mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. C

    Msumbiji: Kesi ya uchochezi dhidi ya Venancio Mondalane kuanza kusikilizwa mahakamani

    Mahakama ya Juu Msumbiji imethibitisha kuwa kesi inayomkabili aliyekuwa mgombea urais, Venâncio Mondlane, itaanza kusikilizwa Jumanne, Novemba 17, saa 4:00 asubuhi, katika Kitengo cha Makosa ya Jinai cha mahakama hiyo jijini Maputo. Kesi hiyo inahusiana na maandamano yaliyotokea nchini humo...
  2. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  3. mirindimo

    Watanzania kwa nini tusianzishe kampeni ya kuikataa mahakama na watumishi wake ?

    Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
  4. C

    Wakili Maduhu: Mahakama ilipaswa kuzingatia muda ambao Tundu Lissu alikaa mahabusu kabla ya kutoa adhabu

    Wakili wa masuala ya haki za binadamu William maduhu amesema kuwa Mahakama ilipaswa kuzingatia muda ambao Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, aliokaa mahabusu kabla ya kumhukumu kifungo cha miaka minne, akieleza kuwa kutofanya hivyo ni kukiuka utaratibu wa kisheria wa utoaji wa adhabu...
  5. Chakaza

    Jaji Mkuu George Masaju: Uongozi Wako wa Mahakama Umetuaibisha WASABATO Tunaoheshimika kwa Kusimamia Haki.

    Sio uongo kuwa jamii ya walio wengi hapa Tanzania inaamini kuwa Waumini wa dhehebu la Wasabato ni watu wenyetabia ya kusimamia Haki na Ukweli. Kitendo cha George Masaju kuteuliwa kuwa Jaji Mkuu kilileta matumaini kuwa sasa mahakama zetu zitakuwa TUKUFU kama zinavyo itwa lakini kume ndio...
  6. Crocodiletooth

    Ile kauli ya Lissu, ilikuwa halali mbele ya mahakama?

    ""Hukumuni kile mlichopangiwa muhukumu"" ---------------- Hii ndiyo kauli aliyoitamka pale mahakamani je,kauli hii haikuwa ni fedhea kwa mahakama zetu na vyombo vya haki? Msaada wa kisheria tafadhali Wakili msomi pascal mayalla Tusaidie juu ya hili,(Baba wakili msomi)
  7. K

    Mahakama ijitahidi kuepuka mipango miovu ya wanasiasa

    Kuna uwezekano mkubwa kwamba vyombo vya dola vinapewa maelekezo na viongozi wa kisiasa ili kuwafanya waendelee kutawala kama ilivyokuwa ikitamkwa kwa vipindi tofauti na viongozi waliopo madarakani. Katika nchi ambazo ni za kidemokrasia taasisi yenye nguvu inayopaswa kuheshimika na pia kuogopwa...
  8. Keynez

    Tundu Lissu aliionya Mahakama isitengeneze "precedent" mbaya nao wameamua kumpa "precedents" lukuki!

    Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana. Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
  9. C

    Mahakama ya Algeria yamhukumu mwandishi Kamel Daoud jela miaka mitano

    Mahakama moja nchini Algeria Jumanne imemhukumu mwandishi Kamel Daoud na mkewe, Aicha Dahdouh, kifungo cha miaka mitano jela kila mmoja, bila wao kuwepo mahakamani, kwa tuhuma za kufichua siri za kitabibu na kuvunja haki ya faragha ya mtu. Kwa mujibu wa gazeti la Algeria la El Khabar, hukumu...
  10. BICHWA KOMWE -

    Mwigulu Nchemba, adhabu za viboko mashuleni hazifai; Mahakama imeshasema

    Tuna uamuzi wa kihistoria katika Tanzania, ambapo Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma katika shauri la Kikatiba la Samwel Maduhu dhidi ya Wizara ya Elimu imetoa Amri ya kufuta adhabu za viboko mashuleni kwa kubatilisha vifungu kadha wa kadha vya kanuni za utoaji wa viboko mashuleni. Jambo hili...
  11. R

    Mahakama Kuu Somali yatangaza kuwa Rais wa Somalia ni haramu, hana uhalali wa kutawala

    Habari ndiyo hiyo! Malawi vipi? Linawezekana? Hata Somalia wameizidi Malawi ambayo ni kama non existent State ===== Mahakama Kuu ya Somalia imetoa uamuzi kwa Rais Hassan Sheikh Mohamud kuongeza muhula wake kinyume cha sheria, na kuzidisha mgogoro wa kisiasa na mzozo kati ya urais na mahakama...
  12. Kaka yake shetani

    Tovuti ya mahakama kama hii kesi ilikuwa kubwa kwa nini muweki kuwa mlifanikiwa kuhukumu.

