mahakamani

  1. Kesi ya Uhaini: Leo Mahakamani 03 September, Shahidi wa tatu Aman Sam Golugwa anaendelea kutoa ushahidi wake

    Tayari Mshtakiwa wa kesi ya Uhaini Mh Tundu Lissu amefikishwa mahakamani. Kaa tayari kufuatilia kile kinachoendelea mahakama kuu ya Tanzania, Mahakama ndogo jijini Dar es Salaam ======= Soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka...
  2. Q

    Lissu: Msije gerezani usiku kunitembelea njooni mahakamani

    Akiwa mahakamani jana Lissu amesema kuna watu walienda kumtembelea usiku, hakuwataja wala hakusema walikuwa na nia gani, lakini kawashauri kama wanampenda wawe wanafika mahakamani kumsalimia.
  3. H

    Haya ndio Maswali Muhimu ya Lissu kwa Mashaidi kuhusu kauli za Raisi Zitakazomlazimisha Samia aitwe mahakamani

    Lisu kwa Golugwa. ' 1. Je baada ya maoni ya Jumuia za kimataifa juu za ubovu wa uchaguzi serikali ilifanyeje Golugwa: Mama alihutubia akasema wasitupangie. Tundu lisu; Je hizo lipoti zilimaanisha nini? Golugwa ; mifumo yetu ya uchaguzi lazima ibadilike ili itende haki labla ha chaguzi nyingine...
  4. Video: Mwanaharakati Mange Kimambi aiburuza mahakamani kampuni ya META

    Pia Soma: Kesi ya Mange vs Meta: Kimataifa zaidi
  5. Mahakamani leo 2 September, Shahidi wa pili upande wa utetezi JJ Mnyika atamalizia kutoa ushahidi wake.

    Shahidi wa pili wa upande wa utetezi, Mhe. John Mnyika, leo atamalizia kutoa ushahidi wake kwa kujibu maswali ya dodoso kutoka upande wa Jamhuri
  6. Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri - 2, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026 Leo September...
  7. Kuna mtu nilimtukana matusi ya nguoni tukiwa bar na nikiwa nimelewa, kanishtaki. Je, nina kesi ya kujibu?

    Mambo zenu wakuu Juzi jumapili nilikua bar flani mitaa ya tabata,sasa kuna mzee mmoja wa jumuia akaniletea pigo flani za kijinga na nilikua maji sio poa, nikamvaa na matusi ya nguoni Sasa jana kaenda kunishtaki police na mpelelezi wa kesi anafosi hiyo kesi iende mahakamani, wamenipa kesi ya...
  8. M

    Kesi ya Uhaini: John Mnyika Kuendelea kumtetea Tundu Lissu Mahakamani. Maswali ya Dodoso kutoka Jamhuri kuendelea leo 1, Septemba 2026

    Mahakamani leo tena kesi inaendelea kwa Upande wa Mawakili wa Serikali kumuuliza Mswali ya Dodoso Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Pia soma: Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho Leo September...
  9. M

    Kesi ya Uhaini: John Mnyika aendelea kutoa Ushahidi kumtetea Tundu Lissu Mahakamani leo Agosti 31, 2026. Kesi imeahirishwa hadi Kesho

    KESI ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu inaendelea tena leo, Jumatatu Agosti 31.2026, kama ilivyo kawaida mbele ya jopo la Majaji watatu (3) wakiongozwa na Jaji Dastan Ndunguru KESI hiyo inayosikilizwa mfululizo kwenye Mahakama Kuu ya...
  10. Kwa hiki kinachoendelea mahakamani kwenye kesi ya Tundu Lisu, sasa naelewa kwa nini watu hawapendi kupanda kizimbani

    Hamjambo wote! Nilikuwa najiulizaga kwa nini watu wengi hawapendi kufikishana mahakamani. Iwe kama shahidi, mshtaki au mshtakiwa. Kushtakiwa niliwaona wanaona hoja. Lakini mashahidi na wenye mashtaka sikuona haja ya wao kuogopa kwenda Mahakamani Lakini kesi ya Lisu imenifumbua macho. Huko...
  11. Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

    Lissu akigawa chanjo ya pepopunda huko Mahakamani leo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
  12. M

    Dunia inavyoenda, usije shangaa siku moja Katuga akatetewa na LISSU Mahakamani

    Dunia ina vitu vingi sana vya ajabu na kuvutia. Usije ukashangaa siku 1 Katuga akatetewa mahakamani na Lissu kama wakili wake. Hakuna anaejua kesho yake, kuna mtu aliamini Othman Masoud atakuwa makamo wa Rais? . Kuna siku mtu angaliamini Pole pole na Nchimbi watakuwa hivi? Hii ndio Dunia...
  13. Je,ni lipi lengo la kufanyika Cross examination Kwenye Kesi Mahakamani

    Habari ya mjini sasa hivi ni kesi ya Mheshimiwa Lissu huko kwq pilato Wengi tunafuatilia hii kesi,na tunaona minyukano ya maswali,wakati mwingine unaweza hata kujiuliza hivi haya maswali yana maana gani au umuhimu wake ni upi Ebu tujielimishe sote kwa pamoja Cross-examination (mahojiano ya...
  14. Lipo MUHIMU? Lissu anyongwe au Samia afike mahakamani kumtetea?

    Rais ni amiri jeshi mkuu anae WAJIBIKA raia wake wanaidhi vyema na hawafai kijinga jinga. Leo hii Lissu anakesi ya kujibu, Rais wake anatakiwa aje adhibitidhe km ni kweli au la, mawakili wa UMMA mnaweka vikwazo Je LIPI MUHIMU? Lissu kunyongwa au Samia kuja mahamakani?
  15. Msidanganywe na misimamo inayochezwa mahakamani na jopo la majaji chini ya Ndunguru. Lissu yupo hatarini kuliko mnavyodhani

    Mmeona namna majaji wanaosikiliza kesi ya kubambikia ya Uhaini dhidi ya Tundu Lisu? Wanaendana na script ya profesaional stunt waonekane wanasimamia HAKI. Mara kadhaa wanaonekana wakikaripia upande wa mashtaka hata mashahidi wao. Lakini hakuna la maana wanalofanya. Amri zote walizotoa hakuna...
  16. S

    Kama Tume ya yule Jaji kuhusu yale mauaji ya mwaka jana ilikuja na yale matokeo, mnashangaa nini yanaendelea mahakamani?

    Haya ndio matokeo na huu ni muendelezo tu wa kikundi fulani cha watu kupanga na kuamua kila kitu. Hata hivyo, mjue tu hawa watu hawana amani ya moyo japo wanapata kila wanachokitaka. Msifikiri hata Yuda alijinyonga kwa bahati mbaya, bali yalkuwa niatokeo ya nafsi yake kumsuta.
  17. H

    Bora LISSU anyongwe kuliko samia Kuitwa Mahakamani

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  18. H

    Bora Lissu kunyongwa kuliko Samia kukanyaga Mahakamani.

    Hilo ndio tafsiri ya Mawakili wa serikali. Na kwasababu pia ni serikali ndio imeajili Majaji na kuwalipa mshahara hawataweza kumwita. Tunajiuliza mkapa alipanda Mahakamani kutoa ushaidi wake waziwazi kwenye kesi ya balozi wake. Ata hakusita. Unajua kwanini? Raisi anasubiri hukumu atie saini...
  19. Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  20. Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu

    Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa. Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi. Rais Mstaafu Tanzania Benjamin William Mkapa alifika mbele ya mahakama akiwa ni shahidi wa kwanza upande wa utetezi katika mashataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…