mahakama

Mahakama ni chombo kinachotafsiri na kutumia sheria katika kutoa haki. Ni moja wapo ya mihimili mitatu inayounda serikali, ambapo mihimili mingine ni Bunge na Serikali Kuu.
  1. The Palm Beach

    Huu ndio Uamuzi wa mahakama wa aidha Rais Samia, Philip Mpango (VP mstaafu) na Kassimu Majaliwa (PM mstaafu) waitwe kumtetea Lissu au la..

    HUU👇👇 NDIO UAMUZI ULIOSOMWA NA KIONGOZI WA JOPO LA MAJAJI WATATU WANAOSIKILIZA SHAURI HILI, MH. DANSTUN NDUNGURU ".....Mtakumbuka kuwa tarehe 21/08/2025 baada ya Mahakama kutoa uamuzi kuwa mshtakiwa ana kesi ya kujibu, mshtakiwa aliwataja mashahidi 11 na shahidi wa kwanza ni Samia Suluhu...
  2. S

    Mahakama iliamua nini kuhusu mashahidi wa utetezi aliotaka Lissu wafike mahakama ambao ni IGP, CDF, DGIS, Majaliwa na Mpango?

    Naomba kuuliza ni nini mahakamani iliamua kuhusu hao mashahidi kwenye kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu? Hawa wanatakiwa kufika mahakamani kama mashahidi wa upande wa utetezi kwahiyo ni mashahidi muhimu kwa mshitakiwa. Kuhusu Samia, najua kulikuwa na mvutano, sasa hao wengine mahakama...
  3. mrxtz2026

    Uhuru wa Mahakama Haulindwi kwa Maneno, Bali kwa Muundo: Kwanini Kauli ya kikatiba kwamba "Mahakama ni huru", bila muundo bora ni Udhaifu mkubwa..?

    Karibu kila Katiba duniani inasema "Mahakama ni huru." Ni sentensi rahisi kuandika, lakini historia imeonyesha mara nyingi kwamba sentensi hiyo peke yake haitoshi. Uhuru wa kweli wa Mahakama haupimwi kwa maneno ya utangulizi, unapimwa kwa maswali magumu zaidi: nani anateua Majaji, kwa muda gani...
  4. kavulata

    Kusema Majaji ni maCCM ndiyo kauli mbaya kuliko zote kwenye kesi ya Mh. Lissu

    Mashahidi wa Mh. Lissu wanakiri kuwa Lissu amewaita majaji maCCM. Kauli hii ni mbaya sana kwa utawala wa sheria kwakuwa inahimiza watu wake na watu wengine wasioipenda CCM wasiende mahakamani kudai haki zao maana hawazipata kama wao sio wanaCCM; wajichukulie sheria mikononi mwao. Kama hali...
  5. Jannatul Firdaus

    Mahakama Kuu Nigeria Yatoa Amri ya Zuio Kwa Muigizaji Lizzy Kutom-post Mtoto wa Jux na Priscilla

    Mahakama Kuu ya Jimbo la Lagos nchini Nigeria imetoa amri ya muda inayomzuia muigizaji wa Nollywood, Liz Anjorin, kuchapisha au kusambaza picha na maudhui yoyote yanayomhusu mtoto wa Priscilla Ojo na msanii Juma Jux, aitwaye Rakim, kwenye mitandao ya kijamii . Amri hiyo iliyotolewa kufuatia...
  6. kavulata

    Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  7. K

    Kwa namna Mnyika anavyocharaza vingwendu mahakama leo tarehe 01.09.2026 Je apewe PHD?

    Wadau kichwa cha habari chajieleza hivyo naomba majibu yenu.
  8. Ndagullachrles

    Chizi aliyechoma moto jengo la mahakama ya mwanzo Moshi mjini mbaroni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limefanikiwa kumtia mbaroni mtu mmoja anayedaiwa kuchoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi . Kwa Mujibu wa Taarifa ya jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro mtuhumiwa huyo ametajwa kwa jina la John Daud, (42), mkazi wa mtaa wa Lengua,Manispaa ya Moshi...
  9. baz kaiza

