mahakamani

  1. figganigga

    Kinondoni: Laurent Kweka anayetuhumiwa kumuua Mkewe Jenipher kwa risasi huko Bunju A, Kufikishwa Mahakamani leo

    Laurent Kweka anaye tuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Mkoani Dar es salaam, Kufikishwa Mahakama ya Kinondoni leo. Tukio hijo la mauaji lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026 ambapo Kweka alimuua...
  2. Sifi Leo

    Dawasco kibamba kwa ili hamtonielewa, ila mahakamani nitawasilisha nyinyi na fundi wenu kushoka,mnampaje vifaa vyangu akauze dukani kwake?(Majuzi haya

    Ninatambua watumishi wa umma mlio wengi mbaishi kwa wizi wizi usio na tija Sasa huu mwingine ni wizi wa kipumbavu na ujinga mchana kweupe. Niliona kuunganishiwa maji, saveyor wenu akaja akachora michoro yenu, na akachukua fomu ile na kuiwasilisha ofisini kwenu kibamba na nauli nilimpa. Baada...
  3. M

    TMA isipopelekwa mahakamani, haitajifunza, inatia hasara wakulima

    Asilimia kubwa ya wakulima ambao wapo mabondeni, walighairi kupanda tangu mwezi wa saba kwa hofu ya utabiri wa TMA kuwa kutakuwa na Mvua za Elinino na ambazo hazijawahi kutokea, na mapema mwa mwezi October mwaka huu zitaanza Leo ni tarehe 13 Oct na hakuna dalili, TMA isipopelekwa mahakamani...
  4. K

    Wananchi Wilayani Serengeti (Mara) wapinga makazi yao kubomolewa wakati shauri lipo Mahakamani

    Licha ya kufunguliwa Kesi Mahakama Kuu Kanda ya Musoma Kesi ya Ardhi Namba 00000897 ya Mwaka 2026, Wananchi, dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali pamoja na Katibu Mkuu Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, lakini oparesheni iliyofanywa katika Kata ya Kisaka vijiji vya Bolenga Wilayani...
  5. Tlaatlaah

    Mahakamani huru ya Tanzania isione huruma, aibu wala haya katika kuwahukumu wakiuka sheria na wasio itii katiba ya nchi.

    In fact, kwa kufanya hivyo uhuru, hadhi na heshima ya mahakama ya Tanzania dhidi ya wakiuka sheria na katiba ya nchi itakua juu, si tu ya wananchi, bali pia hata juu ya vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, ambao wao kwa makusudi wamekosa adabu na utii kwa mamlaka na katiba ya nchi. Sheria na...
  6. The Burning Spear

    Suala la Machinga kuondolewa kariakoo kuna haja serikali ipelekwa mahakamani.

    Taasisi za haki za binadamu wasilikalie kimya hili jambo maana ni ukatili na uonevu mkubwa. Hatuwezi kutesa maelefu ya vijana kisa watendaji kadhaa wasiozidi 10 wa jiji wanahofia nafasi zao. kwani walikuwa wapi miaka yote hiyo. Hao wafanya biashara wapo kariakoo kwa zaidi ya miaka 30 huwezi...
  7. I

    "WANAOTAKA KUTULETEA SHIDA, TUKO TAYARI" - Dangote Atoa Ujumbe Kwa Waliokwenda Mahakamani Kupinga Refinery ya Lamu

    Billionaire Aliko Dangote ameonyesha kuwa kesi ya ardhi inayohusisha eneo linalopangwa kujengwa Dangote East Africa Refinery huko Lamu haitoshi kumfanya abadili msimamo kuhusu mradi huo. Akizungumza na wawekezaji Jijini Nairobi leo, Dangote alitaja changamoto za kisheria nchini Kenya kama jambo...
  8. Huihui2

    Wakenya waenda mahakamani kuzuia mradi wa kusafisha mafuta wa Dangote

    Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefungua kesi mahakamani wakitaka kusimamishwa mradi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Aliko Dangote, kwa kile wanachoeleza kuwa ni kuharibiwa kwa ardhi ambayo familia zao zimeishi kwa vizazi kadhaa. Wakazi hao wanadai kuwa...
  9. O

    Wakazi 133 wa Lamu waipeleka Serikali Mahakamani kupinga ujenzi wa kiwanda cha Dangote hadi pale watakapolipwa fidia

