mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. Allen Kilewella

    Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

    Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi 👇 Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
  2. T

    Mwashambwa na Tlaatlaah wanachuki na Lissu wanatamani afungwe hata kama mahakama haitampata na hatia yoyote. Hii ni hatari sana!

    Ndugu wanabodi hao jamaa niliowataja hapo juu wana akili za kushangaza sana, mwanzo walikuwa wakiambiwa lisu yuko pale kwa kuonewa tu walikuwa wakali na kusema iache mahakama ifanye kazi yake. Waliposima upepo na kuona ni kama kweli jamaa hana kesi ya kujibu wamebadilika wanafura kweli...
  3. O

    Mahakama yaamuru UoN kumlipa Mhitimu Shilingi milioni 3 baada ya kuondoa jina lake siku ya Mahafali

    Mahakama Kuu imeiamuru Chuo Kikuu cha Nairobi (UoN) kumlipa Marceline Murono fidia ya shilingi milioni 3 baada ya kubaini kuwa chuo hicho kilikiuka haki zake za kikatiba kwa kuondoa jina lake kwenye orodha ya wahitimu siku ya mahafali mwaka 2023. Katika uamuzi wake, Jaji Lawrence Mugambi...
  4. Parabolic

    Madeleka apandishwa kizimbani, akabiliwa na mashtaka matano ya kudharau Mahakama

    Mwanasheria Peter Michael Madeleka amefunguliwa kesi ya jinai yenye jumla ya mashtaka matano ya kudharau Mahakama, yakihusishwa na kauli na hotuba alizodaiwa kuzitoa na kuzisambaza kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mwenendo wa kesi ya uhujumu uchumi inayosikilizwa katika Mahakama Kuu ya...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hawa ndio mashahidi wa Lissu, iwapo mahakama itaamua kwamba ana kesi ya kujibu

    JE WAJUA? KAMA KESHO MAHAKAMA ITASEMA MHE TUNDU LISSU ANAKESI YA KUJIBU, RAISI ATAPASWA KUFIKA MAHAKAMANI KAMA SHAHIDI WA LISSU? Kama mahakama itaona kesi iendelee basi Tundu Lissu anaweza kuistajabisha Dunia kwenye uwanja wa mahakama akiwapitisha Vigogo kwenye flampeni ya Mafuta ya Sheria...
  6. L

    Marekani Yakunjua Makucha Yake.Yawawekea Vikwazo Vikali Maafisa Mbalimbali Wa ICC . Yaapa Kupambana Na Mahakama Hiyo Hadi Kieleweke.

    Ndugu zangu Watanzania, Nilishasema kuwa Kama Nchi na kama Taifa tunapaswa kujitoa kwenye Mahakama hiyo ambayo kwa sasa imepoteza mwelekeo,kukumbwa na kashifa mbalimbali ambazo zinaondoa sifa kwa Maafisa wake wa kuendelea kuaminika mbele ya Macho na jicho la kisheria katika kutoa Haki. Ni...
  7. The Palm Beach

    Kutoka High Court - DSM: Submission ya "No Case to Answer" ya Tundu Lissu (full text) baada ya Jamhuri kufunga ushahidi wao leo 17/8/2026

    Baada ya upande wa Jamhuri kuishia njiani kwa kuleta mashahidi 17 tu kati ya 30 waliopaswa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi iliyopewa Jina la "kesi ya uhaini" dhidi Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mh Tundu Lissu, hatimaye leo Tundu Lissu ameanza kujitetea. Kwa kifupi sana, utetezi wako umejikita...
  8. A

    Kesi za Mchango unaliweka wapi Jeshi la Polisi, Offisi ya Mwendesha Mashtaka na Mahakama zetu.