    Je tuendelee kuheshimu hukumu za mahakama zetu ? Kesi ya Lissu itatupa jibu

    Kumekua na kelele nyingi kuhusu huu muhimili wa mahakama kupokea maelekezo kwenye kesi ambazo serikali inakua na interest . Tuliona kwenye kesi ya Mbowe pamoja na kukutwa na kesi ya kujibu lakini akaibukia Ikulu. Kwa hiyo mahakama unaweza kua muhimili ambao unatumika kama fimbo ya...
  10. Ndagullachrles

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili achoma moto jengo la mahakama ya mwanzo mjini Moshi

    Mtu mmoja anayedaiwa kuwa na tatizo la afya ya akili ,adaiwa kuchoma moto kwa makusundi jengo la zamani la mahakama ya mwanzo mjini Moshi mkoani Kilimanjaro na ,kusababisha uharibifu mkubwa wa jengo pamoja na nyaraka mbali mbali zilzokuwa zimehifadhiwa ndani ya jengo hilo. Kamanda wa Jeshi la...
  11. K

    Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  12. Manyanza

    Hitimisho la Tundu: Antipas Lissu mbele ya Mahakama...

    Wakuu ! Ukisoma hili hitimisho la Mh. Tundu Lissu unapata hisia na uchungu mwingi sana hasa ukizingatia namna vile Jamhuri ilivyokuwa inamfanyia. Siku 136 bila rufaa kusikilizwa na wakawa wamemuweka mahabusu tu na hata alipoenda nae Mahakama ya rufaa akawashinda Bado hata Mashahidi wa Jamhuri...
  13. Msanii

    Siyo Samia pekee, hata mahakama imejipanga kushughulikia wakosoaji

    Tusikwepe kuiona picha kubwa inayochezwa na mihimili ya serikali haramu ya Tanzania dhidi ya raia, wakosoaji na wanaharakati wa Haki na Demokrasia nchini Mahakama inapopokea kuendesha kesi za kisiasa dhidi ya wapinzani ni ushahidi kuwa mahakama imekubaliana na Executives kubaka Katiba, Haki na...
  14. R

    Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  15. S

    PostGE2025 Mahakama ya ICC itakuja kuponya majereha yote haya japo inachukua muda

    Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi. Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu na wote watawajibika tu. ICC bila shaka wanasubiri maigizo ya humu ndani yaishhe kisha waingie...
  16. M

    AINA YA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU KATIKA UISLAM. JEE BADO WAPO KWA SASA?

    Katika Uislamu, jaji (qāḍī) ana jukumu kubwa sana la kusimamia haki na kuhukumu baina ya watu kwa mujibu wa uadilifu. Mtume ﷺ alitoa maonyo makali kuhusu nafasi hii kwa sababu jaji anaweza kuingia katika dhuluma ikiwa atahukumu bila elimu, ushahidi au uadilifu. Hadithi maarufu kuhusu majaji...
  17. THE BIG SHOW

    Hongera mahakama kwa kumtia hatiani Tundu Lissu

    Friends and Enemies, Lilikua ni suala la muda tuh kwa Tundu lisu kuweza kutiwa hatiani na kukutwa na kesi ya kujibu. Ni wazi kabisa alihusika kwenye uhaini,kuchochea fujo na vurugu kiasi cha kupelekea uvunjifu wa amani na vifo vya watu wengi wasio na hatia Kwa kuwa platform aliyoitumia ilikua...
  18. Tlaatlaah

    Heko mahakama huru za Tanzania kwa kusikiliza mashauri, kuamua na kutoa haki kwa uwazi

    Hongera mawakili na wanasheria mbalimbali nchini, kwa weledi, umahiri na umakini katika kusikilizana kupeana fursa za kujieleza kisheria, kutafakari na hatimae kufikia hitimisho la mashauri mabalimbali pasina kuacha shaka na bila kupoteza wakati kwa pande zote husika. WaTanzania wote tuna imani...
  19. Ritz

    Mahakama haina mamlaka ya kumwita Rais Samia kutoa ushahidi – Mwinuka

    Wanaukumbi. Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19. Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria...
  20. funaku

    Mahakama haiangalii public sympathy bali facts tu

    Leo hii Wakili Katuga anacharaza mtu kwa fimbo za ushahidi tu na sio kelele za OYA OYA
Back
Top Bottom