani". Asitumie mikutano ya kisiasa kuwatisha...
  12. N

    LHRC, TLS, Dk. Slaa wamfungulia Kesi ya Kikatiba Waziri Katambi kupinga amri ya kuzuia Mikutano ya Hadhara ya Kisiasa

    Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na mwanasiasa maarufu, Dk Willbroad Slaa, wamefungua kesi ya kikatiba dhidi ya Waziri wa Mambo ya Naani ya Nchi, Patrobas Katambi na wenzake sita. TLS na wenzake wamefungua kesi hiyo Mahakama...
  13. Huihui2

    Jamii ya marasta wa Kenya waenda Mahakamani kudai bangi ihalalishwe

    Link hii hapa ifuatie mwenyewe:- https://www.instagram.com/reel/Da0i0W-oQ2V/?igsh=Z25sMmNyNnY5cDFo
  14. Fbn

    Hii tabia ya kukamata mtu na kumpeleka mahakamani alafu unasema upelelezi ujakamilika tatizo ni nini

    Hapa Tanzania naona kila idara zimeoza na zinajiendesha kwa uwezo wa CCM wanavyotaka. Mtu unakamatwa na hapo polisi hawana upelelezi walio nao,ukipelekwa mahakamani na bado upelelezi ujakamilika.
  15. M

    CHADEMA: Julai 6 2026 Wananchi mjitokeze kwa wingi kwenye shauri la mgawanyo wa mali mahakama Kuu

  16. M

    Tunahoji: Yule ‘Mwanajeshi wa Marekani aliyekamatwa na mabomu’ alifikishwa mahakamani?

    Wakuu, Nani mwenye update ya hili igizo? Kesi ya yule mwanajeshi wa Marekani mwenye asili ya Kenya aliyekamatwa na mabomu 4 ilifika mahakamani? Mtuhumuwa aliachiwa au bado yuko ndani? Kama walivyotoa taarifa za kukamatwa kwake, ndivyo wanatakiwa kutuarifu juu ya mwenendo wa kesi hii ya mtu...
  17. Kijukuu cha Tanzania

    Mbunge Eric Shigongo Asema Atayafikisha Mahakamani Malalamiko ya Watumiaji Kuhusu Bando za Intaneti

    Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, ametangaza dhamira ya kulifikisha mahakamani suala la malalamiko yanayoendelea kutolewa na watumiaji wa huduma za intaneti kuhusu bando kuisha au kukatwa kabla ya muda wanaotarajia. Hatua hiyo imekuja baada ya kusambaa kwa video ya Niffer akielezea changamoto...
  18. figganigga

    CHADEMA Mkienda mahakamani, hukumu itatoka mwaka 2030.Tutumie mabavu kufanya Siasa

    CCM wakiangalia mbele ni giza sababu haakuna walichofanya. Hivyo wanahofu ya kuondolewa madarakani. Mikutano ya CHADEMA inawatisha kwani walitegemea CHADEMA imekufa. Hata 29.10.2025 walipiga risasi wananchi sababu walihisi waliokuwa wanaandamana ni CHADEMA. Nashauri CHADEMA tutumie mabavu...
  19. S

    Ushauri kwa TLS na vyama vya siasa na hata CCM wenyewe, ni kwenda mahakamani kupinga katazo la waziri la mikutano ya hadhara, jambo la kikatiba

    Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
Back
Top Bottom