    Hivi karibuni kumekuwepo na kesi ambazo tunaweza, kusema ni za mchongo, Kwani Hazina uhalisia na tuhuma zinazo chagizwa dhidi ya watuhumiwa iwe ni ugaidi au uhaini . Sasa
  9. M

    Kudharau amri ya mahakama ni kosa dogo ambalo mtuhumiwa hapaswi kuhojiwa polisi. Kosa likifanyaki hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kuadhibiwa

    Utamhoji vipi mtu polisi kwa kosa kama hili ambalo kiuhalisia hufanyika kwenye viunga vya mahakama mbele ya jaji au hakimu. Hata kama ni nje ya mahakama Jaji au hakimu hutoa amri ya mkosaji kukamatwa na kisha kuhukumiwa.
  10. Carlos The Jackal

    MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  11. figganigga

    Polisi: Madeleka tunamshikilia kwa kudharau amri ya mahakama Kuu

    Madeleka ana bahati sana hajapotezwa. Baada ya Presha ya Mitandaoni Polisi wakiri kumshikilia. ==== TAARIFA KWA UMMA POLISI DAR ES SALAAM INAMSHIKILIA WAKILI PETER MADELEKA KWA TUHUMA ZA KUDHARAU AMRI YA MAHAKAMA KUU Mnamo tarehe 14 Agosti, 2026 saa 09.30 alasiri eneo la Mikocheni B...
  12. O

    Senate yakata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama kuu kuhusu Gachagua

    Seneti ya Kenya pamoja na Spika wa Seneti wamekata rufaa dhidi ya uamuzi wa Mahakama Kuu uliobaini kuwa haki ya aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua ya kusikilizwa kwa haki ilikiukwa wakati wa mchakato wa kumng’atua mamlakani. Uamuzi huo ulitolewa Juni 8, 2026, na majaji E.O. Ogola, Dkt. F...
  13. Allen Kilewella

    Lissu ana hoja: DPP haheshimu amri za mahakama

    Mshtakiwa kwenye kesi ya Uhaini Tundu Lissu amelalamikia tabia ya Ofisi ya mwendesha mashitaka wa Serikali (DPP) kutoheshimu amri za mahakama. Lissu amesema mahakama mara kadhaa imewaagiza upande wa mashitaka kuleta mashahidi wa kutosha kwenye kesi hiyo, lakini upande wa mashitaka hautekelezi...
  14. mrxtz2026

    Barua ya Mahakama Kuu Yazua Mjadala: Je, Katazo kwa Mawakili Linakiuka Uhuru wa Kujieleza Chini ya Ibara ya 18 na Kuvunja Ibara nyinginezo za Katiba?

    Mahakama Kuu ya Tanzania, kupitia barua iliyotolewa na Msajili wake C.M. Tengwa tarehe 12 Agosti 2026, imewaelekeza mawakili nchini kuepuka kuzungumza na vyombo vya habari katika maeneo ya mahakama mara baada ya mashauri kuahirishwa. Maelekezo hayo, yanayotegemea Kanuni ya 137 ya Kanuni za...
  15. Jaji Mfawidhi

    Mahakama zetu ni huru 100% Mawakili Wapigwa Stop Kuongea Kesi za Mahakamani!

    Katika hali ya kufurahisha, mawakili wamefurahia sana kwa kitendo cha Mahakama zilizokosa weledi hupenda kufurahisha anayewateua majaji na si kufurahisha sheria. Kanuni hiyo inakiuka ibara ya 18 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano Watanzania. Hivyo kanuni hiyo haina uhalali wowote wakuendelea...
  16. M

    Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  17. U

    Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  18. R

    Tuleteeni yanayojili mahakama kuu - Kesi ya TAL

    Wana JF naomba aliye na updates za kesi hii atuwekee hapa maana wengine huko Dar ni mbali sana kutoka hapa tulipo
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  20. O

    Mahakama yaamua Uchaguzi Mkuu Kenya unapaswa kufanyika Agosti 11, 2026, hata hivyo utekelezaji wake wasitishwa

    Mahakama ya Malindi imeamua kuwa Uchaguzi Mkuu ujao wa Kenya unapaswa kufanyika Jumanne, Agosti 11, 2026, na si mwaka 2027. Katika hukumu iliyotolewa Malindi, Jaji Mugure Thande hata hivyo alisitisha utekelezaji wa uamuzi huo hadi baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Jaji alisema kufanya uchaguzi...
Back
Top Bottom