mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. K

    Majaji wa Tanzania wanajali vyeo kuliko Mihimili wa Mahakama

    Yaani Tanzania majaji wamekuwa kama wanasiasa wanatafuta kujipendekeza zaidi ya kujiamini na kufurahia heshima ya ujaji. Majaji sasa sio kama zamani . Walikuwa watu wakuhwshimiwa lakini sasa tunawaona kama wanasiasa Mahakama ya rufaa inajitahidi lakini majaji wa mahakama za chini wanawaharibia
  2. Ziroseventytwo

    Ianzishwe movement ya kuzikataa mahakama zetu. Yawekwe madudu yote wsliyofanya kwa kunyima watu haki zao.

    Sijui itapewa jina gani. Lakini ionyeshe kwa uwazi jinsi mahakama zetu zinavyopindisha sheria. Ziwekwe video, refference za cases mbalimbali jinsi mahakama zinavyochezewa na hii serekali. Nukuu kama za Rostam alivyokuwa akielezea mfumonwetu wa mahakama ulivyo mbovu.
  3. S

    Ni kweli mahakama inaweza kutoa hukumu ya uchochezi badala ya uhaini; lakini Jaji Ndunguru na wenzake wametoa hukumu ya maelekezo kwa mhemuko? Angalia

    Ni wazi kwamba kwa sheria za Tanzania Jaji Ndunguru na jopo lake wangeweza kumhukumu Lissu kwa kosa la uchochezi badala ya uhaini, kwa sababu sheria za Tanzania zinaruhusu hilo. Ila sasa, inawezekana kabisa Jaji Ndunguru na wenzake wamefanya hivyo huku wakikiuka misingi ya sheria. Msimamo wa...
  4. C

    Wakili Addo November: Hukumu ya Tundu lissu imeonesha uhuru wa mahakama

    Wakili Mwandamizi, Addo November, amesema uamuzi wa Mahakama Kuu katika kesi namba 19065 iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, unaonesha uhuru wa Mahakama nchini katika kusimamia utawala wa sheria. Akizungumza katika Mahojiano Maalumu na...
  5. Kaka yake shetani

    Hivi mahakama zetu kuna siku wananchi watajifanyia haki weki wenyewe pitia hapa.

    Kama imethibitika kwamba Lisu alifanya uchochezi na kuzuia uchaguzi , maana yake uchaguzi 2025 haukufanyika, na kama haukufanyika , hao wanao tuongoza leo wamechaguliwa katika uchaguzi gani!? Madiwani, wabunge na Rais ,wametokea wapi!? Maana uchaguzi ulizuiliwa na uchochezi wa Lisu! Kama...
  6. R

    Katuga: Mahakama siyo mama yako, haiwezi kukupa ambacho hukuomba

    Katuga alimwaminia Lissu mahakamani kuwa "mahakama siyo mama yako, haiwezi kukupa ambacho haukuomba" Jana màhakama hiyo hiyo imekuwa "mama yake Katuga", imempa Katuga ambacho hakuomba! 🤭
  7. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  8. Stunnaman008

    SERIKALI AU MAHAKAMA: Nani Anahusika na Kesi ya Tundu Lissu? Tujadili kwa Sheria, Sio Mihemko

    Ndugu zangu, Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025. Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama? 1. UKWELI...
  9. Sifi Leo

    Vyombo vya habari vya Tanzania ni vya ovyo kiasi hiki? Lissu ameachiwa na Mahakama au kashinda kesi ya uhaini dhidi ya Serikali kandamizi?

    Hivi fani ya uhanabari bhana haina tofauti na uhakimu na ujaji ubwabwa kama nduguru na wenzake. Yaani magazeti ya Tanzania yote, yameripoti eti Lissu ameachiwa na Mahakama badala ya kuandika Lissu alibwagwa serikali kesi ya uhani. Basi kama mnainea haya hiyo serikali yenu andikeni Lissu...
  10. Kigongoi kwetu

    Mahakama ingejificha kidogo kwenye kesi za kisiasa

    Kwa kuwa viongozi wa CCM wamekuwa wakitamka wazi kwamba vyombo vya dola ni mali yao na wanavitumia vyombo vya dola kubaki madarakani na kwa kuwa hakuna wasemaji waliokanusha kauli zinazotolewa na Wana CCM ni dhahiri kwamba lugha hizi ni za ukweli. Lakini pamoja na mambo ya namna hii kujitokeza...
  11. K