    Wakazi 133 kutoka Chandavai, Lamu, wamewasilisha kesi katika Mahakama Kuu ya Malindi wakipinga shughuli zinazoendelea kwenye ardhi inayohusishwa na ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha Dangote. Wakazi hao wanataka mahakama isimamishe shughuli zaidi kwenye eneo hilo hadi madai yao kuhusu...
  10. Manyanza

    Mahakamani 28 Septemba: Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

    Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea. Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili mahakamani Kaa tayari kwa updates ===== Leo September 28, 2026 Last time tuliishia 467 Sehemu ya...
  11. kavulata

    Ukitaka kulifahamu lililokuwa baraza la mawaziri la mapinduzi hudhuria kesi mahakamani

    Kama mabadiliko yangetokea Oct29 unaowaona kila siku never miss mahakamani kesi ya Lissu miongoni mwao ndio lingetoka baraza la mawaziri la serikali ya mapinduzi. Watizame vizuri usoni!! Ova
  12. Manyanza

    Mahakamani leo uligeuka uwanja wa huzuni na machozi

    Mahakamani ulikuwa uwanja wa hudhuni sana watu wamelia kwa uchungu sana hata Katibu mkuu John Mnyika ametokwa na machozi hasa pale Tundu Lissu aliposema kama mnanifanyia hivi Mimi mjuzi wa Sheria mmeniweka Gerezani Mwaka mzima kwa makosa ya uongo. Vipi kuhusu watanzania wasiojua Sheria 😭 Vipi...
  13. Manyanza

    Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Iwapendeze ndugu Wana jukwaa la JamiiForums naitwa Manyanza, nipo tayari kuwaletea update za mahakamani. Kaa tayari kwa Updates ------------- MAHAKAMA IMEANZA TUNDU LISSU ANAFANYAMAJUMUISHO YA MWISHO. SEHEMU YA 1, TAREHE 25.9.2026. Lissu ameshaingia Mahakamani, na Majaji nao wameingia...
  14. funaku

    Majadiliano kati ya Lissu na shahidi wake hayawezi kuwa sehemu ya ushahidi mahakamani

    Kuna baadhi yetu humu tunahangaika kupotosha umma eti majadiliano kati ya lissu na shahidi aliyemtaka amtetee ....DCI Kingai yana impact yoyote kwenye kesi. Ninavyofahamu mashauriano kati ya mshtakiwa na shahidi wake au mawakili wake sio "session ya kesi au mahakama" Koti ilivyoitwa ilitaka...
  15. Keynez

    Je, leo wahudhuriaji mahakamani walishuhudia Tundu Lissu akimuandaa shahidi wake DCI Ramadhan Kingai?

    Nina maswali kadhaa ambayo kutokana na umuhimu na uzito wake nimelazimika kuyauliza katika uzi mpya badala ya kutumia nyuzi za kesi hiyo zilizopo sasa. Siku ya leo wakati Ramadhan Kingai alipoenda mahakamani, alizungumza na kujadiliana na Tundu Lissu na kumwambia maneno ambayo Lissu alikuja...
  16. S

    Wanasheria, tunaomba ufafanuzi wa kilichotokea mahakamani kuhusu kesi ya uhaini inayomkabili Lissu

    Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
  17. S

    Mtazamo: Kwa kilichotokea mahakamani leo, Lissu hatokutwa na hatia huku akiwa amelinda heshima yake. Kuwaita CDF, IGP na DCI, alicheza kama pele

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Lissu angekubali kirahisi hao mashahidii kutohijiwa kwa cross examination iwapo wangekataa kuwa upande wake.. Kingine kilichonishangaza, ni DCI Kingai kuwasemea mashahidi wenzake na Lissu kukubali kirahisi tu kwani ni hatari kwake iwapo cross examination ya hao...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  19. U

    Ila Mahakamani😃😃😃😃

    Rasmi Mahakamani ndiyo sehemu inayotishia zaidi hapa Tanzania😂😂😂
  20. G

    Wakuu wa majeshi wamezoea kutoa amri wanapoitwa kuulizwa maswali na raia wanaweza kuona wanadhalilishwa na likutokea lolote nchini maridhiano ni Bora

    Bado naamini chini ya utawala huu wa raia wanasiasa wanaweza kumaliza mambo Yao TU Kwa busara na maridhiano ya kweli. Simaanishi wako juu ya Sheria ila nimefuatilia mataifa makubwa ya kidemokrasia sijaona mfano wa Wakuu Hawa kuitwa Moja kwa Moja mahakamani. Wanasiasa wanamalizana wenyewe Kwa...
Back
Top Bottom