    Cha kushangaza kwenye tovuti ya mahakama ukipitia hata hii kesi aliyopewa lissu tokea mwanzoni ya mchongo hakuna sehemu kuna taarifa. Jambo jengine wanampa pongezi jaji wao masaju.
  13. K

    Kwanini heshima ya Jaji Mkuu na Mahakama imeshuka kwa kasi kubwa?

    Je kwanini Heshima ya Jaji mkuu na mahakama imeshuka kwa kasi kubwa? 1. Kesi kuchukuwa muda mrefu bila sababu za msingi 2. Sisa zimeingilia mahakama na majaji wanatoa maamuzi kisiasa wakitegemea vyeo 3. Majaji kukaa karibu sana na wanasiasa tena wa chama kimoja 4. Kesi nyingi za kisiasa...
  14. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  15. C

    Uganda:Aliyekuwa msaidizi wa Kizza Besigye bado hajulikani alipo, mahakama yaongeza muda wa uchunguzi

    Mahakama Kuu ya Uganda imeipa Serikali muda zaidi wa kuchunguza kutoweka kwa mwanaharakati wa upinzani, Sam Mugumya, ambaye hajulikani alipo kwa zaidi ya miezi 14 sasa. Katika kikao kilichofanyika jijini Kampala leo Jumatatu, Novemba 9, 2026, Jaji Simon Peter Kinobe alikubali ombi la Serikali...
  16. Tlaatlaah

    Ni kwa kiasi gani uhuru wa mahakama ya Tanzania unachochea ustawi wa demokrasia na utawala bora Tanzania

    Kwa utulivu wa fikra, elezea nafasi ya mahakama huru ya Tanzania katika kuimarisha na kuchochea ustawi wa demokrasia, uhuru wa vyama vya siasa katika kufanya siasa nchini na katika kuhakikisha kwamba uchaguzi huru, wa haki na wa wazi unaendelea kufanyika kwa amani Tanzania na kwa kuzingatia...
  17. R

    Mwamposa kama mahakama Kuu kesi ya Lisu

    Mwamposa hana tofauti na Mahakama Kuu katika kesi ya Lisu. Angalia utapeli Kila mahali vituko huyu sedition, huyu kapata mimba ghafula baada ya kuombewa
  18. mkuuwakaya

    Kwanini Mahakama kuu imetoa hukumu juu kwa juu kwa kesi aliyokutwa nayo Mh. Lissu wakati kesi kama hiyo ya Ucho alifunguliwa Kisutu na kupata dhamana?

    Mh. Lissu baada ya kukamatwa alifunguliwa kesi 2 ya Uchochezi ambayo alipata dhamana na ya Uhaini. Uhaini ikaendelea. Uhaini imeonekana imeshindwa ila kuna uchochezi ambayo sawa na ile iliyopaki Kisutu. Sasa inakuwaje Mahakama kuu imalize mchezo juu kwa juu? Yaani baada ya mahakama kuu kumkuta...
  19. K

    Tunaelewa sasa kwanini wawekezaji hawataki kutumia mahakama za ndani ya nchi! Ni machawa

    Wawekezaji ndiyo maana wanatumia mahakama za kimataifa maana kwa mahakama za kichawa hivi nani atawekeza mabilioni bila kuhakiki mikataba ni ya kimataifa. Nchi zenye bunge huru, mahakama huru na katiba nzuri. Tusishangae wawekezaji wanatukimbia
  20. K

    Mpango wa Samia ni kuuwa Bunge na Mahakama. Kafanikiwa kwenye Bunge je mahakama🤦🏾‍♂️

    Je Samia atafanikiwa kupoteza mahakama kama Bunge hili la wajinga jinga na machawa! Majaji naona wanamsaidia kwa kasi sana
Back
Top Bottom