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania

    Watanzania wengi rasmi sasa wanadharau mahakama za Tanzania hazina tofauti na Polisi
  12. Tlaatlaah

    Well done Mahakama huru ya Tanzania

    Mmetekeleza wajibu wenu kwa uhuru, uwazi weledi na kwakuzingatia katiba ya Tanzania. Mmetumia vema maudhui ya pande zote yaliyowasilishwa mbeleni yenu kuamua kutenda haki bila kujali mashinikizo, porojo, mihemko au makasiriko ya maadui wa umoja, amani na usalama wa taifa letu kutoka ndani na...
  13. passioner255

    Mahakama imethibitisha LISU hahusiki na mauaji

    tangu mwanzo tunajua lisu hana hatia tunajua aliyefanya mauaji kwa hiyo bado tunataka uwajibikaji kwa wauaji kwa sababu wanajulikana.wauaji laana yenu ipo palepale mtalipia SAMUYA and co.
  14. Q

    Mahakama: Tunaona ushahidi upande wa mashitaka haujakidhi kuonyesha nia ya uhaini

    Jaji Ndunguru: Tumeangalia kauli zilizotolewa na mshtakiwa na tumeona kuwa hakuna ushahidi wa moja kwa moja hatujaona kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali, tumeangalia tafsiri ya shahidi wa 1,2 na 16 tumeona ni assumption haziwezi kuthibitisha kuwa mshtakiwa alilenga kuitishia Serikali...
  15. M

    CHADEMA: Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa CHADEMA wakizuiwa kuingia ndani ya Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, huku Jeshi la Polisi likiwatoa katika eneo la lango la mahakama asubuhi hii. Pia soma: UPDATES: Yanayojiri Mahakamani kwenye Hukumu ya Kesi ya Uhaini dhidi ya Mwenyekiti wa...
  16. Poppy Hatonn

    Leo Mahakama itaamua kusuka Rasta au kunyoa

    Leo ndiyo siku ambayo Lissu ataachiwa huru. Leo ndio Tanzania itaonyesha Kwa nini inaitwa nchi ya amani. Leo Dar itathibitisha Kwa nini inaitwa bandari salama. Too many people have died. Leo tutaanza ukurasa Mpya wa maridhiano.
  17. Stroke

    Ukumbi wa mahakama kuu mmoja hauwezi chukua watu zaidi ya 200, nawaasa wanaCHADEMA watulie tu nyumbani na kufuatilia hukumu kwenye media.

    Ukienda pale High Court masijala ndogo DSM ukumbi mmoja (open Court) Hauwezi chukua watu zaidi ya 200, hivyo kuhamasishana kwenda pale ni kusababisha demand kubwa ya nafasi kwa kila mtu ambayo inaweza leta mambo mengine yasiyotabirika. Sasa niwaase tu ndugu zanguni tutulie majumbani mwetu...
  18. K

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho

    Mahakama ya Tanzania nayo ipo Mahakamani tunasubiri hukumu yake kesho. Hukumu kwa wananchi kesi ya Lissu imekuwa wazi na watanzania wengi walikuwa wanaifuatilia. Kutokana na ushahidi dhaifu ulitolewa kwa Watanzania wengi Lissu hata kosa lolote la uhaini na ameonewa kukaa ndani kwa zaidi ya...
  19. G Sam

    Natangaza rasmi kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu Dar

    Leo nimeanza safari ya saa 17 kuja Tanzania kuhudhuria hukumu ya Lissu mahakama kuu ya Dar. Kesho majira ya saa tisa mchana nitakuwa tayari ndani ya viunga vya uwanja wa ndege Dar na tutakuwepo mahakamani ijumaa tukiwa tumejaa tele. Hatutishiki na mikwara ya Muliro wala yeyote yule...
  20. Tlaatlaah

    Athari za kijamii, kisiasa na kiuchumi za kuhamasisha uasi, kukinukisha, kuzuia na kuvuruga uchaguzi na kusababisha maafa zitatumika kutoa kuhukumuN6.

    Ni wazi msingi wa hukumu ya kihistoria katika taifa letu, utazingatia zaidi ukweli wa athari mbalimbali za kijamii, kisiasa na kiuchumi zilizosababishwa na mipango fichi ovu, yenye nia na dhamira ovu iliyochochewa na kuhamasishwa na chama cha siasa husika kuongoza uasi, kukinukisha, kuzuia na...
Back
Top Bottom